Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,401
Naomba niulize wanaume humu, hv kila siku hamuishi kutupa lawama ss wanawake tunajisahau, hv mmesahau nyinyi mnapotutongoza mnavyokuwa na hekima na mtahakikisha mnatupa kila tukitakacho ila mkishatuoa tu huduma zinanza kukata? Inshu ya kujisahau ni yetu wote au na sis mkitusahau tutafute michepuko
Pole jamani Miss