KABAKA28
Senior Member
- Jun 18, 2014
- 197
- 188
- Thread starter
- #21
Nitazingatia ushauriAkipata mtu aliyeishia form 4 au 6 ambaye maisha yamempiga anatafuta pa kuanzia kukitegemea mshahara anamuwekea kwenye njia za malipo za simu huku akimsisitiza kuweka akiba yake kwa malengo walau afanye kazi hapo kwa miaka 5 kisha nae she afungue sehemu yake ya kupika keki na kuuza maana ujuzi atakuwa keshaupata.
Hapo rahisi kupata mfanyakazi atayejikomiti kufanya kazi atimize malengo yako ili na yeye yakwake yatimie.