Housegirl kanichanganya sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Housegirl kanichanganya sana!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TUKUTUKU, Feb 25, 2011.

 1. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu.
  Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia.
  Baada ya kusikia hayo nilichanganyikiwa sana,na hasa baada ya kugundua kuwa mlinzi wangu kumbe anatembea na mke wangu wa ndoa.Baada ya kufikiri kwa kina niligundua kuwa mimi nilikuwa mkosefu sana,sistahili hata kidogo kumfukuza mke wangu,lakini ni lazima nimfukuze mlinzi ili kunusuru ndoa yangu.Kinachonitatiza ni namna ya kumfukuza huyu mlinzi wangu.Sote kama familia tunaamini ni mchapa kazi na hana mapungufu yoyote ambayo naweza kuyatumia kumfukuza kazi.Je nitumie mbinu gani ili niweze kumfukuza .
  Najua nina makosa,lakini naomba wanaJF wote mnisamehe,kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake.Naomba ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi.
  Nawasilisha!!
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  yan kaka 2ku2ku umenkera kupita maelezo. Wewe na huyo mkeo wte mna tabia chaf, kutembea na h'g na mlinz?? Wte mna mapunguf makbwa sn! Fanyeni maombi uck na mchana.
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nachoweza kusema ni vema UMEJITAMBUA, naungana na wenzangu kupokea msamaha wako.
  Naimani wenzangu watadadavua juu ya njia bora, ila kumuondoa mlinzi ni sehemu ya kuinusuru ndoa yako.
  Bali na house girl nae aondolewe, wote mnamakosa kuanzia wanandoa mpaka wafanyakazi wenu.
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  kwanza hapo hakuna cha mke wa ndoa wala mme wa ndoa cz wte mmechakachua ndoa yenu. Inaniuma km vle mm ndo h'band katmbea na h'g. Mwogopen Mungu.
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sawa mkuu nimeshakiri kuwa nini makosa na nikaomba mnisamee!naomba ushauri wako namna ya kumfukuza mlizi!!
   
 6. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duuu mkuu tukutuku, hii ulofanya kali kuliko zote, lakini kwakuwa umeomba msamaha basi umesamehewa!!! Ila mkuu wewe na huyo wife ni wachafu kuliko uchafu wenyewe!!!!! :A S 13:
   
 7. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa kunisamehe,najua na mungu atanisamehe!!
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tutajirekebisha mkuu!bado nasubiri ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi!!
   
 9. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tutajirekebisha mkuu,bado nasubiri ushauri wako namna ya kumfukuza mlinzi!!
   
 10. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Duu!! Mkuu kama hii ni kweli ndoa yenu kiboko... Ila mimi nimekusamehe kwa kuwa umetambua kosa, lkn mbona hujaomba ushauri wa namna ya kumfukuza na h.girl wako???
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  mbona umeng'ang'ania mlinzi na huyo h'g je? Yeye pia inabd umfukuze. Mimi pia nmekusamehe ila ucrudie tena! Mlinzi usimfkuze! Anza na h'g kwanza.
   
 12. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kabla ya kufikiria ni njia gani utatumia kumfuza mlinzi,ni muhimu ukae chini na mkeo na wote muwe tayari kukiri makosa yenu na kusameheana.
  Then mnaweza kuishi kwa amani na ukweli.Otherwise unajidanganya kwamba kumfukuza mlinzi ni dawa,coz utaleta mlinzi mwingine na maza ataendelea kuchakachua kama kawa.na we pia utamchakachua mboch kwa kwenda mbele.
   
 13. n

  ngoko JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mhe. TUKUTUKU, nadhani kama kweli umeamua kukiri makosa , fukuza huyo House Girl wako na uachane nae kabisa , Then hilo jingine anza kulifanyia utafiti, maana isije ikawa janja ya hg kutaka kuwafarakanisha ili aweze kuchukua ukanda , kama kuna ukweli lazima utajitenga na hapo ndipo chukua hatua dhidi ya mkeo. Otherwise, utajikuta mke unakosa, mfanyakazi mwenyekuaminika naye mnapoteza unabaki na huyo hg + watoto wakiteseka na hasara nyingine nyingi ukizingatia huyo hajui kukataa hata baada ya kumpromote bado ataendela kuona kama na wengine wanamsifia kama ulivyofanya wewe . Kumbuka Tamaa --> dhambi---> mauti
   
 14. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hapo inabidi mlinzi na Housgal wote waondoke
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kumfukuza housegirl ni raisi kwa kuwa sitopata upinzani kutoka kwa familia!!
   
 16. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kumfukuza housegirl ni raisi kwa kuwa sitopata upinza kutoka kwenye familia yangu na hasa mke wangu!!
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa ushauri wako mkuu!!
   
 18. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa ushauri wako mkuu!!
   
 19. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nahitaji namna ya kumuondoa mlinzi kwa kuwa kumuondoa housegirl ni raisi sana!!
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  kwa nini hutapata upnzan? Familia haimtaki? Kama ni rahisi anza nae,then mfwate mlinzi kiume, mwambie nmegundua unamchakachua wife so potea kabla cjakufanya hamna, kama ni kwel ataogopa then atapotea, ucmwambie wife. Akshaondoka wife akiulza mwambie ulchogundua, baada ya hapo kaeni chini muangalie wap mlianza kupotea, i mean mapunguf yenu wote wawil na jinsi ya kuyakabili ili huo ujinga ucjirudie tena. Naamin hutarudia tena kaka tukutuku. Mungu akutangulie!
   
Loading...