Housegirl kanichanganya sana!

Housegirl kanichanganya sana!

Duu!! Mkuu kama hii ni kweli ndoa yenu kiboko... Ila mimi nimekusamehe kwa kuwa umetambua kosa, lkn mbona hujaomba ushauri wa namna ya kumfukuza na h.girl wako???

Bado anamuhitaji huyo h'g ndio maana hajaomba ushauri wa kumfukuza
 
mkuu nataka nijui siku yako kwa kawaida ikoje na huyo mlinzi,mnasalimiana kwel.....:biggrin::biggrin::biggrin:
 
hapo ni lazima uchukue maamuzi magumu, wekeaneni bayana we na mkeo juu ya tabia zenu yako na yake then muondoe mlinzi na housegirl pia hamna jinsi hapo,plus jaribuni kumrudia Mungu ndo njia pekee rahisi njia nyingine zote zitakuwa ni kama kupumzika tu
 
Hii hadithi kweli ni tamu mdau amejipanga kweli ameandika sehemu akaanza kucopy ubunifu mzuri sana hongera mkuu
 
Mwambie mkeo' umeamua mrudie enzi zenu za ubachelor kwa hiyo hutaki mtu nyumbani' watoto waende bording na mlinzi na house girls awarudi makwao
 
Wahusika wote kaeni kikao muweke maamuzi\makubaliano
 
Kwa nini umfukuze sasa? Muache achape kazi. Kama mkeo ana tabia ya kuchepuka ukimfukuza mlinzi atatafuta spea tairi nyingine. Suala linaloonekana hapo ni kuwa wewe na mkeo hamridhishani. So tafuteni ushauri wa kisaikolojia...
 
Hadi unaingia kwenye ndoa it means akili imekomaa,nashangaa kuona unashindwa kuhandle swala kama ilo.Huitaji mapungufu kumfukuza huyo houseboy.

Kwan yy kutembea na mkeo sio mapungufu hayo??.Maana kashindwa fanya kazi iliyomleta.Cha mcngi weka wazi kwa mkeo juu ya uhusiano wao,then timua huyo jamaa.
 
kwa nini hutapata upnzan? Familia haimtaki? Kama ni rahisi anza nae,then mfwate mlinzi kiume, mwambie nmegundua unamchakachua wife so potea kabla cjakufanya hamna, kama ni kwel ataogopa then atapotea, ucmwambie wife. Akshaondoka wife akiulza mwambie ulchogundua, baada ya hapo kaeni chini muangalie wap mlianza kupotea, i mean mapunguf yenu wote wawil na jinsi ya kuyakabili ili huo ujinga ucjirudie tena. Naamin hutarudia tena kaka tukutuku. Mungu akutangulie!

You have spoken my mind.
 
Nimecheka hadi nimekaa chini mkuu, pole sana ila mwambie housgal wako apunguze bangi
 
Back
Top Bottom