kweli na ww una moyo mkuu! nilijua unakuja kuomba ushauri kuwa ana mimba sasa! mbona kama umechelewa kumpa nyama nene mapema!Wakuuu salm! Wife kasafiri kidogo kaend kwao sasa kwa bahati mbaya nimebakia mm na mdogo wangu wa Kike na mfanya kazi! Sasa huyu mfanyakazi amekuwa mkarim sana kwangu hatari. Kana maneno mazuri mno. Bahat mbaya nipo likizo kwhiyo muda mwingi nipo home! Sasa muda mwingi naangalia TV isiku nako kanakuja kanaangalia kanacjelewa kulala. Kana umri mkubwa kiasi kana miaka 23 hivi! Ukikaangalia kanavutia sana. Najitahid kuchelewa kurud lakini hakalali mpaka ni rudi! Ni wiki ya pili sasa! Naona majaribu hatari kuna muda nawaza kukapanua kwasababu kana mitego hatari mara kaje na kanga tupu basi shidaaa! Nifanyeje wazee
Huwa si support vitu vya namna hii swala la eti kushauri kutafuna kijakazi au kutoka nje ya ndoa namna hivi kweli wanaume huwa tunatafuta nini nje ya ndoa ilihali una mke, marafiki zangu wananijuwa huwa hawanishirikishi mambo mithili ya namna hii maana tunadanganyana sana wanaume na yanatuponza na kupoteza ndoa zetu na kujichumia dhambi...Wakuuu salm! Wife kasafiri kidogo kaend kwao sasa kwa bahati mbaya nimebakia mm na mdogo wangu wa Kike na mfanya kazi! Sasa huyu mfanyakazi amekuwa mkarim sana kwangu hatari. Kana maneno mazuri mno. Bahat mbaya nipo likizo kwhiyo muda mwingi nipo home! Sasa muda mwingi naangalia TV isiku nako kanakuja kanaangalia kanacjelewa kulala. Kana umri mkubwa kiasi kana miaka 23 hivi! Ukikaangalia kanavutia sana. Najitahid kuchelewa kurud lakini hakalali mpaka ni rudi! Ni wiki ya pili sasa! Naona majaribu hatari kuna muda nawaza kukapanua kwasababu kana mitego hatari mara kaje na kanga tupu basi shidaaa! Nifanyeje wazee
Hakuna jambo kama iloMkuu tupo USA Kumpigia kura Donald Trump! Tunarudi hadi hapo tutakapo mkabidhi Trump Whitehouse! Sorry for that!
Safi sana....Huwa si support vitu vya namna hii swala la eti kushauri kutafuna kijakazi au kutoka nje ya ndoa namna hivi kweli wanaume huwa tunatafuta nini nje ya ndoa ilihali una mke, marafiki zangu wananijuwa huwa hawanishirikishi mambo mithili ya namna hii maana tunadanganyana sana wanaume na yanatuponza na kupoteza ndoa zetu na kujichumia dhambi...
Hujui cha kufanya mkuu? Fanya kweli usiulizeulize maswali yenye majibu tayari!Wakuuu salama!
Wife kasafiri kidogo kaend kwao sasa kwa bahati mbaya nimebakia mm na mdogo wangu wa Kike na mfanyakazi! Sasa huyu mfanyakazi amekuwa mkarim sana kwangu hatari. Kana maneno mazuri mno. Bahati mbaya nipo likizo kwhiyo muda mwingi nipo home! Sasa muda mwingi naangalia TV isiku nako kanakuja kanaangalia kanacjelewa kulala.
Kana umri mkubwa kiasi kana miaka 23 hivi! Ukikaangalia kanavutia sana. Najitahid kuchelewa kurud lakini hakalali mpaka ni rudi! Ni wiki ya pili sasa! Naona majaribu hatari kuna muda nawaza kukapanua kwasababu kana mitego hatari mara kaje na kanga tupu basi shidaaa! Nifanyeje wazee
Kakanye Mkuu... Kakemee, Wewe Ndio Nguzo Wa Hiyo Nyumba Yako.Wakuuu salama!
Wife kasafiri kidogo kaend kwao sasa kwa bahati mbaya nimebakia mm na mdogo wangu wa Kike na mfanyakazi! Sasa huyu mfanyakazi amekuwa mkarim sana kwangu hatari. Kana maneno mazuri mno. Bahati mbaya nipo likizo kwhiyo muda mwingi nipo home! Sasa muda mwingi naangalia TV isiku nako kanakuja kanaangalia kanacjelewa kulala.
Kana umri mkubwa kiasi kana miaka 23 hivi! Ukikaangalia kanavutia sana. Najitahid kuchelewa kurud lakini hakalali mpaka ni rudi! Ni wiki ya pili sasa! Naona majaribu hatari kuna muda nawaza kukapanua kwasababu kana mitego hatari mara kaje na kanga tupu basi shidaaa! Nifanyeje wazee
Wakuuu salama!

Hiyo nyumba inamatatizo makubwa sana zaidi ya unavyoelezea hapa.
Nikifika nyumbani, naingia moja kwa moja chumbani, ikitokea nikakaa sebuleni dada wa kazi hawezi kukaa hapo, ataondoka mwenyewe na hiyo hata simwambiii, ndio utamaduni uliopo.
Kwa ufupi hakuna mazingira ya mimi kukaa sehem moja na dada wa kazi, achilia mbali kuongea. mawasiliano yote, wanamalizana na wife.
Huu nao ni udikteta uchwara. Sebule kubwa hivyo mshindwe kukaa sebuleni na dada wa kazi!??
TV unayo moja, yeye akaangalie wapi? au unadhani yeye hataki kuona habari?
Cha maana ni kubadili mindset zetu tu kuwa naye ni mwanamke kama wale unaofanya nao kazi ofisini, unaoabudu nao kanisani, unaokutana nao msikitini. Hapo kwako ni sehemu ya ajira yake tu, sio utumwani.
Ukim-treat kama mdogo wako wala hutokaa umtamani dada wa kazi. Utamheshimu naye atakuheshimu.
Usimnyime uhuru dada wa watu bana kisa ana shida ya pesa.