KABAKA28
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 211
- 229
Atakua naafanya kazi zote za ndani, wakati mwingine atakua anafanya kazi za delievery ya keki pamoja na kuagizwa vifaa vya keki.
Wa kuja na kuondoka itapendeza. Ila hata akipatikana wa kulala atachukuliwa.
Atafundishwa kupika keki pia.
Chai na chakula cha mchana bure.
Mshahara 70,000/=
Awe mwenyeji wa Dar
Awe na moyo wa upendo kwa watoto
Awe anajua kusoma na kuandika.
Pesa yake itapitia bank
Nicheki PM
Eneo la kazi ni Mbezi Mpiji Magohe
Wa kuja na kuondoka itapendeza. Ila hata akipatikana wa kulala atachukuliwa.
Atafundishwa kupika keki pia.
Chai na chakula cha mchana bure.
Mshahara 70,000/=
Awe mwenyeji wa Dar
Awe na moyo wa upendo kwa watoto
Awe anajua kusoma na kuandika.
Pesa yake itapitia bank
Nicheki PM
Eneo la kazi ni Mbezi Mpiji Magohe