Housegirl kanichanganya sana!

Sawa mkuu nimeshakiri kuwa nini makosa na nikaomba mnisamee!naomba ushauri wako namna ya kumfukuza mlizi!!

Mbona umekazana kutaka mbinu ya kumfukuza mlinzi na h/g humtaji au bado unamhitaji si umekiri ni mtamu kuliko maza hausi.
 
kwa nini hutapata upnzan? Familia haimtaki? Kama ni rahisi anza nae,then mfwate mlinzi kiume, mwambie nmegundua unamchakachua wife so potea kabla cjakufanya hamna, kama ni kwel ataogopa then atapotea, ucmwambie wife. Akshaondoka wife akiulza mwambie ulchogundua, baada ya hapo kaeni chini muangalie wap mlianza kupotea, i mean mapunguf yenu wote wawil na jinsi ya kuyakabili ili huo ujinga ucjirudie tena. Naamin hutarudia tena kaka tukutuku. Mungu akutangulie!
Asante sana kwa ushauri wako mkuu!!
 
mama gaude umesiki mambo ya mlinzi hayo eeh..haya mi nakuangalia tu..sio natka na Gazelle yangu naenda pale kwenye mji wetu nyuma huku mlinzi anajipindua tu ...
 
Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu.
Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia.
Baada ya kusikia hayo nilichanganyikiwa sana,na hasa baada ya kugundua kuwa mlinzi wangu kumbe anatembea na mke wangu wa ndoa.Baada ya kufikiri kwa kina niligundua kuwa mimi nilikuwa mkosefu sana,sistahili hata kidogo kumfukuza mke wangu,lakini ni lazima nimfukuze mlinzi ili kunusuru ndoa yangu.Kinachonitatiza ni namna ya kumfukuza huyu mlinzi wangu.Sote kama familia tunaamini ni mchapa kazi na hana mapungufu yoyote ambayo naweza kuyatumia kumfukuza kazi.Je nitumie mbinu gani ili niweze kumfukuza .
Najua nina makosa,lakini naomba wanaJF wote mnisamehe,kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake.Naomba ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi.
Nawasilisha!!

Tukukutu, haya uliyosema ni kweli??? au ndo zile hadithi wanajamvi wanatengeneza ili watu waweze kuchangia?? Kwanini nauliza, nashindwa kuamini jinsi huyo housegirl alivyokuambia????....:A S 13::A S 13::A S 13:
 
Unaonaje ukafanya juu chini wife wako amfumanie mlinzi na H.girl wakichakachuana?! Itakuwa kama kumsukuma mlevi vile, maana wote wataondoka kwa mtiti atakaoanzisha huyo shemegi!!!
 
amin dada karen, ma h'g wa cku hz ni hamnazo kwel kwel. Mm nmemshangaa kaka tukutuku kummwagia cfa h'g kuwa ni mtamu kulko wife. We fkiria m2 anamponda wife mbele ya h'g unategemea h'g aseme nn hpo? Ila 2mwombeen tuku na wife huyo pepo alyewaingia atoke!
Tukukutu, haya uliyosema ni kweli??? au ndo zile hadithi wanajamvi wanatengeneza ili watu waweze kuchangia?? Kwanini nauliza, nashindwa kuamini jinsi huyo housegirl alivyokuambia????....:A S 13::A S 13::A S 13:
 
Asante sana kwa ushauri wako mkuu!!
Tukiongea kiume ningeshauri huyo h/g umpandishe cheo na kumfanya small hausi na kumpangia mbali na home lakini kwakuwa kakiri kutembea na mlinzi huyo atakuwa ugawaji fukuza wote.
 
Mhh Ibilisi kweli ulitupwa duniani,kwanza kabisa anza na hg kabla hajaanza kuonesha dharau kwa mkeo na kuharibu kabisa mpango wako wa kumfukuza hata mlinzi kwani huwa wana viburi hwa pale wanapokuwa wamevuliwa c***i na baba mwenye nyumba.
then fanya utaratibu tafuta mlinzi mwingine akashatia timu hapo mwambie kabisa tunashukuru kwa kukaa na wewe muda woote japo ulionekana mwenye udhaifu wako ni huu,kama upo tayari kujadili la mlinzi alimchakachua mkeo basi uwe tayari kujadili mbele ya mkeo kuwa umemchakachua hg lakini kama hutaki hayo timua wote kwa pamoja kama nilivyoeleza hapo awali then mkae chini na mkeo MKAPIME AFYA ZENU MAANA MNA UHAKIKA GANI NA MLIOFANYA NAO MAPENZI NI WAZIMA.
Endeleeni kuomba toba kwa Mungu pia kama ni wakristo Neno la Mungu linasema ijapokuwa dhambi zenu ni nyekundu kama bendera atazifanya nyeupe kama theluji,ili muitunze familia yenu kwa uaminifu.
Utamu wa mke hukolezwa na wewe hakuna kiungo chakununua dukani
Kila la kheri
 
isijekuwa ni ndoto aliota ucku then akasahau akajua ni real story. Nataman aje tena a2ambie samahan wanajamvi hii ilkuwa ni ndoto niliyoota ucku. Yan nngefurahi kupita maelezo cz ameniumiza utadhan mm ndo my wife wake.
Mimi hata siamini kama ni kweli.....:A S 13::A S 13::A S 13:!
 
2kiongea kibinadamu ukimwi hautawabakisha wanaume wenye mawazo kama yako. Tena ushndwe na ulegee na mungu akusamehe cz hujui ulnenalo!
Tukiongea kiume ningeshauri huyo h/g umpandishe cheo na kumfanya small hausi na kumpangia mbali na home lakini kwakuwa kakiri kutembea na mlinzi huyo atakuwa ugawaji fukuza wote.
 
isijekuwa ni ndoto aliota ucku then akasahau akajua ni real story. Nataman aje tena a2ambie samahan wanajamvi hii ilkuwa ni ndoto niliyoota ucku. Yan nngefurahi kupita maelezo cz ameniumiza utadhan mm ndo my wife wake.

Sweetlady, yaani ikiwa ni hivyo ni afadhali! Unajua sitaki kuamini kwasababu...hili jukwaa la MMU watu wanatengeneza stori ambazo si za kweli, ili kuona watu wana-react vipi!!!
Unajua namfkiri huyo h/g, alipata wapi ujasiri wa kuanza kumwambia "hata mlinzi naye alinisifia......",! Huyu h/g ni mdogo kiasi gani...mpaka asione aibu kwa yale aliyofanya na mlinzi na kumsimulia baba mwenye nyumba????!!!!! haya maneno:
"Asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia
" Naona kama yamechakakuliwa hivi????!!!!
 
hapo..imekulaa kwako,na mlinzi ndo mjanjaa kachakachuaa zoteee,wee cha muhimu endeleaa na house gal na mkeo aendelee na mlinzi,hiyo ndoa ivunjwee
 
Tukutuku ...this aint u! You copied somewhere..be real brodda
OLD NEWS !
Engineer
 
Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu.
Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia.
Baada ya kusikia hayo nilichanganyikiwa sana,na hasa baada ya kugundua kuwa mlinzi wangu kumbe anatembea na mke wangu wa ndoa.Baada ya kufikiri kwa kina niligundua kuwa mimi nilikuwa mkosefu sana,sistahili hata kidogo kumfukuza mke wangu,lakini ni lazima nimfukuze mlinzi ili kunusuru ndoa yangu.Kinachonitatiza ni namna ya kumfukuza huyu mlinzi wangu.Sote kama familia tunaamini ni mchapa kazi na hana mapungufu yoyote ambayo naweza kuyatumia kumfukuza kazi.Je nitumie mbinu gani ili niweze kumfukuza .
Najua nina makosa,lakini naomba wanaJF wote mnisamehe,kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake.Naomba ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi.
Nawasilisha!!

Umenikumbusha story ya rafiki yangu juzjuzi tu. Baada ya kuona maisha yamekuwa magumu, alimwita mkewe na kumwambia ajifunze kupika ili wamfukuze housegirl. Mke kwa unyenyekevu akajibu, 'sawa mume wangu, na wewe jifunze kuto*** ili tumfukuze mlinzi'
 
Tukukutu, haya uliyosema ni kweli??? au ndo zile hadithi wanajamvi wanatengeneza ili watu waweze kuchangia?? Kwanini nauliza, nashindwa kuamini jinsi huyo housegirl alivyokuambia????....:A S 13::A S 13::A S 13:

I hate people who copy stories, actually hii ilikuwa in english , he just translated it, kisha bila aibu he is basking on free ride za ushauri...
 
Back
Top Bottom