House girl anatafutwa

Akipata mtu aliyeishia form 4 au 6 ambaye maisha yamempiga anatafuta pa kuanzia kukitegemea mshahara anamuwekea kwenye njia za malipo za simu huku akimsisitiza kuweka akiba yake kwa malengo walau afanye kazi hapo kwa miaka 5 kisha nae she afungue sehemu yake ya kupika keki na kuuza maana ujuzi atakuwa keshaupata.

Hapo rahisi kupata mfanyakazi atayejikomiti kufanya kazi atimize malengo yako ili na yeye yakwake yatimie.
Nitazingatia ushauri
 
1. Kazi zote za ndani kwa maana ya kwamba:-
Kupika
Kufua
Kudeki
Kuisha vyombo
Kwenda sokoni
2. Awe mwenye upendo na watoto kwamaana ya kaamba:-
Ataangali watoto
Atawaogesha
3. Awe tayari kujifunza/keki kwamaan ya kwamba:-
Atapaki keki
Ataandaa vifaa vya keki
Atasambaza keki

Then mshahara utamlipa 70, tena kwa kugha ya ulaghai kabisa eti unasema kwamba atapata breakfast na lunch bure...😕😕
Anyway....
 
Akishakula bure mchana anapiga ndefu mpaka kesho yake chai bure...

Haya, na kujua kusoma na kuandika atakuwa anaandika nini bibie?
 
90% ya wadada wa kazi wanalipwa 50,kwa kugezo anapata huduma zote pale kama mwana famill, kula,kula, maradhi nk, lkn ktk maisha halisi je kipato hiki kitamfikisha ktk uchumi wa kati? Ndio maana mtoa mada ameandika kwa mapana hiyo 70 elfu akijua uhalisia wa mishahara ya wadada wa kazi.

Ameitaji mtu anaejua kusoma kwa faida zaid maaana kuna vitu vya kumuandikia anaweza akampa cm atumie akamtumia ujumbe mfupi wa maandishi,mtu asiejua kusoma hata vocha kuingiza NI mtihani,

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
1. Kazi zote za ndani kwa maana ya kwamba:-
Kupika
Kufua
Kudeki
Kuisha vyombo
Kwenda sokoni
2. Awe mwenye upendo na watoto kwamaana ya kaamba:-
Ataangali watoto
Atawaogesha
3. Awe tayari kujifunza/keki kwamaan ya kwamba:-
Atapaki keki
Ataandaa vifaa vya keki
Atasambaza keki

Then mshahara utamlipa 70, tena kwa kugha ya ulaghai kabisa eti unasema kwamba atapata breakfast na lunch bure...
Anyway....
Lol! Huyu anae andika hivi
1. Hajawahi kuajiri mtu hata amlipe nusu mshahara nilio toa mimi.
2. Huenda hana mtu anae mtegemea.
3. Anaishi kwao/Geto (chumba na choo)
4. Bando likiisha mawazo yana jaa kichwani.

Ila uchambuzi ulioko hapa sasa...

Utasema ni mtaalam wa labour laws kutoka vietnam
 
90% ya wadada wa kazi wanalipwa 50,kwa kugezo anapata huduma zote pale kama mwana famill, kula,kula, maradhi nk, lkn ktk maisha halisi je kipato hiki kitamfikisha ktk uchumi wa kati? Ndio maana mtoa mada ameandika kwa mapana hiyo 70 elfu akijua uhalisia wa mishahara ya wadada wa kazi.

Ameitaji mtu anaejua kusoma kwa faida zaid maaana kuna vitu vya kumuandikia anaweza akampa cm atumie akamtumia ujumbe mfupi wa maandishi,mtu asiejua kusoma hata vocha kuingiza NI mtihani,

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Asante
 
Kama umewahi kukaa na house girl utakua unaelewa maana yangu, ukimpa cash unakua unamuonea maana hata siku ya kuondoka atakua hana kitu, hela yote inaishia kununua vitu vya wamachinga na kununua ubuyu na azam icecream...

Wanaoishi na wadada wanaelewa, watoto wadogo mnao ishi kwenu au magetoni hamwezi kuelewa hii.
si bora Hivyo
mwingine Siku ya kuondoka anakupeleka polisi kwamba hajawahi kulipwa hata mia toka ameanza kazi
 
Ni kweli, ila Watz tunapenda kulalamika na hutuoni mbali, lengo la bank ni kubwa mno...
1. Professionalism
2. Record keeping
3. Savings
4. Safety

Ila watanzania sisi alie turoga amesha kufa.
 
Sasa boss mshahara wa 70k nikafungue Ac bank?
Chukua dakika mbili ufikirie siku unakutana na dada wa kazi Bank, ana ATM card yake anatoa pesa (haijarishi ni kiasi gani), anapata ujumbe mshahara wake ukiingia.

Kama akili yako inafanya kazi utaelewa maana yangu....

Achilia mbali namna atakavyo kua akijisikia kwenda Bank n.k...

Lets change the world...
 
Lol! Huyu anae andika hivi
1. Hajawahi kuajiri mtu hata amlipe nusu mshahara nilio toa mimi.
2. Huenda hana mtu anae mtegemea.
3. Anaishi kwao/Geto (chumba na choo)
4. Bando likiisha mawazo yana jaa kichwani.

Ila uchambuzi ulioko hapa sasa...

Utasema ni mtaalam wa labour laws kutoka vietnam
Mkuu mbona maswali ya msingi mengi unayakwepa halafu unatoa vijembe na mipasho.
Hiyo michanganuo yote unayopewa ndio ukweli wenyewe huo.
Yaani hapo unamuajiri kwa kazi za aina tatu tofauti kwa mshahara mmoja tena kiduchu huo ni unyonyaji.

Yaani hapo atafanya kazi za nyumbani zote halafu baada ya hapo akusaidie tena kutengeneza biashara yako ya keki wewe ukapige pesa kwa mshahara uleule wa elfu 70.
Hii sio haki kabisa.

Watu waliostaarabika huwa wanazigawanya kazi katika makundi na wafanyakazi tofauti yaani kunakuwa na housegirl,houseboy na mkaka/mdada wa dukani hao ni watu watatu tofauti na majukumu yao ni tofauti.
 
Bila shaka utakua na NGO ya kutetea haki za wafanya kazi.

Nimependa sentensi yako ya "watu walio staarabika" nilitegemea utasema "watu tulio staarabika"
 
Lol! Huyu anae andika hivi
1. Hajawahi kuajiri mtu hata amlipe nusu mshahara nilio toa mimi.
2. Huenda hana mtu anae mtegemea.
3. Anaishi kwao/Geto (chumba na choo)
4. Bando likiisha mawazo yana jaa kichwani.

Ila uchambuzi ulioko hapa sasa...

Utasema ni mtaalam wa labour laws kutoka vietnam
Sina sababu ya kujilinganisha na mtu kama wewe aiseeee....
Nina wadada wawili nyumbani kwangu, mmoja kazi zake ni usafi wa ndani pamoja na kupika na mwingine kazi zake ni kufua na kuangalia watoto. And honestly, wote ninawakipa 70k kwa mwezi kila mmoja.

Na, mimi na mke wangu hatujawahi kua na mawazo mgando kwamba wasaidizi kuishi na wasaidizi pamoja n kuwalipa ni hisani (ama wanashida sana). Tunawaona wasaidizi hawa kama watu wema na kazizao ni sehem ya mgawanyiko wa kazi kwenye maisha.

Mkuu, naomba nikueleze wazi kidogo kwamba watu kama wewe ndio mnao sababisha wasaidizi wa nyumbani wahamishe hasira zao kwa watoto wenu, na kwakua hana namna inamlazimu kuendelea kukaa kwako kwa manyanyaso huku akivumilia.
Mkuu, ebu tofautisha msaidizi na mtumwa
 
Weka ushahidi mkuu
 
Bila shaka utakua na NGO ya kutetea haki za wafanya kazi.

Nimependa sentensi yako ya "watu walio staarabika" nilitegemea utasema "watu tulio staarabika"
Sio kwamba tunawatetea mkuu, bali hauwezi ukasema unamlipa msaidizi wa nyumbani 70k kwa kazi za ndani, kuangalia watoto, kupika, kufanya usafi na kisha akakufanyie vibiashara vyako.

Alafu eti unakuja kujipambanua kwamba atakula bure na analala bure.
Kwani nani alikuambia kwamba mtu anapo tafuta kazi maanayake huko alipotoka alikua hali na kulala..??
 
Bila shaka utakua na NGO ya kutetea haki za wafanya kazi.

Nimependa sentensi yako ya "watu walio staarabika" nilitegemea utasema "watu tulio staarabika"
Nimetumia hiyo sentensi kumaanisha kwamba watu waliostaarabika na wanaowaajiri mahousegirl,mimi nimejitoa hapo kwa sababu sijaajiri mahousegirl japo nimestaarabika kazi nyingi za nyumbani anafanya wife na ndugu yeyote atakayekuwepo.

Huwa sipendi kujifanya nina uwezo wa kuwalipa wafanyakazi halafu nije kuwatesa watoto wa watu hiyo dhambi siitaki.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom