Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,230
🤣🤣 Tulia dawa ikukoleeSasa tuelekeze tufanyaje au nije inbox😅
🤣🤣 Tulia dawa ikukoleeSasa tuelekeze tufanyaje au nije inbox😅
Wewe ngapi?😳 oo my God😒
7Wewe ngapi?
Mbona am not rich 😆 ila hela ya kula sijawahi kosa ðŸ¤Ila wanasema life path number 8 ndo baba lao very powerful na ina some sorts of richness
Ingia google mkuu, hata mm nilipambana kutafuta yangu mambo ni mengi sanaSasa tuelekeze tufanyaje au nije inbox[emoji28]
Kwahio Mkuu Tupe Sifa + Weakness za Life Path Number 4Numerologist wanaita life path number!
Mfano mimi ni life path number 4 baada ya kujumlisha tarehe yangu ya kuzaliwa mwezi na mwaka nikapata 40, therefore 4+0= 4
Life path number 4 ndio namba yangu ya bahati according to numerologist na sifa + madhaifu yake yanaendana na mimi kabisa
Ila wanasema life path number 8 ndo baba lao very powerful na ina some sorts of richness
Nikifanya hii napata ile ile ya njia aliyotumia mtoa mada 😆Aau kwa akadean wanadeal na Date peke yake..
Kuwa life path number 8 sio hoja kubwa!Mbona am not rich [emoji38] ila hela ya kula sijawahi kosa [emoji2960]
Wewe ni life path number 4?Kwahio Mkuu Tupe Sifa + Weakness za Life Path Number 4
Tupe muongozo kiongozi😅😅😅
Hiyo sio Lucky number kwanza hiyo ni lifepath number..
Ni namba ya mapito yake tu..
Luck number mara nyingi inadeal na Birth Date na month peke yake..
Aau kwa akadean wanadeal na Date peke yake..
Yeah MkuuWewe ni life path number 4?
Life path number 4 inatupa watu wakakamavu, watu wachapakazi haswa, watu wenye kujitoa kwenye jambo fulani kisawa sawa/commitmentYeah Mkuu
Innovation, research, engineering, technology, psychology, spirituality, teaching, digital invention, and journalismWenye namba 7 wajishughulishe na michongo gani mkuu?
Nop Lucky Number inatokana na Date uliyozaliwa ana mara nyingine inaitwa Radical number..Nikifanya hii napata ile ile ya njia aliyotumia mtoa mada 😆
Napenda sana na ikitokea uwezo ninao na kwa makusudi sijamsaidia muhusika roho huwa inauma sana sana yaani naweza haribu sikuLife path number 1 inatupa watu wa karimu, wenye kupenda kuona mafanikio ya wengine, wepesi kusaidia wengine
Madhaifu:
Watu wakali sana/aggressive
Hupenda matambo boastfulness
Hayo ni kwa uchache sana kuna mengi zaidi inabidi uyajue kuhusu namba yako na kuyaishi ili upate mafanikio na furaha
Safi sana mkuu!Napenda sana na ikitokea uwezo ninao na kwa makusudi sijamsaidia muhusika rohilo huwa inauma sana sana yaani naweza haribu siku
hapo kwenye ukali kweli mimi mkali ukizingua lakin