Naona kuna wachache wanajifaidisha na hii OIC na Mahakama ya Kadhi. Hapa suala la msingi ni mahela ya EPA kwanza....mengineyo yatafuata baadaye. Hakuna mtu mwenye uwezo wa kutuondoa kwenye hoja ya msingi ambayo ni ufisadi, mengineyo ni ya ziada tu.
Naona kuna wachache wanajifaidisha na hii OIC na Mahakama ya Kadhi. Hapa suala la msingi ni mahela ya EPA kwanza....mengineyo yatafuata baadaye. Hakuna mtu mwenye uwezo wa kutuondoa kwenye hoja ya msingi ambayo ni ufisadi, mengineyo ni ya ziada tu.
Na ufisadi nayo ni petty issue. Kwani umeanza katika EPA? Kwani nchi hii (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) imeanza kuliwa katika EPA. Hukuona wewe Nyerere alivyokuwa akipiga kelele na kukaripia rushwa wakati wote wa uhai wake, na alipokuwa kiririni kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Maslahi ya watu-ni maslahi ya watu yawe ya (EPA) au mengineyo (OIC)Hizi zama za kupumbazana zinaelekea ukiongoni. Watu wanaacha hoja za msingi zenye maslahi ya taifa wanaanza kujadili "petty" issues. Yes, i said petty maana we have a secular government. Sasa issue za kidini katika maslahi ya kitaifa ni petty issues.
Neutrality sawa. Lakini neutrality haina maana upuuze mambo yenye maslahi na Wakiristo au Wapagani. Kwa sababu katika nchi hii ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kuna Mamilioni ya Wakiristo na maelfu ya Wapagani wanaoishi ndani yake. Kujali maslahi ya Wakiristo siyo kulibatiza Taifa asilan, na Waislamu na Wapagani hawana haki ya kulalamikia hilo, kama kweli ni waadilifu na wanathamini kuishi katika Taifa letu hili -Secular State.....acha vijijembe kaka..mimi nina heshima sana na dini zote ikiwemo wapagani...lakini sipendi tabia inayojitokeza ya BAADHI ya waumini wa upande wowote kufikia kufikiri wao wanastahili zaidi attention kuliko wengine...i like the way we are now ..taifa liendelee kuwa neutral..imani ibaki kwa watu binafsi.....sasa tukitaka dini iwe wakristo au waislamu wafanyiwe jambo ambalo litataka recognition in constitution ..tutajenga tag of war bila sababu.....NA MIGOGORO YA KIDINI NDUGU ZANGU HUWA HAINA MSHINDI....NI JAMBO LA KUEPUKA...
...........KILA MTU AENDELEE KUABUDU ANAVYOONA ..TUSITAKE KULIBATIZA AU KULISILIMISHA TAIFA LOTE.....
Muungwana kiboko,...
Hii ndio first term ambapo bado atahitaji ku run for re-election 2010 na anakua na kiburi kwa matarajio ya umma hivi.
Sasa je akishapewa 2nd term ya lala salama, ambapo hatawaza re-election!.... Tz si ndio itakua MAFISADI CENTRAL ya Afrika...Nachelea kutabiri ufisadi wa kutisha(of catastrophic proportions) katika kipindi chake cha lala salama....God Forbid!
....rais mjinga kuliko wote.....marehemu mwanawasa pamoja na kupata ajali,kiharusi ...etc..alikuwa smart kuliko huyu ........kibaki pamoja na ile ajali ambayo nearly costed his life ..yupo better.....
..king zech acha conspiracy......waislamu population yao ipo dense kwenye miji ya pwani ..na along the slave route to kigoma...na wala hakuna sensa inayosema idadi tusianze ku guess nani ni nani.....OIC na KADHI...ondokeni na huyu mjinga mpeleke zenj......kwani somalia ,algeria et al wapi kuna waislamu wengi by ratio...OIC imeshawasaidia nini?
Hapana mkuu
Maboga ni wale wananchi waliokuwa wanategemea kukaa kwenye skirini kusubiri mambo mazuri .
politely yet wisely U were told that EPA was the gear and weapon which clinch him in power , still U guys expect to jail himself ? a u well sense equiped?
Mkuu kwa nini asijishushe amwombe Dr.Slaa amsaidie kwa more data?
Ametumia polisi wetu njaa tupu akirushiwa milioni 5 basi ushahidi wote unapotea kama ulivyo sikia hawajapata inform. za makapuni 9.
Yaani JK yuko tayari chama kife shauri ya mafisadi? Hii ni dalili anajua hizo pesa zilichotgwa kwa amri yake.
Haiingii kichwani kwamba pamoja na ushahidi wote, lawama toka kila upande, bado ameshindwa kuwachukulia hatua hawa majambazi.
Tatizo ni kuwa JK ndiyo mtu pekee anayeweza kusema niliiba na asishitakiwe lakini akawafunga wenzake wote!
...aliye influence kuibiwa pesa BOT sio ccm bali ni MTANDAWO.....KINA ..kikwete,lowassa,rostam..jeetu et al....hata baadhi ya wana ccm walikuwa hawajuwi mapesa yanatoka wapi..zaidi aliyekuwa na siri ni mweka hazina mama mbatia na rostam....,kikwete,lowassa...na connies wao..
Yaani JK yuko tayari chama kife shauri ya mafisadi? Hii ni dalili anajua hizo pesa zilichotgwa kwa amri yake.
Haiingii kichwani kwamba pamoja na ushahidi wote, lawama toka kila upande, bado ameshindwa kuwachukulia hatua hawa majambazi.
Asante Mh. Rais kwa kufafanua kinagaubaga suala la OIC.
Kweli wewe ni Chaguo la Mungu.
Mungu azidi kukubariki na kukuneemesha.
Waungwana,
According to Ernst & Youn's report the total amount that was stolen from EPA is shiling 133 billion: The revelations followed the audit conducted over EPA by a foreign financial consultant firm, Ernst and Young.
The firm revealed that in 2005/06, payments to the tune of 133,015,186,220.74/- were made to 22 domestic companies under the EPA scheme. .Kikwete is talking about shilling 90 Billion only. What happened to the rest of the amount totalling to shilling 43 billion?