House girls na akina baba

House girls na akina baba

Hamkawii!!!
Maana leo mlivyoishupalia hii mada,itabidi niwe very selective when it comes to kuajiri msichana wa kazi na akimzoea tu fadher house ajue safari imewadia!!!!

Good...bora umelijua hilo but wengi wetunumbuje tume argue from a humanitarian point of view tu..wale nao ni wanawake...so kila.mtu akitimiza wajibu wake mambo mswanoooo
 
House girl mimi hanipikii,hata chai hagusi,yy afue,adeki,aoshe vyombo na kazi nyingine,mi nikigundua mwanaume ana mwanamke yeyote atajibeba,mwili wngu hatokaa akaugusa,sitomsaliti ila kamwe kama nilikua namjali basi huo utakua mwisho mpaka atakapohama aniache nilee wanangu! Aende tena afike salamaaaa
 
Good...bora umelijua hilo but wengi wetunumbuje tume argue from a humanitarian point of view tu..wale nao ni wanawake...so kila.mtu akitimiza wajibu wake mambo mswanoooo

Huo ni ukweli usiopingika.
Mr akichepuka ukajua akili inahama ujue,haijalishi kachepuka na msichana wa kazi au mfanyakazi mwenzie huko ofisini!!!
Kwa msichana inakuwa worse kwa sababu unaona kakitembezaaaa huko mtaani ukiwa huoni sasa kaamua akuletee hapo hapo nyumbani!!!
 
Wakati mwingine huwezi kuwalaumu sana jamaa hawa maana papuchi za hawa housegirls bado ni tight hazijalegezwa na maboyfriends.sugardadies.lectures.godfatherz.husbands.watoto nk.
 
House girl mimi hanipikii,hata chai hagusi,yy afue,adeki,aoshe vyombo na kazi nyingine,mi nikigundua mwanaume ana mwanamke yeyote atajibeba,mwili wngu hatokaa akaugusa,sitomsaliti ila kamwe kama nilikua namjali basi huo utakua mwisho mpaka atakapohama aniache nilee wanangu! Aende tena afike salamaaaa

Makosa kwa binadam yapo hivyo kuna kusamehe pia dada yangu naona umekuwa mkali kweli kweli angalia na kusamehe kupo ili nawe usamehewe.
 
Hiyo nayo ni issue maana kasema hawajui kufua pichu na kuiosha hiyo... sasa kama anajua kuiosha vizuri, na chupi zake za rangi nyeupe bila doa je kwa kumanisha kwake kwamba ni wachafu, je hawa wasafi ni halali? Na je kama ni mchafu unakuwaje umwachie mwanao akulele na kumwosha vizuri na kumlisha chakula safi na hata hapati magonjwa ya uchafu? Je unapomwacha jikoni apike chakula chako na sana hata cha mmeo, atenge chakula hicho mezani na kumwita mmeo akale wewe wakati umeweka mguu juu lawama kwa nani? Kwa HSGL au kwako kwa kushindwa kuwajibika? Kibaya zaidi mnaondoka hata bila kutandika vitanda na kuwaachia watandike hiyo nayo unasemaje?

suppose anajua kufua hyo pichu na chiu akaosha vuzuri, will it be okay?
 
Lakini naomba nieleweke hivi, sipendi wanaume wnaotembea na HSGL maana ni udhaifu mkubwa, housegirl hata kama hujamzaa ni mtoto wako. Ni mtoto wako na ndiyo maana hapo nyumbani anajulikana kama dada na watoto wanamheshimu kama dada yao na anakuita baba na mkeo anamwita mama, je huyo siyo mtoto wako? Wanawake jiheshimu kwa waume zenu kazi unayotakiwa kufanya husimpe HSGL akufanyie, kama kupika chakula na kukiandaa mezani, kutandika kitanda na hata kufua nguo za mmeo, acha akafue nguo zako na za watoto na siyo nguo za mmeo
Hiyo nayo ni issue maana kasema hawajui kufua pichu na kuiosha hiyo... sasa kama anajua kuiosha vizuri, na chupi zake za rangi nyeupe bila doa je kwa kumanisha kwake kwamba ni wachafu, je hawa wasafi ni halali? Na je kama ni mchafu unakuwaje umwachie mwanao akulele na kumwosha vizuri na kumlisha chakula safi na hata hapati magonjwa ya uchafu? Je unapomwacha jikoni apike chakula chako na sana hata cha mmeo, atenge chakula hicho mezani na kumwita mmeo akale wewe wakati umeweka mguu juu lawama kwa nani? Kwa HSGL au kwako kwa kushindwa kuwajibika? Kibaya zaidi mnaondoka hata bila kutandika vitanda na kuwaachia watandike hiyo nayo unasemaje?
 
Naona mtoa mada ameenda upande wa pili wa shilingi. Kumbuka kuwa hawa ndo wanatulelea watoto na kufanya kazi zote ambazo kwa kawaida angezifanya mke (ambaye ni mfanyakazi). Kwa upande wangu nawaheshimu sana na namwomba Mungu azidi kunishindia jaribu hili. Ila kiukweli ni kwamba kwa familia nyingi hgs ni michepuko kwa wababa!
 
923185_165830370252026_355218792_n.jpg nyie mnaosubiria kufuliwa chupi na wake zenu mtasubiri saaaana,siku hizi tupo kijitale
 
Makosa kwa binadam yapo hivyo kuna kusamehe pia dada yangu naona umekuwa mkali kweli kweli angalia na kusamehe kupo ili nawe usamehewe.
Kweli mm nafanya hvyo,alipotafuta wa kunireplace alikua na maana kua simfai,ni dharau tosha,so sioni shida kumfanyia vimbwanga nyumba aione chungu,aondoke mwenyewe bila kuaga,mume asiejiheshimu wa nini?khaaa
 
kuna thread nimechefua dats y! mi nikimfumania hacra zangu hazitaishia hapa nitamchukua hb wa ukwel alokamilika tukishaanza mambo nampigia cm aje afumanie coz dawa ya moto ni moto

Akili 0.001%
 
hatujui kuishi vizuri na wadada wa nyumbani.
Kama unamchukulia kama mdogo wako, unamfanyia na kumtimizia mahitaji kama anayostahili binadam wa kawaida lazma akupende. Na baba bazazi atakavyoanza kummendea lazma atakwambia tu.
Hg wala hana uchafu, labda mama mwenye nyumba ndo mchafu, sababu anakufulia na kukuwekea safi nyumba yako atakuwaje mchafu.
Dont ever under estimate the power of hg, ila cha kufanya tu kama hutaweza kuishi bila hg basi lazma umpemde na uwe nae karibu kwa usalama wa ndoa yako

Thats my girl. Well said love.

Know what? Am proud of you. You are a real woman.
 
Katika haya maisha nimeshajifunza mengi sanaa, both the good and the bad ila namshukuru Mungu siku zote kwa kila jambo. I would hardly talk of my past not unless i am prompted to do so as in the case of this post. Maisha ni safari ndefu yenye mambo mengi sana ya kujifunza but if there's one thing that i have learnt so far is that "you can be whatever you wanna be as long as you put your mind into doing it." Nilikua naupendaga sana ule wimbo wa NAS- I Can

Well well well. loud and clear!!!
Asprin says Thank you Miss Kim for this useful post.
 
Last edited by a moderator:
some of these housemaids are more beautiful, responsible and reasonable; wanalipa bhana! amekuja hajui amependezea kwangu, alikuwa hajui kufua hata pichu yake bt leo anajua kufua hadi boxer yangu wakati wife yuko JF, can you blame me for this reason?
 
Naomba niulize wanaume humu, hv kila siku hamuishi kutupa lawama ss wanawake tunajisahau, hv mmesahau nyinyi mnapotutongoza mnavyokuwa na hekima na mtahakikisha mnatupa kila tukitakacho ila mkishatuoa tu huduma zinanza kukata? Inshu ya kujisahau ni yetu wote au na sis mkitusahau tutafute michepuko
 
hii kitu kutafuna wajakazi ipo toka kizazi na kizazi ,,,, jamii na jamii

sema Dunia ya sasa imestaarabika tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom