Housegirl kanichanganya sana!

Umenikumbusha story ya rafiki yangu juzjuzi tu. Baada ya kuona maisha yamekuwa magumu, alimwita mkewe na kumwambia ajifunze kupika ili wamfukuze housegirl. Mke kwa unyenyekevu akajibu, 'sawa mume wangu, na wewe jifunze kuto*** ili tumfukuze mlinzi'
Copy paste = old news!
 
hata mimi hapo kwnye red ngastuka! Au vle h'g anajua 2ku2ku c mal yake hta akmwambia hakuna tatzo, ila kwa nn amchanganye na mama mwnye nyumba?? Hebu huyu 2ku2ku arud hapa aje a2fanyie cku ye2 iwe nzur jion ya leo. Mbona kapotea ghafla?
Sweetlady, yaani ikiwa ni hivyo ni afadhali! Unajua sitaki kuamini kwasababu...hili jukwaa la MMU watu wanatengeneza stori ambazo si za kweli, ili kuona watu wana-react vipi!!!
Unajua namfkiri huyo h/g, alipata wapi ujasiri wa kuanza kumwambia "hata mlinzi naye alinisifia......",! Huyu h/g ni mdogo kiasi gani...mpaka asione aibu kwa yale aliyofanya na mlinzi na kumsimulia baba mwenye nyumba????!!!!! haya maneno:
"Asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia
" Naona kama yamechakakuliwa hivi????!!!!
 
tehe, tehe, tehe! Have a 9c evening!
Umenikumbusha story ya rafiki yangu juzjuzi tu. Baada ya kuona maisha yamekuwa magumu, alimwita mkewe na kumwambia ajifunze kupika ili wamfukuze housegirl. Mke kwa unyenyekevu akajibu, 'sawa mume wangu, na wewe jifunze kuto*** ili tumfukuze mlinzi'
 
I hate people who copy stories, actually hii ilikuwa in english , he just translated it, kisha bila aibu he is basking on free ride za ushauri...

Afadhali my dear sister, umesema hilo, thanks! Maana mimi nimekataa kuamini kabisa..........!!!!
 
hata mimi hapo kwnye red ngastuka! Au vle h'g anajua 2ku2ku c mal yake hta akmwambia hakuna tatzo, ila kwa nn amchanganye na mama mwnye nyumba?? Hebu huyu 2ku2ku arud hapa aje a2fanyie cku ye2 iwe nzur jion ya leo. Mbona kapotea ghafla?

Kapotea gafla kwasababu ametuletea hadithi ya uongo..!!!! Angalia alivyoandika Eng. Nsiande...
 
Mimi kuna kitu kinaniumiza katika hili, Mnaposema sema fukuza huyo house girl as if yeye ndio mwanzo wa matatizo wakati hao wanandoa ndo wana matatizo wenyewe. HOUSE GIRL mmemfanya kama sio mwanadamu mwenye haki wala sioni thamani yoyote mnayompa (FUKUZA HOUSE GIRL). Kumchakachua umemchakachua, kumfukuza kazi unamfukuza halafu kinafuata nini?? Unamfukuza kwa kosa gani, hataa mbwa akifukuzwa anakuwa amekosea kitu.

Unasema umetubu labda kwa Mungu na kwa watu pia, kama kweli umetubu kwa kumaanisha, unaposema umfukeze house girl au mlizi unataka waende wapi?? Maskini wa Mungu walikuwa wanajipatia mkate wao wa kila siku kwa kukufanyia kazi wewe. Lakini kwa tamaa zenu mnawanyima furaha, hasa huyo binti maskini kakosa nini??

Nyie wote wanandoa mjue mlikuwa mnakomoana, yawezekana huyo mkeo, aliamua kutoka namlinzi baada ya kujua kwamba unatoka na house girl. Daaa mi kinauma kwa kweli, watoto wetu hawa wanaofanya kazi nyumbani kwa watu, yani nyumba nyingine sio nyumba kabisa ni mlango wa kwenda jehanamu.

Mi sijui kama nimekusamehe, mpaka nitakapojua, umechukua uamuzi gani juu ya huyo binti na huyo kaka.
Wala sioni cha kukwambia zaidi ya hili. TUBU KWA KUMAANISHA KUACHA, KAA NA HUYO MKEO MTUBIANE UOVU WENU. Mgeuke kuwa baba na mama wenye mfano wa kuigwa. MKISHAFANYA hivo kama unamfukuza huyo binti ujue anakwenda wapi kufanya nini, na maisha yake yataendelea je?? Yani ningekuwa mwamuzi wa hii kesi TUKUTUKU sijui ningekupa adhabu gani ................................basi tu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Na hata kama umetunga. Kuna viumbe vinafanya mchezo kama huu. Washindwe!!!
 
Kapotea gafla kwasababu ametuletea hadithi ya uongo..!!!! Angalia alivyoandika Eng. Nsiande...

Heheh Keren, hii story inafowadiwa kwenye maemails sana plus hiyo ya huyo anayejiita polisi,...ni vyema angepeleka kwenye jokes tujue moja
Lakini analeta huku expecting sympathy and advice on a 'cooked story ?' Have a nice weekend,
 
Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu.
Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia.
Baada ya kusikia hayo nilichanganyikiwa sana,na hasa baada ya kugundua kuwa mlinzi wangu kumbe anatembea na mke wangu wa ndoa.Baada ya kufikiri kwa kina niligundua kuwa mimi nilikuwa mkosefu sana,sistahili hata kidogo kumfukuza mke wangu,lakini ni lazima nimfukuze mlinzi ili kunusuru ndoa yangu.Kinachonitatiza ni namna ya kumfukuza huyu mlinzi wangu.Sote kama familia tunaamini ni mchapa kazi na hana mapungufu yoyote ambayo naweza kuyatumia kumfukuza kazi.Je nitumie mbinu gani ili niweze kumfukuza .
Najua nina makosa,lakini naomba wanaJF wote mnisamehe,kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake.Naomba ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi.
Nawasilisha!!

Hapo nilipopigiliamsumari ni kwmba MLINZI ALISHA TAFUNA WOTE YAANI HOUSE GIRL NA MKEO, ILA HOUSE GIRL WAKO BADO NI MTAMU.

MIMI NI MWANASAIKOLOJIA, NA HAPA NAONA KUWA WEWE ULISHAHISI MKEO SIYO MTAMU NDIO MAANA UKAKIMBILIA NJE (KWA HOUSE GIRL WAKO).

NA KWA KUWA MLINZI PIA ALISHANOGEWA NA HOUSEGIRL, BASI NADHANI HAMCHAPI TENA MKEO, ANAENDELEA KUCHAP HUYO HOUSE GIRL.

HIVYO, USIMFUKUZE MKEO, MFUKUZE HOUSEGIRL ILI KUWE NA AMANI NDANI YA NYUMBA YAKO.

BAADA YA HAPO, UKAE WEWE NA MKEO NA MLINZI MZUNGUMZE OPENLY UMWAMBIE UKWELI, INGAWA KUNA SHAKA KUWA AKIONDOKA HOUSEGIRL, PENGINE MLINZI WAKO ATAENDELEZA UTAFUNAJI WA MKEO. HAPO KAA CHONJO!

ALTERNATIVE NYINGINE NI KUFUKUZA HOUSEGIRL NA MLINZI WAKAANZE MAISHA MAPYA NA WEWE UIJENGE FAMILIA YAKO.
 
Hii nimewahi sikia kijiweni kwetu ililetwa na mtu mmoja akatuuliza kama ni baba mwenye nyumba ungefanyaje? Napata kigugumizi kuamini hii imemtokea tukutuku.
 
Heheh Keren, hii story inafowadiwa kwenye maemails sana plus hiyo ya huyo anayejiita polisi,...ni vyema angepeleka kwenye jokes tujue moja
Lakini analeta huku expecting sympathy and advice on a 'cooked story ?' Have a nice weekend,
Kweli kabisa!
 
Japo sijapata hizo emails, lakini niliona tu hapa kuna uongo!

Otherwize thanks my dear....have a blessed weekend too!
 
I hate people who copy stories, actually hii ilikuwa in english , he just translated it, kisha bila aibu he is basking on free ride za ushauri...

Likely 2b a cook story. But these things do happen. Be careful. Hujawahi sikia mume kutembea na h/g au mke na h/b au na mlinzi. Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
teheeetehete.....hii story ni nzuri saaaana kuwa ya ukweli tehetetehetee....tuku*2 we kiboko tehetetehtee
 
Duuu kuna hadithi nyingine zikitungwa zinapata wachangiaji wengi sana, asante tukutuku umeonesha ubunifu ulio bora kabisa :hand:!!
 
Mchane live mlinzi kuwa kale ka agenda kake ka kudandia ndan ya nyumba umegundua ila usimwambie kamchakachua nani na mwambie unaendelea na uchunguz mkali ukibaini ameingia ndan zaid basi ajue ama zake ama zako na kama anajua amefika ndan zaid bora atimue mapema sabb hupend kumharibia.kama ni kweli mlinz alipiga ndani atajua dil limebuma atateleza mwenyew ila ka ni fitna za hg nahc atakuwa mvumilivu na hapo itakuwa rahic kwako kumchuja mbaya wako.
 
Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu.
Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia.
Baada ya kusikia hayo nilichanganyikiwa sana,na hasa baada ya kugundua kuwa mlinzi wangu kumbe anatembea na mke wangu wa ndoa.Baada ya kufikiri kwa kina niligundua kuwa mimi nilikuwa mkosefu sana,sistahili hata kidogo kumfukuza mke wangu,lakini ni lazima nimfukuze mlinzi ili kunusuru ndoa yangu.Kinachonitatiza ni namna ya kumfukuza huyu mlinzi wangu.Sote kama familia tunaamini ni mchapa kazi na hana mapungufu yoyote ambayo naweza kuyatumia kumfukuza kazi.Je nitumie mbinu gani ili niweze kumfukuza .
Najua nina makosa,lakini naomba wanaJF wote mnisamehe,kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake.Naomba ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi.
Nawasilisha!!
Ili mradi mlinzi amekiri kuwa Hg ni zaidi ya mkeo. Cha kufanya achana na Hg ili mlinzi aendelee kujinafasi huko na wewe endelea na mkeo.
 
Ndugu, kwa nn umfukuze mlinzi na umuache housegeli,? Inaonekana bado hujajutia matendo yako. Fkuz wote, acha mke tu. Ongea na mama muungamianeni dhambi zenu kabl ya kuwafukuza. Hapo mtalia sana na aibu badae vicheko. Kumbuka kuomba Mungu ainusuru ndoa yako. Omba hekima kwa Mungu kabla ya kuchukua hatua yoyote
 
Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu.
Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia.
Baada ya kusikia hayo nilichanganyikiwa sana,na hasa baada ya kugundua kuwa mlinzi wangu kumbe anatembea na mke wangu wa ndoa.Baada ya kufikiri kwa kina niligundua kuwa mimi nilikuwa mkosefu sana,sistahili hata kidogo kumfukuza mke wangu,lakini ni lazima nimfukuze mlinzi ili kunusuru ndoa yangu.Kinachonitatiza ni namna ya kumfukuza huyu mlinzi wangu.Sote kama familia tunaamini ni mchapa kazi na hana mapungufu yoyote ambayo naweza kuyatumia kumfukuza kazi.Je nitumie mbinu gani ili niweze kumfukuza .
Najua nina makosa,lakini naomba wanaJF wote mnisamehe,kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake.Naomba ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi.
Nawasilisha!!
Usimfukuze mlinzi wala nini,kwakuwa wewe house girl amekuchanganya,basi na mkeo mlinzi amemchanganyi,so endelezeni michanganyano yenu tuu!!
 
kwanza fanya utafiti kama kweli mlinzi nae anachakachua mkeo basi wafukuze wote mlinzi na house girl maana wote hamna heshima kisha kaa na mkeo muongee mkosoane. kwa kuwa wote mna makosa then mkishapatana inabidi mchakachuane kuongeza penzi lenu
 
Back
Top Bottom