KABAKA28
Senior Member
- Jun 18, 2014
- 197
- 188
- Thread starter
- #41
Asante!Nimetumia hiyo sentensi kumaanisha kwamba watu waliostaarabika na wanaowaajiri mahousegirl,mimi nimejitoa hapo kwa sababu sijaajiri mahousegirl japo nimestaarabika kazi nyingi za nyumbani anafanya wife na ndugu yeyote atakayekuwepo.
Huwa sipendi kujifanya nina uwezo wa kuwalipa wafanyakazi halafu nije kuwatesa watoto wa watu hiyo dhambi siitaki.