BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Yap...Ni kweli mkuu, simaanishi tuwachukie au kuwanyanyasa no, yule ni binadamu kama binadamu wengine na wanatusaidia sana. Lakini huo ndio utamaduni wetu nyumbani kwangu, na sio kwamba nawafukuza. hadi wakati mwingine unaona usiwafanye wajifungie chumbani unaamua kufanya mambo mengine chumbani ili kuwapa nafasi ya wao kuwa huru kidogo.
Na kunakuwa na line fulani hivi....
Ukiheshimiwa nyumbani kwako hiyo nguvu ya hg kujikalisha usiku wakati wenzie wamelela akiwa na kanganmoja ataitoa wapi?????