How can I check my luck by date of birth?

How can I check my luck by date of birth?

Yeah tayari mimi niko katika sector zilizotajwa kwenye hiyo life path number. Does this mean nikienda kwenye interview nina uhakika wa kupata kazi, just because the life path number aligns with that particular job?
Not at all, you also need to know about these things:

-Like color of the dress you suppose to wear on an interview
-The day you suppose to go for an interview
 
Numerologist wanaita life path number!

Mfano mimi ni life path number 4 baada ya kujumlisha tarehe yangu ya kuzaliwa mwezi na mwaka nikapata 40, therefore 4+0= 4

Life path number 4 ndio namba yangu ya bahati according to numerologist na sifa + madhaifu yake yanaendana na mimi kabisa

Ila wanasema life path number 8 ndo baba lao very powerful na ina some sorts of richness
We muongo uko kwa laana usijifariji
Ona hapa
IMG_20240325_175658.png
 
Kama hujui kitu tulia mkuu acha kiherehere
Wewe ndo hujui, eti mtandao yote nakuambia unlucky alafu unajifariji hapa otherwise hizi number ni za uongo hazina uhalisia.

Rudi kwenye mikeka kule hapa kwenye number umebuma
 
Wewe ndo hujui, eti mtandao yote nakuambia unlucky alafu unajifariji hapa otherwise hizi number ni za uongo hazina uhalisia.

Rudi kwenye mikeka kule hapa kwenye number umebuma
Kila namba ina bahati na madhaifu yake kaka

I'm too blessed, cause i live according to my number

Life is all about math!

Nakuja kukupa odds ule pesa kupitia my luck number
 
Numerologist wanaita life path number!

Mfano mimi ni life path number 4 baada ya kujumlisha tarehe yangu ya kuzaliwa mwezi na mwaka nikapata 40, therefore 4+0= 4

Life path number 4 ndio namba yangu ya bahati according to numerologist na sifa + madhaifu yake yanaendana na mimi kabisa

Ila wanasema life path number 8 ndo baba lao very powerful na ina some sorts of richness
Namba name niko hapa
 
Kujua life path tu hakutoshi inabidi kwenda mbele zaidi na kujua vitu vingine vinavyohusiana na wewe kama
Expression
Sour urge
Karmic dept
Karmic lesson
Growth number
Maturity number

Ni shule pana sana
 
Inatakiwa isivuke 12, you have to add, 1+3=4.
4,inasimama kwenye vita, moto, N. K, in short ili upate upigane haswa,njia yako nyepesi imelalia kwenye vyombo vya moto, magari N. K.
Mkuu samahani kwa usumbufu naitaji kujua ikiwa nu 12 ndo inakuwaje
 
Back
Top Bottom