FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,867
- 5,064
Mtalia sana lakini tatizo linaanzia kwenu kina mama wenyewe........mnaliangalia hili tatizo kwa upande mmoja zaidi na kukwepa wigo mzima unaoliogubika tatizo hili.
Chuki zenu (za kike) za asili kati ya mama kwa dada wa kazi na vice versa...Mama akimchukia Dada wa kazi basi ni kumkaripia, kumdharau na kumdhalilisha kwa kwenda mbele...matokeo yake mdada atatafuta faraja kwa baba......na pale inapokuwa ni chuki ya Dada wa kazi kwa mama (labda kwa kuhisi tu huyu mama anaringa), basi dada atafanya hila za kumtega Baba kwa kila njia, coz ndio silaha pekee aliyonayo ya kumkomoa (na kwa bahati mbaya ipo very effective).
Uhusiano mzuri kati ya Mdada wa kazi na Mama mwenye nyumba husaidia kupunguza tatizo kwa asilimia karibia tisini....sijasema mia moja kwani hilo nalo hutegemea na aina ya mwanaume uliyenaye...wewe ndio unamjua zaidi mumeo, jinsi alivyokuaproach...kama jamaa sio domo zege..au ana nyota za mademu kama inavyotamkwa mtaani.....mmmh....hiyo sasa ni ishu nyingine.
Alafu mbona inaonekana kina mama mnauchungu saana na waume zenu kana kwamba hamuoni tatizo la vijana wenu wanaobalehe na kuwarukia hao mabinti wa kazi hovyo....au kwa kuwa binti sio mwanao basi vijana wako wajiburudishe watakavyo ?...hayo ndio matatizo ya roho(roho kike) niliyoongelea hapo juu.
....MJIREKEBISHE KWANZA....mabadiliko huanza na wewe.