Shemeji yangu anatembea na house girl wake

Samung

Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
16
Reaction score
3
Wadau nimeileta hii kwenu mnisaidie namna ya kumsaidia dada yangu . kama mjuavyo wengi sisi wanaume asilimia kubwa siyo waaminifu kwa wake zetu. miezi 4 iliyopita nilipata simu kutoka kwa dada yangu ambaye anaishi jijini dar na kunieleza vile mume wake anatabia ya kutembea na wasichana wa kazi. imekuwa ni tabia yake kwa muda mrefu na wakati mwingine inamlazimu dada yangu kuondoa wasichana wa kazi anapogundua kuwa kuna mahusiano yanayoendelea. washahili husema siku za mwizi ni 40. kama kawaida yake jamaa amezoea tena alinavyo mdharu mkewe hutembea na mahousegirl kwenye kitanda cha mke wake anapokuwa safarini au mchana akiwa kazini. za mwizi zikafika mchezo ukaendelea na kwa bahati mbaya au nzuri mimba ikatungwa. house girl alivyojua hayo akaacha kazi lakini mama mwenye nyumba akaambiwa kuna mchezo mchafu unaendelea humu na huyu house girl ameondoka kwa sababu ana mimba. mama mwenye nyumba akachukua hatua za kumfuata house girl na dada akamweleza dada yangu yote yaliyokuwa yamejiri. kweli sisi wanaume ni watu wa ajabu. bila kumhofu hata Mungu anayetuona unamlaza msichana wa kazi kwenye kitanda unacholala wewe na mkeo? sasa basi dada yangu kila ukimpigia simu anasema anaumwa mara pressure mara kichwa na sasa anasema ikiwa dada wa kazi anapewa mimba inaonyesha ni jinsi gani shemeji yangu hakumbuki hata kutumia kinga dada yangu atakuwa salama? nilivyokuwa namuheshimu shemeji yangu kwa sasa namuona kama soli ya kiatu na usomi wake alionao. dada yangu anataka kuachana naye kila kukikucha ni ugonvi na sasa anataka kuondoka lakini je aondoke na kwenda kupanga? haki ya msingi ya watoto wake ataipata wapi? nimejaribu kumsihi sana asiondoke tangu kipindi hicho lakini anaonekana anataka kuachana na huyu mwanaume. Amuache mume wake aondoke au mwanaume aondoke yeye?
 
Akisha amua kufanya venue sio Issue kubwa. Iwe kwenye kitanda cha nani DUSHERERE si ni ileile tu. We jaribu kumshauri dada yako atulie na ni suala la muda tu yataisha.
 
Dah wa kienyeji watamu balaa ...................!
Kwani nani huwa anafanya usafi wa chumbani kwa shemejiyo?
Mkewe au house girl?:angry:
 
Wewe umetoka wapi na nyumba ya dadako??? Umeoa wewe?? Unaonaje nyumba yako nayo ikakaliwa kikao na shemeji zako! Koma kabisa kujihusisha na hiyo nyumba. Kwanza huyo dadako hana hekima kabisa, mambo yake na mumewe yanakujaje kwako kaka mtu? Mwambie aende kwa msajili wa hiyo ndoa wala si wewe. Kama ni Mkristo wewe tayari unataka kuwa kifo kwa dadako. Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe. Dadako alikimbilia huko sasa ndo ameyakuta hayo. Avumilie. Atafute mbinu za kumtosheleza huyo mumewe. Dawa si kumkimbia bali kummaliza hizo nguvu. Mwambie, ampe adhabu ya kutokuvaa nguo afikapo hapo mlangoni, tena asikae sebuleni bali chumbani kwao saa zote mpaka ajute kwa nini alimwoa.
 
Huenda huyo mke wake hamtoshelezi jamaa kimapenzi!!

kumtoshelezaje ampe had mdmoni au? Yan ndo ugonjwa mkubwa wa wanaume! Aaah yan mi nachukia! Hivi huwa mnaoa vyanini kama bado mnataka kuchovyachovya hovyo? Dmn! Kila cku naskia hapa kesi za wanaume na mahousegirls yani ningekuwa mungu wanaume wote wanaotembea nje na hao mahausigeli wao ningewang'oa vidude vyao! Sometms mna2singizia wanawake! Aah!
 
ungeweka hata paragraph stori yako isichoshe kusoma!!!

sasa huyo dada ako anasubiria nini kuondoka
 
mapenz yanameng sana,hapo unakuta mmoja kati yao anatatizo hasa ktk mapenz ndan ya bed ndyo maana anapga nje y ndoa,cha msing akae na mumewe wajue tatizo nn then walitatue.
 
Wadau nimeileta hii kwenu mnisaidie namna ya kumsaidia dada yangu . kama mjuavyo wengi sisi wanaume asilimia kubwa siyo waaminifu kwa wake zetu. miezi 4 iliyopita nilipata simu kutoka kwa dada yangu ambaye anaishi jijini dar na kunieleza vile mume wake anatabia ya kutembea na wasichana wa kazi. imekuwa ni tabia yake kwa muda mrefu na wakati mwingine inamlazimu dada yangu kuondoa wasichana wa kazi anapogundua kuwa kuna mahusiano yanayoendelea. washahili husema siku za mwizi ni 40. kama kawaida yake jamaa amezoea tena alinavyo mdharu mkewe hutembea na mahousegirl kwenye kitanda cha mke wake anapokuwa safarini au mchana akiwa kazini. za mwizi zikafika mchezo ukaendelea na kwa bahati mbaya au nzuri mimba ikatungwa. house girl alivyojua hayo akaacha kazi lakini mama mwenye nyumba akaambiwa kuna mchezo mchafu unaendelea humu na huyu house girl ameondoka kwa sababu ana mimba. mama mwenye nyumba akachukua hatua za kumfuata house girl na dada akamweleza dada yangu yote yaliyokuwa yamejiri. kweli sisi wanaume ni watu wa ajabu. bila kumhofu hata Mungu anayetuona unamlaza msichana wa kazi kwenye kitanda unacholala wewe na mkeo? sasa basi dada yangu kila ukimpigia simu anasema anaumwa mara pressure mara kichwa na sasa anasema ikiwa dada wa kazi anapewa mimba inaonyesha ni jinsi gani shemeji yangu hakumbuki hata kutumia kinga dada yangu atakuwa salama? nilivyokuwa namuheshimu shemeji yangu kwa sasa namuona kama soli ya kiatu na usomi wake alionao. dada yangu anataka kuachana naye kila kukikucha ni ugonvi na sasa anataka kuondoka lakini je aondoke na kwenda kupanga? haki ya msingi ya watoto wake ataipata wapi? nimejaribu kumsihi sana asiondoke tangu kipindi hicho lakini anaonekana anataka kuachana na huyu mwanaume. Amuache mume wake aondoke au mwanaume aondoke yeye?

Kwani we shida yako ni nini
 
kwahiyo amshauri dada yake abadilishe style au?[/QU
Sasa wewe mtu amekariri kastyle kamoja ambacho hata watoto kwenye michezo ya kimama mama wanaitumia i.e kifo cha mende unategemea nini mwambie ajifunze na mambo mengine sio anahangaika kulea watoto tuuuuuuuuuuuuu ndo mana mahousegirl wanamsaidia
 
mwambie avumilie tu mbona kawaida sana hizo ndio changamoto za ndoa
 
Mwanaume wa hivyo si mwanaume ampige chini tu achape mwendo maana atamuua na UKIMWI.!
 
Wadau nimeileta hii kwenu mnisaidie namna ya kumsaidia dada yangu . kama mjuavyo wengi sisi wanaume asilimia kubwa siyo waaminifu kwa wake zetu. miezi 4 iliyopita nilipata simu kutoka kwa dada yangu ambaye anaishi jijini dar na kunieleza vile mume wake anatabia ya kutembea na wasichana wa kazi. imekuwa ni tabia yake kwa muda mrefu na wakati mwingine inamlazimu dada yangu kuondoa wasichana wa kazi anapogundua kuwa kuna mahusiano yanayoendelea. washahili husema siku za mwizi ni 40. kama kawaida yake jamaa amezoea tena alinavyo mdharu mkewe hutembea na mahousegirl kwenye kitanda cha mke wake anapokuwa safarini au mchana akiwa kazini. za mwizi zikafika mchezo ukaendelea na kwa bahati mbaya au nzuri mimba ikatungwa. house girl alivyojua hayo akaacha kazi lakini mama mwenye nyumba akaambiwa kuna mchezo mchafu unaendelea humu na huyu house girl ameondoka kwa sababu ana mimba. mama mwenye nyumba akachukua hatua za kumfuata house girl na dada akamweleza dada yangu yote yaliyokuwa yamejiri. kweli sisi wanaume ni watu wa ajabu. bila kumhofu hata Mungu anayetuona unamlaza msichana wa kazi kwenye kitanda unacholala wewe na mkeo? sasa basi dada yangu kila ukimpigia simu anasema anaumwa mara pressure mara kichwa na sasa anasema ikiwa dada wa kazi anapewa mimba inaonyesha ni jinsi gani shemeji yangu hakumbuki hata kutumia kinga dada yangu atakuwa salama? nilivyokuwa namuheshimu shemeji yangu kwa sasa namuona kama soli ya kiatu na usomi wake alionao. dada yangu anataka kuachana naye kila kukikucha ni ugonvi na sasa anataka kuondoka lakini je aondoke na kwenda kupanga? haki ya msingi ya watoto wake ataipata wapi? nimejaribu kumsihi sana asiondoke tangu kipindi hicho lakini anaonekana anataka kuachana na huyu mwanaume. Amuache mume wake aondoke au mwanaume aondoke yeye?
Poleni kwa yaliyowakuta katika falimia yenu.. mshauri dada yako asiondoke kwa nyumba. Cha msingi waitishe baraza la wazee waongelee haya mambo na kuyapatia ufumbuzi, wacheki afya zao, kama zipo bomba basi waanze kukamua maisha mapya, maharusi wapya upendo kama zamani.
Wandugu jee tufanyeje, nini mwarubaini wa kudhibiti hili janga la (waume) kuwachapa wasichana wa kazi..???
 
Mwanaume wa hivyo si mwanaume ampige chini tu achape mwendo maana atamuua na UKIMWI.!
Usiseme hivyo mkuu, jee atapiga chini wangapi? wanaume wengi wanatabia zinazofanana, cha msingi ni kuyaongea hayo mambo yakaisha.. kusameheana kupendana na kumueka mumewe karibu, isiwe kazi kazi.. mpaka kazi ikaondosha kazi..
 
Apeleke kesi kwa wazee labda jamaa atakuja kumheshimu

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kiukwel naniii za mahouse gal huwa tamu saaana maaana zinanuka kuchacha na kijasho fulani kiukwel hata mim nazipenda saaaana... Mshauli dada yako atulie na familia yake..... Binafsi napenda saaana wadada wachafu chafu saaaana
 
Usiseme hivyo mkuu, jee atapiga chini wangapi? wanaume wengi wanatabia zinazofanana, cha msingi ni kuyaongea hayo mambo yakaisha.. kusameheana kupendana na kumueka mumewe karibu, isiwe kazi kazi.. mpaka kazi ikaondosha kazi..

Msiwape vichwa hawa watu kuwa wanaume wote wanafanana kutembea na mahouse girl, hata kutembea na wanawake hovyo si sahihi wapo wanaume wenye staa zao na wanaheshimu ndoa zao.
Hasa huyu anayetembea na HG hachelewi kutembea na mwanawe pia. Sasa kama yeye mvumilivu atakula mabua na huyo jamaa asiye ogopa UKIMWI na asiyeheshimu ndoa yake wanini?

Ushauri wangu aachane naye kwa afya yake.
 
Wadau nimeileta hii kwenu mnisaidie namna ya kumsaidia dada yangu . kama mjuavyo wengi sisi wanaume asilimia kubwa siyo waaminifu kwa wake zetu. miezi 4 iliyopita nilipata simu kutoka kwa dada yangu ambaye anaishi jijini dar na kunieleza vile mume wake anatabia ya kutembea na wasichana wa kazi. imekuwa ni tabia yake kwa muda mrefu na wakati mwingine inamlazimu dada yangu kuondoa wasichana wa kazi anapogundua kuwa kuna mahusiano yanayoendelea. washahili husema siku za mwizi ni 40. kama kawaida yake jamaa amezoea tena alinavyo mdharu mkewe hutembea na mahousegirl kwenye kitanda cha mke wake anapokuwa safarini au mchana akiwa kazini. za mwizi zikafika mchezo ukaendelea na kwa bahati mbaya au nzuri mimba ikatungwa. house girl alivyojua hayo akaacha kazi lakini mama mwenye nyumba akaambiwa kuna mchezo mchafu unaendelea humu na huyu house girl ameondoka kwa sababu ana mimba. mama mwenye nyumba akachukua hatua za kumfuata house girl na dada akamweleza dada yangu yote yaliyokuwa yamejiri. kweli sisi wanaume ni watu wa ajabu. bila kumhofu hata Mungu anayetuona unamlaza msichana wa kazi kwenye kitanda unacholala wewe na mkeo? sasa basi dada yangu kila ukimpigia simu anasema anaumwa mara pressure mara kichwa na sasa anasema ikiwa dada wa kazi anapewa mimba inaonyesha ni jinsi gani shemeji yangu hakumbuki hata kutumia kinga dada yangu atakuwa salama? nilivyokuwa namuheshimu shemeji yangu kwa sasa namuona kama soli ya kiatu na usomi wake alionao. dada yangu anataka kuachana naye kila kukikucha ni ugonvi na sasa anataka kuondoka lakini je aondoke na kwenda kupanga? haki ya msingi ya watoto wake ataipata wapi? nimejaribu kumsihi sana asiondoke tangu kipindi hicho lakini anaonekana anataka kuachana na huyu mwanaume. Amuache mume wake aondoke au mwanaume aondoke yeye?

Mambo ya kawaida sana hayo wala hakuna jipya, inafahamika wazi kabisa kuwa Houseg girl ni msaidizi wa mama mwenye nyumba. Hata wewe ukioa lazima ufanye hiyo biashara haiwezekani ubanwe (Remember sex involves temporary emotions) uanze kuhangaika nje wakati kitu kipo ndani.

Mi naamini hata wewe ushafanya sana ila hujakamatwa tu. na kwa nn umeuuma sana? una maslahi gani na dada yako/ na huyo house girl?
 
kumtoshelezaje ampe had mdmoni au? Yan ndo ugonjwa mkubwa wa wanaume! Aaah yan mi nachukia! Hivi huwa mnaoa vyanini kama bado mnataka kuchovyachovya hovyo? Dmn! Kila cku naskia hapa kesi za wanaume na mahousegirls yani ningekuwa mungu wanaume wote wanaotembea nje na hao mahausigeli wao ningewang'oa vidude vyao! Sometms mna2singizia wanawake! Aah!

hapo pekundu hapo...mh halafu wewe utakula nini tena?au wewe nawe unakuwa haukihitaji tena?
 
Back
Top Bottom