Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,664
Huo ndo ufuska tunaoukataa. Yaani we mwanaume mpaka ukamchunguze house girl wako ustaarabu gani huo? Jiheshimu wewe!! Mazoea na house girl ya nini? Kuwa na mipaka basi.Siku zote sisi wanaume ni watu wa kutamani na sio kupenda kama wanawake walivyo. Sasa mke aki-deligate kila kitu kwa HG ndipo tatizo linapotokea kwa vile baba anapata nafasi ya kumchunguza na kugundua sifa za kumtamanisha. Ushauri kwa mke; siku zote wakae katika nafasi zao badala ya ku-deligate kila kitu kwa HG.