Natafuta Wafanyakazi wa Ndani (House Girl na House Boy)

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Natafuta Wafanyakazi wa ndani House boy na House Girl

*Mkataba wa kazi ni Miaka Mitatu

*Dar Es Salaam ~Kigamboni

Vigezo;
Awe na Hofu Ya Mungu
Awe Mkristo safi kabisa
Awe na Umri wa miaka 18-26
Awe raia wa Tanzania
Awe na Nidhamu, Usikivu, Utu na Utiii
Awe na Elimu La Saba au Form four
Awe Mchapa kazi aswaa


Masharti;
Lazima atasaini Mkataba wa kazi akiwa na Wazazi wake au Mlezi wake na Mashahidi wasiopungua watatu.
Balozi, Mwenyekiti na Mtendaji wa sehemu aliyetoka pia watasaini Mkataba huo
Incase Shida yeyote ikitokea watakuwa Responsible kwa kila kitu
LAZIMA AKAFANYIWE CHECK UP YA MAGONJWA YOTE na Mwajiri wake

Mshahara:
Watalipwa Shilingi Laki mbili na Nusu 250K kila Mmoja Kwa Mwezi

Malazi;
Kila Mmoja atapatiwa Chumba Chake cha kuishi, Chakula na Mengineo ni Juu wa Mwajiri wake

NB: Lazima awe Mchapakazi


UNAWEZA KUNICHEK PIA KWENYE UKURASA WANGU WA TWITTER Mayunga234
 
"Mshahara:

Watalipwa Shilingi Laki mbili na Nusu 250K kila Mmoja"

Mayunga234 said


Je, huo mshara niwa kila siku au kwa miaka yote mitatu?
 
Wafanyakazi wengi wa ndani bongo ni pasua kichwa tu. Ukipata ambao siyo vichomi, basi ni jambo la kushukuru.
 
Back
Top Bottom