Housemaid ananiweka majaribuni

Housemaid ananiweka majaribuni

Mbona kama uongo uongo hivi, check hiyo aya ya kwanza umesema nanukuu "bahati mbaya niko likizo kwaiyo muda mwingi niko hme"

Aya ya pili unasema et nanukuu "Najitahidi kuchelewa kurudi lakini hakalali mpaka nirudi"

USHAURI: ukitaka kuwa muongo mzuri jitahidi usiwe unasahau ovyo.......
Kwani ukiwa likizo ndo hautoki kwenda kurefresh mind? Mkuu umekariri vibaya
 
Mkuu angalia sababu hakuna kiumbe rahisi kushika mimba duniani kama house girl
kitanasia mimba ushangae,
1478670882642.jpg
 
You completely missed my point brother....hata hivyo una uhuru na haki ya kuongea kuongea chochote.
Siwabagui au kuwanyanyapaa kama unavyofikiria, ndio maana nikasema huo ni utamaduni wetu ambao kila familia wana wakwao.

Nashukuru kwa kunijibu kistaarabu.


Ni kwa sababu hiyo, nikifika nyumbani mara nyingi ntapitiliza chumbani kuendelea na mambo yangu. Nikiwepo sebuleni kama hawana kazi ya kufanya wanaondoka wenyewe, siwafukuzi. Call it u dictator, lakini haiachi nafasi ya dada wa kazi kunijia sebuleni na kanga au kuanzisha maongezi ya ajabuajabu. Unajiweka mazingira gani hadi dada aje na kanga? The line must be drawn

Je, mdogo wako wa kike anaweza kuja sebuleni na kanga pekee? Kama ndiyo, basi na dada ana haki ya kufika sebuleni na khanga. Bado mtazamo wako juu yake hautakiwi kubadilika.

Marafiki wa mkeo wakija huwa unaongea nao (mathalani masuala ya kijamii, kiroho au kisiasa)? Basi na dada wa kazi ana haki ya kuwa na mazungumzo hayo nawe bila yeyote kati yenu (mkeo included) kuwa na hofu au reservations zozote.

*Sipingani na wewe..najaribu tu kuelezea an alternative way.


Ieleweke sifanyi hivyo kuogopa vishawishi, kama ni kwa ajili hiyo ni kazi bure, wasichana nakutana nao kuanzia kazini na kwenye mizunguko mingine ya maisha. Kama ulivyosema ni jambo la nidhamu binafsi na kuutiisha ubongo.

Siwanyimi uhuru, na namshukuru Mungu, situmii shida ya mtu kumnyanyasa au kumkandamiza aisee, iwe ofisini au popote, never. Sijajua tafsiri yako ya kunyima uhuru lakini.

Amen to this. Ila treat her more kama binti yako wa kike (ushauri wangu). Treat her kama your work mate. Treat her kama ndugu yako wa kike.
 
Naona watu wanakushauri ETI madada wa kazi sio tasa.. Kama shida hapa ni mimba si ununue condom tu!
 
Nashukuru kwa kunijibu kistaarabu.
Je, mdogo wako wa kike anaweza kuja sebuleni na kanga pekee? Kama ndiyo, basi na dada ana haki ya kufika sebuleni na khanga. Bado mtazamo wako juu yake hautakiwi kubadilika.
Marafiki wa mkeo wakija huwa unaongea nao (mathalani masuala ya kijamii, kiroho au kisiasa)? Basi na dada wa kazi ana haki ya kuwa na mazungumzo hayo nawe bila yeyote kati yenu (mkeo included) kuwa na hofu au reservations zozote.
*Sipingani na wewe..najaribu tu kuelezea an alternative way.
Amen to this. Ila treat her more kama binti yako wa kike (ushauri wangu). Treat her kama your work mate. Treat her kama ndugu yako wa kike.

Najua hata wewe unafaham kwamba siwezi kukwaruzana na wewe, licha ya utakachokiandika kwa sababu ukweli wakati mwingine unauma na ni dawa, anaekwambia ukweli anakusaidia. Na vile vile usinichoke wala kuchukulia kama mabishano.
Naomba nirudie tena hao dada wa kazi (Sio mmoja) hata wakiwa na wadogo zangu au wadogo za mke wangu huo ndio utaratibu wao, sikuwahi kuwaambia kitu kama hicho mkuu. Kama nikikaa sebuleni wanaondoka wote unless kuna kitu nataka kuongea nao, ikabidi siku moja nimuulize wife kama aliwakataza kukaa sebuleni akasema hapana, ndio maana hata mimi mambo yangu na muda mwingi nautumia chumbani kama hakuna cha ulazima cha kuniweka sebuleni. Bahati nzuri mara nyingi naenda weekend tu, na nikiwa likizo.

Nawaheshimu na kuwathamini sana hawa dada zetu mkuu, zingatia unamwachia mtoto wako siku nzima amhudumie kila kitu, akiingiwa na kisirani itakuwaje? Wakati wote huwa nakumbuka mistari miwili kwenye Biblia, "...nilizaliwa nikiwa uchi na ntarudi tena huko uchi vilele..." na mwingine "...wateendeeni wengine kama ambavyo mngependa wao wawatendee ninyi..."
Hiyo inajumuisha wadada wakazi pia.

Be blessed.
 
Wakuuu salama!

Wife kasafiri kidogo kaend kwao sasa kwa bahati mbaya nimebakia mm na mdogo wangu wa Kike na mfanyakazi! Sasa huyu mfanyakazi amekuwa mkarim sana kwangu hatari. Kana maneno mazuri mno. Bahati mbaya nipo likizo kwhiyo muda mwingi nipo home! Sasa muda mwingi naangalia TV isiku nako kanakuja kanaangalia kanacjelewa kulala.

Kana umri mkubwa kiasi kana miaka 23 hivi! Ukikaangalia kanavutia sana. Najitahid kuchelewa kurud lakini hakalali mpaka ni rudi! Ni wiki ya pili sasa! Naona majaribu hatari kuna muda nawaza kukapanua kwasababu kana mitego hatari mara kaje na kanga tupu basi shidaaa! Nifanyeje wazee


kama upo likizo si bora umfuate mkeo huko kwao....ili uepuke hilo jaribu.
 
achana nae na wala usimuweke mawazoni mwako. Fanya yote ila sio kutembea na mtu mnayeishi nae utajulikana tu labda ukimla umfukuze. Halafu mademu wote hawa mitaani bado unamuwaza house girl muheshimu mkeo brother
 
We mtaani wameisha ? utakuja juta kwichi kwichi fanyia mbali hawa wadada sijui vizazi vyao vipi bwana wanapata mimba utazan mayai yao yako mfuko wa juu
 
Hapa ndivyo mwanaume kichwa cha familia inavyopaswa kuwa...

Nikiwepo sebuleni kama hawana kazi ya kufanya wanaondoka wenyewe, siwafukuzi. Call it u dictator, lakini haiachi nafasi ya dada wa kazi kunijia sebuleni na kanga au kuanzisha maongezi ya ajabuajabu. Unajiweka mazingira gani hadi dada aje na kanga? The line must be drawn
.
 
Hapa ndivyo mwanaume kichwa cha familia inavyopaswa kuwa...

Ni kweli mkuu, simaanishi tuwachukie au kuwanyanyasa no, yule ni binadamu kama binadamu wengine na wanatusaidia sana. Lakini huo ndio utamaduni wetu nyumbani kwangu, na sio kwamba nawafukuza. hadi wakati mwingine unaona usiwafanye wajifungie chumbani unaamua kufanya mambo mengine chumbani ili kuwapa nafasi ya wao kuwa huru kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom