House girls na akina baba

House girls na akina baba

I am speaking from experience, it's a long story ila hakuna kinachotia hasira kama kumwona mtu anamdharau mwanadamu mwenzake just because they feel like it and think they are superior to others. And oh, just so she knows, some of us way back had to work as househelps as a means of survival ila Mungu mkubwa, somewhere along the way i found a sponsor who put me through school, and today here i am working as a sales manager. And this goes out to all the people out there, respect everyone you cross paths with coz you never know if at some point in life they will be the ones on the serving end.

Very insightful post Miss Kim

Wengi wetu tuna mtazamo wa jumla jumla tu wa dharau kwa ma HG bila kujua kwamba na wao ni binadamu..sasa issue yako ni mfano hai kabisa...hapo ulipo kidume kikikutongoza uoamwambia ulishawahi kupitia iyo kazi nadhani atafunga breki kwanza
 
Last edited by a moderator:
ili hg awe loyal kwa baba mwenye mji shurti ulambe kwanza ila usizoee atakulelea watoto fresh na pia atakupa info za mkeo.

Pamoja sana hapo...yaan kama mke ana mchepuko basi hawa watu lazima wampeleleze na kukupa data..
 
kwendeni huko,
kucheat acheat yeye,lawama nipewe mie,
eti usafi sijui kamtandikia kitanda kwani alivyokuwa kijana anaishi kabla ya kukuoa nani alikuwa anamfanyia? am sure he is ABLED man he can do everything by himself!

well km papuchi zetu zimekuwa dilated huyo hausgel ya kwake itakaa tight forever?si na yeye atakuwa dilated siku moja....mkishapata familia badala ya kuembrace the new born wewe unawaza sijui nikupigie pasi shati sijui nikuchambe mavi msoonyoooooooooooooooooooo mijanaume mingi iko SELFISH inashindwa kung'amua you cant balance everything...i mean job ,child and husband.....
 
SABABU kubwa ya wengi kutembea na house girl ni KIPENYO au CIRCUMFERENCE
Wengi wanafeel tightness sababu vipenyo vya ni vidogo tena vinabana wanawakimbia Ma-wife maana vipenyo vimekua DILATED ambako unaingia mzima mzima na sababu zinginezo ambayo wife ndo wasababishi
Hii ndo SIRI kubwa wajameni

Hili la kipenyo nalo neno...nimeshawabikiri watatu soo far...yaan kitu kinatanuka with my size...unachonga tu shimo taratibu...
 
hatujui kuishi vizuri na wadada wa nyumbani.
Kama unamchukulia kama mdogo wako, unamfanyia na kumtimizia mahitaji kama anayostahili binadam wa kawaida lazma akupende. Na baba bazazi atakavyoanza kummendea lazma atakwambia tu.
Hg wala hana uchafu, labda mama mwenye nyumba ndo mchafu, sababu anakufulia na kukuwekea safi nyumba yako atakuwaje mchafu.
Dont ever under estimate the power of hg, ila cha kufanya tu kama hutaweza kuishi bila hg basi lazma umpemde na uwe nae karibu kwa usalama wa ndoa yako
 
Very insightful post Miss Kim

Wengi wetu tuna mtazamo wa jumla jumla tu wa dharau kwa ma HG bila kujua kwamba na wao ni binadamu..sasa issue yako ni mfano hai kabisa...hapo ulipo kidume kikikutongoza uoamwambia ulishawahi kupitia iyo kazi nadhani atafunga breki kwanza

Katika haya maisha nimeshajifunza mengi sanaa, both the good and the bad ila namshukuru Mungu siku zote kwa kila jambo. I would hardly talk of my past not unless i am prompted to do so as in the case of this post. Maisha ni safari ndefu yenye mambo mengi sana ya kujifunza but if there's one thing that i have learnt so far is that "you can be whatever you wanna be as long as you put your mind into doing it." Nilikua naupendaga sana ule wimbo wa NAS- I Can
 
kuna thread nimechefua dats y! mi nikimfumania hacra zangu hazitaishia hapa nitamchukua hb wa ukwel alokamilika tukishaanza mambo nampigia cm aje afumanie coz dawa ya moto ni moto

hii itakuwa akili au matope unaweza kulipiza kwa njia hii ukaumia wewe mwenywe
 
kumekucha kweli maana tatizo linaanzia kwa hawa wake zetu, mfano unamke ikifika mda wa kulala complain nyiingi mara nimechoka mara oo tutafanya kesho shida tupu, unategemea kesho ntapoza wapi hiyo munkari?? ni HG tu kwanza HG hana gharama sana pia ukizingatia ni mmbichi bado joto lake liko juu ,


kumekucha....
 
Umbuje bahati nzuri nimeiona hii salam ya indirect kabla mwenyewe hajanambia, hujambo? Miss u sana umbuje

Miss you pia umbuje!!!
Pilika zinaongezeka kadri tunavyousogelea huu mwaka mpya wa fedha!!!
 
sio ujinga.... Halafu unasema wanaume wanapenda mteremko inamaana hata ww alivyokuoa ulikuwa mteremko?? Mambo mengne mnajitakia wenyew kwavile ww ni mwenye nyumba basi kilakitu unamwachia hg. Kufua nguo za mmeo,kupika, kutandika kitanda, baadae hadi awanawishe wakat ukikaa ukijua yule ni mbichi kuliko ww na anajoto kuliko ww sasa kwanini nimgegede na kumpa hadhi? Kwan mnachotofautiana na ww ni nn? Labda ndoa tu ambayo inaweza kuvunjwa mda wowote??
Hapo umeni feed maneno,nimesema wanaume wapenda mteremko nikimaanisha wasiotaka kutongoza mtaani huko wanafata wasichana wa kazi ambao ni wadogo na wanawakubalia kwa hofu ya kupoteza kazi!!
 
Mmmh unadhan angenambia? Wa kunambia ni wewe umbuje...lol

Hamkawii!!!
Maana leo mlivyoishupalia hii mada,itabidi niwe very selective when it comes to kuajiri msichana wa kazi na akimzoea tu father house ajue safari imewadia!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom