Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,857
Last edited by a moderator:
Salute to you!!! Yaani hapo umenena haswaa!!!
Hahahahahaaa!!! It's funny how you analyse things, lol. Sasa unaposema unawadharau house-girls kisa hawajui kufua pichu are these not the same people you entrust your household into their care, wanawapikia na kuwafulia, they look after your kids and run the family, mweeehhh!
Just so you know, these "housegirls" are also humans, ni wanawake kama ww ulivyokua mwanamke, just because they do a lowly paid job doesn't make them lowlifes, jamani hebu jifunze kuwaheshimu binadamu wote, damn!
Si mimi, bali ni yule mwanamke uliyenipa.

Umbuje, ulisema OLESAIDIMU ni nani wako tena.nimesahau
Hommie unazeeka vibaya. Tangu lini kazi ya chama ikawa chafu?
Hahaha unesoma apo juu mwanaume ni mali ya umma...
likely umeibiwa mume na hg? pole,dunia tunapitaaaaaaaa,sitegemei kula beki 3.....na zero grazing ni hatari sana,fumanizi njenje...Aisseeee! nawachukia sana house girls hasa wasojitambua!
kumekua na thread nyingi sana humu wanaume wengi wanazungumzia kuwamega ma house girls. Hivi nyie ni wanaume mliokamilika kweli!!! ulijari sio kusimamisha na kudunbukiza kwenye kila shimo mwisho wa siku mtapanda hadi ndugu zenu na wanenu.
Mi huwa nawadharau sana wanaotembea na mahousegirl coz hata kufua chupi hawajui sembuse kusafisha u^chi???? hivi wanawake huko nje wameisha hadi umchukue house girl?! mara ooh kanivalia kanga moja... ooh kaniambia nipange zamu!! shenx type !!
Mkome mkomae na ujinga wenu! btw michepuko sio dili baki njia kuu!!!