Bibi Kizee
JF-Expert Member
- Feb 18, 2008
- 211
- 10
Mimi sikusoma yote yaliyoelezwa na wanaJF huko kabla. Ila Mama Mia nina wasiwasi umekasmisha majukumu yako kwa house girl! Wanawake hasa kama ukivyosema kuwa ni mtu wakusafirisafiri unahatarisha ndoa yako sana. Unapokaa na msaidizi wako kuna mambo ambayo unatakiwa uwe na uhakika kuwa ni lazima ufanye even you are tired! Kumwandalia mumeo yafuatayo, kumpokea mumeo arejeapo (kumfungulia mlango na kupokea hata malboro alokuja nayo), maji ya kuoga, chakula, na kuhakikisha yuko smart kama vile shati na suruali ni safi na hata chupi yake ni safi, tai kama ni muhimu siku hiyo. Unapomwachia house girl kufanya haya unampa nafasi yeye kutangaza biashara yake.
Mfano, wewe umewahi nyumbani, bwana anakuja anafunguliwa mlango na house girl na labda alikuwa bafuni anajitupia ka kanga kamoja ka India, ameshakula blue band na uji wa mtoto hapo kwako na mbaya zaidi hajui kuwa ni kosa kuwa hivo. Mama wewe umelala chumbani, umechoka! Ooo baba karibu, pole na kazi, maji yapo bafuni nk. Unategemea nini? Mtu mzima anajiapiza kuwa hapo lazima amege japo kidogo!
Nitaendele jumatatu natoka kidogo. Weekend njema
EEka umenena!! baba hadi sabuni amtafutie hg sasa kwanini asiwe mke, kwani yeye anatofauti gani na ww, jamani nyumba nyingine hadi nguo za ndani za familia anafua hg,...jamani hawa ni wasaidizi sio wafanyakazi,
Last edited: