House girls na akina baba

House girls na akina baba

Ukisia uuuuwi tayari limempata huyo!!!!
Aisseeee! nawachukia sana house girls hasa wasojitambua!
kumekua na thread nyingi sana humu wanaume wengi wanazungumzia kuwamega ma house girls. Hivi nyie ni wanaume mliokamilika kweli!!! ulijari sio kusimamisha na kudunbukiza kwenye kila shimo mwisho wa siku mtapanda hadi ndugu zenu na wanenu.

Mi huwa nawadharau sana wanaotembea na mahousegirl coz hata kufua chupi hawajui sembuse kusafisha u^chi???? hivi wanawake huko nje wameisha hadi umchukue house girl?! mara ooh kanivalia kanga moja... ooh kaniambia nipange zamu!! shenx type !!

Mkome mkomae na ujinga wenu! btw michepuko sio dili baki njia kuu!!!
 
kuna thread nimechefua dats y! mi nikimfumania hacra zangu hazitaishia hapa nitamchukua hb wa ukwel alokamilika tukishaanza mambo nampigia cm aje afumanie coz dawa ya moto ni moto
Kwa akili yako hiyo unadhani ndiyo utatuzi wa jambo.
 
SABABU kubwa ya wengi kutembea na house girl ni KIPENYO au CIRCUMFERENCE
Wengi wanafeel tightness sababu vipenyo vya ni vidogo tena vinabana wanawakimbia Ma-wife maana vipenyo vimekua DILATED ambako unaingia mzima mzima na sababu zinginezo ambayo wife ndo wasababishi
Hii ndo SIRI kubwa wajameni
 
This coming from a woman, i
I like it....we r making progress

I am speaking from experience, it's a long story ila hakuna kinachotia hasira kama kumwona mtu anamdharau mwanadamu mwenzake just because they feel like it and think they are superior to others. And oh, just so she knows, some of us way back had to work as househelps as a means of survival ila Mungu mkubwa, somewhere along the way i found a sponsor who put me through school, and today here i am working as a sales manager. And this goes out to all the people out there, respect everyone you cross paths with coz you never know if at some point in life they will be the ones on the serving end.
 
tutatembea nao sana mpaka mtakapojirekebisha maana nyie wake zetu mkishafunga ndoa basi mnajiachia hata kunyoa mavuziz ni ishu yaani unakuwa mchafuuu huko chini hakufai kisa upo kwenye ndoa, minuno ya kufa mtu nani anataka tabu na house girl yupo around wacha tuwape mishedede.

Mnawaacha mpaka kutandika kitanda na kufua nguo za mmeo na hata kumpokea atokapo kazini unategemea nini hapo,shauri yenu.
 
Kina mama wengine wakishakuwa na hg huwaachia kazi zote za ndani hadi kumtayarishia baba chakula, maji ya kuoga, kumfulia na kupiga pasi, kufanya usafi chumbani, nk. Hii huchangia sana kujenga mazoea kwani baba hujikuta karibu huduma zote muhimu anapewa na hg, labda kulala tu. Na kama hg analipa na mzee ni mroho, nafasi ya mama inakwenda! Kinamama zingatieni majukumu yenu kwa waume zenu na sio kuwaachia hg hadi kutandika vitanda vinginevyo hamtaisha kulalamika. Nilikuwepo jamani!
 
Huo mfano wa Hg na "mtoto wa kuzaa" hauendani kabisa...hg ilmuradi hana uhusiano wa damu na wewe ni halali tu kama unavyomla Mama House...Sharti ni kuwa ifanywe kwa uangalifu ili Watoto na Mama House wasielewe chezo linavyokwenda...
Yani watu kama nyie ni.....
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    46.4 KB · Views: 100
I am speaking from experience, it's a long story ila hakuna kinachotia hasira kama kumwona mtu anamdharau mwanadamu mwenzake just because they feel like it and think they are superior to others. And oh, just so she knows, some of us way back had to work as househelps as a means of survival ila Mungu mkubwa, somewhere along the way i found a sponsor who put me through school, and today here i am working as a sales manager. And this goes out to all the people out there, respect everyone you cross paths with coz you never know if at some point in life they will be the ones on the serving end.

You are a real woman. Blessed is your mama. l love you.
 
Unakosea kitu kimoja dada yangu issue sio usafi smts hizo za hvyo zina stimu zake acha tu
 
Wanawake wengi wanayataka wenyewe;
wao na sofa wao na tv wao na jf;
house gel hadi kutandika kitanda
na ni kwanini baba asimle tena ukizingatia ana
joto kuliko maza hausi.

Asante sana kwa kuliona hili Mamndenyi :busu
 
Last edited by a moderator:
Housegirls nao ni wanawake jamani...
Tuache ubaguzi...
 
I am speaking from experience, it's a long story ila hakuna kinachotia hasira kama kumwona mtu anamdharau mwanadamu mwenzake just because they feel like it and think they are superior to others. And oh, just so she knows, some of us way back had to work as househelps as a means of survival ila Mungu mkubwa, somewhere along the way i found a sponsor who put me through school, and today here i am working as a sales manager. And this goes out to all the people out there, respect everyone you cross paths with coz you never know if at some point in life they will be the ones on the serving end.

Kiukweli hapa dada umeongea. ..

Mimi sisapoti mume kutembea na housegirl kama nisivyosapoti kutembea na mwanamke yeyote asiye mkewe.
Nakereka na vile watu wanavyowaongelea housegirls kama watu wachafu, wajinga, wasiofaa, wasio na thamani nk...
Its not right and just...
 
..Mi huwa nawadharau sana wanaotembea na mahousegirl coz hata kufua chupi hawajui sembuse kusafisha u^chi???? hivi wanawake huko nje wameisha hadi umchukue house girl?! mara ooh kanivalia kanga moja... ooh kaniambia nipange zamu!!
Kwanza acha kudharau kazi za wenzako! Uchafu/usafi ni tabia tu...mwanamke anaweza kuwa mrembo na kazi nzuri lakini mchafu kupindukia! Kwa mantiki yako nikichepuka na bosi wangu "hapa benki" itakuwa sawa tu kwako!?

Suala la msingi ni kuwa kuchepuka ni vibaya bila kujali kazi ya unayechepuka nae.
 
Kama wasichana wa kazi wanaleta mitego sio kitu kizuri, lakini kama kwa kawaida hakuna tatizo lolote sababu na wao binadamu na wana matamanio(wanatamani) sasa wakitengwa itakuwaje tena!

Mimi nilishawahi kuona wasichana wa kazi wanaolewa na wanaendelea kudumu kwenye ndoa zao
 
mmmmmh basi jamani mbona umewakalia kooni kihivyo wakirudia tena tutajua ni wagonjwa wa akili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom