Mwenye cheti cha addo tuwasiliane

Mchinox

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
232
249
Habarini,

Nahitajika mtu aliesomea kozi ya addo na mwenye vyeti vyote kwa ajili ya uuzaji wa duka la dawa

- Jinsia awe ni wa kike

- Umri wowote ilimradi awe anajitambua sana

- Sehemu ya kazi ni songea mjini

- Akipatikana mwenyeji mkazi wa mkoa huo wa songea itapendeza zaidi japo sio lazima awe mwenyeji /mkazi

-Alie tayari anicheki inbox tuzungumze
 
Ni kweli yamefutwa ila waliokwisha pata wanaruhusiwa kuendelea na kazi.

Mafunzo yamefutwa ila kada haikufutwa
Nshukuru saana nimekuelewa.

Ila kama ndivyo basi watakuwa ni adimu na dili sana maana watabakia wachache ivoivo
 
Cheti cha addo nilichonacho kinaniruhusiu kumiliki duka la dawa na siyo mtoa dawa (drug dispenser) sijui ndiyo hicho unachoihitaji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom