Housegirl kanichanganya sana!

Wewe kama mkuu wa familia una 'say' hivyo amka asubuhi mwambie ajira yako leo mwisho na unampa 24hrs notice. maadam anajua kua anamchakachua mkeo hatakua na kipingamizi kuondoka.
 
Mhe. TUKUTUKU, nadhani kama kweli umeamua kukiri makosa , fukuza huyo House Girl wako na uachane nae kabisa , Then hilo jingine anza kulifanyia utafiti, maana isije ikawa janja ya hg kutaka kuwafarakanisha ili aweze kuchukua ukanda , kama kuna ukweli lazima utajitenga na hapo ndipo chukua hatua dhidi ya mkeo. Otherwise, utajikuta mke unakosa, mfanyakazi mwenyekuaminika naye mnapoteza unabaki na huyo hg + watoto wakiteseka na hasara nyingine nyingi ukizingatia huyo hajui kukataa hata baada ya kumpromote bado ataendela kuona kama na wengine wanamsifia kama ulivyofanya wewe . Kumbuka Tamaa --> dhambi---> mauti

this is tru broda, mjomba TUKUTUKU theres no other better ushauri than this one. Ufanyie kazi mkuu but omba msamaha pia kwa MWENYE ENZI atupaye pumzi.
 
Sweetlady, yaani ikiwa ni hivyo ni afadhali! Unajua sitaki kuamini kwasababu...hili jukwaa la MMU watu wanatengeneza stori ambazo si za kweli, ili kuona watu wana-react vipi!!!
Unajua namfkiri huyo h/g, alipata wapi ujasiri wa kuanza kumwambia "hata mlinzi naye alinisifia......",! Huyu h/g ni mdogo kiasi gani...mpaka asione aibu kwa yale aliyofanya na mlinzi na kumsimulia baba mwenye nyumba????!!!!! haya maneno:
"Asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia
" Naona kama yamechakakuliwa hivi????!!!!


Nami naunga mkono hiyo ni ya kutunga, maana hakuna housegirl ambaye ni mshamba hivyo katika dunia ya leo. Atakula na wote, baba mwenye nyumba na mlinzi bila wao kujuana. Hivi hivi ajiharibie ulaji...Imepikwa hii
 
baba katembea na hausi geli,
hausi geli katembea na mlinzi,
mlinzi katembea na mama
mama anatembea na baba . . . and so on

Yaani uzinzi umevumbua uzinzi mwingine . . . aiseee

Yaani hapo ndugu, nyumba nzima mmefanya dhambi ya UZINZI, nyumba nzima itakatiwa mkaombewe na mtubu mbele za muumba
 
Ah Tukutuku, hii stori ilishawahi kuwekwa hapa kama wiki mbili au tatu zilizopita kwenye jukwaa la jokes.
 
ilikuwa nichangie,lakini kwa kuwa watu ni ya kutunga,sitosema kitu.kwa nini jamani mtu utunge story?si bora useme tangu mwanzo kuwa ni ya kutunga ila kama kitu kama hichi kikitokea utachukua ushauri gani?
 
wee na mkeo wote hamjatulia, wafukuzeni huyo mlinzi na h.girl, tabia chafu, hapo cwezi kuelewa issue ni wewe na mkeo hamridhishani au nn? muombeni Mungu awape neema
 
Tukiongea kiume ningeshauri huyo h/g umpandishe cheo na kumfanya small hausi na kumpangia mbali na home lakini kwakuwa kakiri kutembea na mlinzi huyo atakuwa ugawaji fukuza wote.

Uporoto01,

Mbona unampa Tukutuku ushauri wa kishetani?
Je kama mke wa Tukutuku naye akimpangisha mlinzi-serengeti boy wake mtaa wa pili na kuendeleza game huko itakuwaje?
Mie naona Tukutuku na mkewe wanafaana sana.
 
Kamwombe mungu msamaha si binadamu mwenzako, Watoe hao wafanyakazi wala huna haja ya kuomba ushauri. Duh yan mpaka sasa ukifika home unamkuta anafungua gate? unamwaminije je akikufanyia kitu kibaya? mtu mwingine asingekaa hata sekunde mbili
 
mbona umeng'ang'ania mlinzi na huyo h'g je? Yeye pia inabd umfukuze. Mimi pia nmekusamehe ila ucrudie tena! Mlinzi usimfkuze! Anza na h'g kwanza.
Kwa housegirl ni raisi sana kumfukuza sitopata upinzani wowote kutoka kwenye familia yangu!!
 
hapo inabidi mlinzi na Housgal wote waondoke
sawa mkuu,lakini nahisi nitapata upinzani wa chini kwa chini,pale nitakapotaka kumfukuza housegirl nitapata upinzani mkubwa!!lakini kwa housegirl hakuna matatizo!
 
Mbona umekazana kutaka mbinu ya kumfukuza mlinzi na h/g humtaji au bado unamhitaji si umekiri ni mtamu kuliko maza hausi.
Ahahha!ni kweli mtamu sana,lakini nahitaji kujenga familia yangu upya,nipo tayari kumfukuza huyo housegirl kama itakuwa ndiyo suluhisho!!
 
Tukukutu, haya uliyosema ni kweli??? au ndo zile hadithi wanajamvi wanatengeneza ili watu waweze kuchangia?? Kwanini nauliza, nashindwa kuamini jinsi huyo housegirl alivyokuambia????....:A S 13::A S 13::A S 13:
Ni kweli sister!hii imetokea,tofauti na watu wengine mimi nimeamua kuwa mkweli!kwani waswahili wanasema mficha magonjwa mauti umuumbua!!
 
Unaonaje ukafanya juu chini wife wako amfumanie mlinzi na H.girl wakichakachuana?! Itakuwa kama kumsukuma mlevi vile, maana wote wataondoka kwa mtiti atakaoanzisha huyo shemegi!!!
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu!!
 
Back
Top Bottom