Wakuu, majuzi kuna jama zangu walifiwa na mama yao Mzazi.. wakatoka London UK kwenda kumzika mama yao..
Walipofika Dar wakati maiti imeshatangulia Home walikuta hakuna usafiri wa kwenda Mwanza na booking ilitakiwa wasubiri siku mbili palle Dar.. Kwa sababu ilikuwa muhimu wafike *UK ndogo - mapema kumzika mama yao walikodisha gari wakaendesha usiku kucha..Hii sifa ya Precision hata nashindwa kuielewa unless tunapima mzani wa maendelo kimaskini..
Huwa nacheka sana baadhi ya viongozi wanaposema ati - kwa standard yetu Uwanja wa Dar na Kili unatosha kabisa! - Kwa standard yetu sijui kitu fulani kinatosha!.. haya maneno ya standard yetu yametoka wapi?.. Hivi kweli maskini ana standard fulani ktk Quality ya kitu yaani maskini hata akivaa kandambili ni bora kuliko kutovaa kiatu kabisa ndivyo tunavyopima maendeleo yetu au tunatazama umuhimu wa viatu kulingana na matumizi yake sio na quality ni kipimo cha juu kabisa ambacho ndicho tunakilenga..Hakuna mtu aliyesema tuvae kiatu size kubwa au ndogo ya umbo la miguu yetu kuwa ndio maendeleo lakini Bongo neno hili linatumika sana ktk kupima maendeleo yetu..Nawaomba kizazi hiki muwe makini sana na maelezo ya viongozi wetu hasa tunapotaka kulijenga Taifa letu maanake inaonyesha wazi kuwa hawa viongozi wetu sio tu wamepitwa na wakati (makuzi yao hawakuvaa viatu) bali hawana nia njema na Tanzania..
Mimi nasema hivi hakuna standard kwa maskini wala Tajiri.. chakula chenye nutrition kinatakiwa kwa kila mtu uwe maskini au Tajiri, tofauti inaweza kuwa mapishi tu lakini hata siku moja sikubaliani na viongozi wanapo set goals kwa sababu ya umaskini wetu kuwa vinatosha..wameuza madini yetu, mali zetu kwa bei mbuzi ati kwa sababu sisi ni maskini, hivyo pato lake ni size yetu..
Sikubaliani hata siku moja na kutumia Umaskini kuwa ni unyonge isipokuwa Umaskini utumike kama kitu kinachotupa uchungu na hasira wa adha zitokanazo na umaskini hivyo kutusukuma kutumia maneno kama nguvu, ari na kasimpya ktk kuhakikisha tunatoka ktk Umaskini..Hatuwei kutoka kwenye umaskini ikiwa kila tunalofikiria ni kuua ATCL kwa sababu tu nchi za Magharibi wangefanya hivyo.. Hawa sio maji yetu hata kidogo.. Hapa Canada kuna mashrika ya ndege yasiyopungua 20, majuzi tu niliona habari kuhusu Marekani wakizungumzia security - kulikuwa na ndege zaidi ya 35,000 hewani within the same time na wakasema hiyo ni kawaida kabisa hesabu hufikia hadi 75,000..
Pundamilia)7,
Mkuu huku niliko ticket zinauzwa na Agencies, mashirika yote ya ndege ofisi zao nenda Airport!.. na ticket zao ghali kuliko Agencies kwa sababu kila Agencies hununua ticket za ndege ni Adnace hivyo mashirika kama BA. KLM na kadhalika tayari wameisha jua average ya mauzo mwaka 2009..
Ni sawa na card za simu, mashirika kama Tigo yanakuwa yameisha uza zile card wenyewe wanaziita Voucher kwa walanguzi hata kabla hazijatumika.. Hata ujenzi wa nyumba huku ujenzi wa Condo huanza tu baada ya 3/4 ya vyumba vimeisha uzwa (mortgage) hivyo kwa lugha nyingine fedha yetu ndio zinajenga hilo highrise building!.. Mkuu ni dunia ya ushindani ATCL wanatakiwa kukata matumizi kabisa hao wafanyakazi mikoani hawatakiwi kabisa zaidi ya watu wawili Airport kwa ajili ya ticket check up!..Bomoa kabisa management yote hakuna tena wanasiasa ndani pengine mtu kama Mwapachu ambaye aliweza kuibeba ATC wakati iko ktk chart awe Mwenyekiti wa board.. Si unajua tena Tanzania bila watu fulani fulani kuwepo ndani hatuwezi kabisa kufganya kitu..Kubebana ni moja ya Utamaduni wetu..