House girls na akina baba

House girls na akina baba

hatujui kuishi vizuri na wadada wa nyumbani.
Kama unamchukulia kama mdogo wako, unamfanyia na kumtimizia mahitaji kama anayostahili binadam wa kawaida lazma akupende. Na baba bazazi atakavyoanza kummendea lazma atakwambia tu.
Hg wala hana uchafu, labda mama mwenye nyumba ndo mchafu, sababu anakufulia na kukuwekea safi nyumba yako atakuwaje mchafu.
Dont ever under estimate the power of hg, ila cha kufanya tu kama hutaweza kuishi bila hg basi lazma umpemde na uwe nae karibu kwa usalama wa ndoa yako

hop hawa watu huwajui na km unawajua umebahatika. kuna mdada alileta thread hapa kwamba alikuwa anaish na hg yatima na alimpenda kuliko ndugu zake. lkn mwisho wa yote alizaa na mmewe. ni wachache wanaoweza kukumbuka hisan lkn weng wao wanafanyaga mapinduz hata hujipendekeze vip moyon anakucheka.
 
likely umeibiwa mume na hg? pole,dunia tunapitaaaaaaaa,sitegemei kula beki 3.....na zero grazing ni hatari sana,fumanizi njenje...

CJAFUMANIA ila nimekerwa sana ba mathread ya wanaume kuomba ushauri baada ya kutembea na wadada
 
Inaonekana house girl wa kwenu mchafu hajui hata kufua nguo za ndani... maana isingekua hivo usingeandika hapa, nani alikwambia kila house girl mchafu, au we ndo wale wa kutafuta house girl vijijini....

Pole kama yamekukuta, maana hizo expression zinaonyesha hasira...

Acha wapige tu, siku wakifumaniwa kiumane ile kwao, sasa tamaa za watu unadhani utaziondoa kwa maneno, tamaa ya ngono haiondoki kwa maneno, ile inahitaji dawa nyingine
 
text message:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 

Attachments

  • 001.png
    001.png
    120.3 KB · Views: 100
hop hawa watu huwajui na km unawajua umebahatika. kuna mdada alileta thread hapa kwamba alikuwa anaish na hg yatima na alimpenda kuliko ndugu zake. lkn mwisho wa yote alizaa na mmewe. ni wachache wanaoweza kukumbuka hisan lkn weng wao wanafanyaga mapinduz hata hujipendekeze vip moyon anakucheka.

Hicho kisa cha hatari sana, inaonekana mama mwenye nyumba alikua hapigi mzigo kwelikweli, hadi mwanaume kufikia kuzaa na housegirl, noma sana... ka wife anawaga mzigo vizuri kwa nini mtu amfate house girl, labda kama ana safari za siku nyingi, na kama ni hivo inatakiwa alinde chake,
 
Mume kutoka nje sio na hg ila na mwanamke yeyote asiyekuwa mkewe ni kosa na udhalili wa kiwango cha juu sana. We we kulipiza zinaa kwa zinaa nyingine ni udhalili mkubwa zaidi kuliko ule wa mumeo. Au wewe ukiwa mke ndani ya ndoa unaona kumvulia nguo mwanamume mwingine yeyote inalipa?
 
ndeke usiseme hgs niwatamu kuliko nyinyi sema ni mtamu kuliko mkeo.wengine tupo na utamu wetu na niwake za watu wanaojiheshim.tena kusubir hgs aje ndo utake kulala nae niuoga unasubir uletewe? kama wewe rijali mbona hujamfata wa nje?ni ushenzi kazi za ndani husaidii halafu ndo wakwanza kunichonganisha na mtoto wa kaz .ukijua mimi muajiriwa nani anakaa na watot wako ukiwa kazin kwanin hamuwaeshm watt wa kazi? wenfin mnawalazmisha hata hawapendi kulala na nyinyi.mnawaambukiza magonjwa
 
House girl ni kazi kama tu kazi zingine lkn Tanzania wana dharauliwa sababu hawana mikataba ya kuwalinda!Nchi zingine house girl unamlipa kila week na unamkatia bima ya afya na likizo yenye malipo!

Kama house girl anafaa kuna ubaya gani kwa baba mwenye nyumba kumfanya hata mke wa 2 kama sheria zake za dini hazimzuii na kama hause girl huyu ni above 18?

Wanaopaswa kufaidi mapenzi ni akina dada tu wa maofisini?
 
hg wa tanga watam sana jamani.mtt una mpindua hivi ana enda!mguu pande sawa!mugongo mugongo twende!jipimie sawa tu!
 
Ni kukosa heshima na utu dhidi ya mahg kusema wachafu. Uchafu ni hulka ya mtu. Kwani wapo wanawake warembo kwa nje ila ni wachafu kweli wananuka mkojo na jasho kali. La msingi ni mke kujua wajibu wako kwa mume na kutimiza. Ukishindwa utasaidiwa tu

Tena hawawanaofuga mikucha mirefu kama shetani watajisafisha papuchi saa ngapi! yeye anajiremba uso papuchi mmpwiiihaaa kama dampo hg lazima akupige bao hapo
 
Msumeno hukata pande mbili, msiwalaumu hgs tu kila mara; mmejaribu pia kutafakari hila za baadhi ya waume? Baadhi ya wanaume wako juu kimbinu kiasi hata wajanja mnanaswa, itakuwa hg? Muhimu tu ishi kulingana na tabia ya mumeo.
 
hop hawa watu huwajui na km unawajua umebahatika. kuna mdada alileta thread hapa kwamba alikuwa anaish na hg yatima na alimpenda kuliko ndugu zake. lkn mwisho wa yote alizaa na mmewe. ni wachache wanaoweza kukumbuka hisan lkn weng wao wanafanyaga mapinduz hata hujipendekeze vip moyon anakucheka.

case kama hizo zipo ila ni chache compared na hizi za kuwatreat vibaya. Anyway all in all tunaziacha ndoa zetu mikononi mwa Mungu atulundie maana kwa macho yetu na vitendo vyetu imekuwa ngumu sana
 
kuna thread nimechefua dats y! mi nikimfumania hacra zangu hazitaishia hapa nitamchukua hb wa ukwel alokamilika tukishaanza mambo nampigia cm aje afumanie coz dawa ya moto ni moto
Umeona enheeee...twende zetu basi baby....ukalambe dawa coz nadhani unaona mwenyewe naman nilivyo kamilika au aunasemaje baby......
 

Attachments

  • 7.jpg
    7.jpg
    2.7 KB · Views: 235
kumekucha kweli maana tatizo linaanzia kwa hawa wake zetu, mfano unamke ikifika mda wa kulala complain nyiingi mara nimechoka mara oo tutafanya kesho shida tupu, unategemea kesho ntapoza wapi hiyo munkari?? ni HG tu kwanza HG hana gharama sana pia ukizingatia ni mmbichi bado joto lake liko juu ,

kweli mkuu asee kila kitu kina sababu
 
vipi hapo kwako house girl wako kapona kweli kwa baba naniliii?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom