Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,097
- 43,309
Tatizo ni kuwa JK ndiyo mtu pekee anayeweza kusema niliiba na asishitakiwe lakini akawafunga wenzake wote!
,,,,,Acha UBINAFSI ndugu,bara huko kuna waislam wengi kuliko SIE WAKRISTO,sijui kama unalijua hilo,kumbuka huyu ni raisi wa MUUNGANO,.
....rais mjinga kuliko wote.....marehemu mwanawasa pamoja na kupata ajali,kiharusi ...etc..alikuwa smart kuliko huyu ........kibaki pamoja na ile ajali ambayo nearly costed his life ..yupo better.....
..king zech acha conspiracy......waislamu population yao ipo dense kwenye miji ya pwani ..na along the slave route to kigoma...na wala hakuna sensa inayosema idadi tusianze ku guess nani ni nani.....OIC na KADHI...ondokeni na huyu mjinga mpeleke zenj......kwani somalia ,algeria et al wapi kuna waislamu wengi by ratio...OIC imeshawasaidia nini?
aka una jazba na chuki kweli.... sasa JK apelekwe Zenj ndio kwao? au waislam hawana haki ya kuishi "bara" tuwaondoe wote na kuwapeleka Zenj.
Ungeweza kuelezea tena vizuri tu hoja yako ya kupinga OIC bila ya kuonyesha chuki zako za wazi kwa waislam
Mkuu wacha chuki zako za binafsi against PM, yeye alikuwa anajibu hoja ya huyo ndugu, maana hata wewe ungeweza kujibu bila kuonyesha chuki zako kwa PM, au?
Naona kwa muda sasa unamshambulia sana mkulu PM, badala ya kujadili ishu ya OIC vipi kuna nini weka hapa wazi tujue bro?
Kaka una jazba na chuki kweli.... sasa JK apelekwe Zenj ndio kwao? au waislam hawana haki ya kuishi "bara" tuwaondoe wote na kuwapeleka Zenj.
Mkuu acha chuki zako binafsi na Masatu, nilikuwa namjibu PM hoja yake inajenga chuki na hata wewe ungeweza kujibu bila kuonyesha chuki kwa Masatu ndio maana ya kuwa na public forum.
Weka ushahidi kuwa "kwa muda sasa namshambulia sana mkulu PM"
Swala la EPA wakuu mbona JK katunyamazisha kimtindo?
...Hakika nawaambia, wakinyamaza hawa hata mawe yatapiga kelele...
Asante Mh. Rais kwa kufafanua kinagaubaga suala la OIC.
Kweli wewe ni Chaguo la Mungu.
Mungu azidi kukubariki na kukuneemesha.
Mkuu kwa nini asijishushe amwombe Dr.Slaa amsaidie kwa more data?
Ametumia polisi wetu njaa tupu akirushiwa milioni 5 basi ushahidi wote unapotea kama ulivyo sikia hawajapata inform. za makapuni 9.
Jamani sometimes JK tunamwonea bure, some issues hausiki. Hivi ni nani kati yetu humu JF asiyejua kuwa hela za EPA "zilichukuliwa" ("hazikuibiwa") na CCM kwa ajili ya kampeni? Kagoda et al ni channels tu za "kuchukulia" (Maana ilihitaji Balali awe kichaa kwanza ili ziibiwe the way zilivyochukuliwa).
Kama hii ni sahihi, kwa nini tumlaumu JK kwa kutochukua hatua? Yaani tunategemea JK achukue hatua dhidi ya CCM na dhidi yake mwenyewe? Hakuna hapa hata mmoja anayeweza kujishitaki na kujifunga mwenyewe!
JK is just doing "what everybody expected" sasa kwani kumlaumu? May be badala ya kumlaumu JK, tuangalie tufanye nini sisi kama watanzania kuinusuru nchi yetu...
Kaka una jazba na chuki kweli.... sasa JK apelekwe Zenj ndio kwao? au waislam hawana haki ya kuishi "bara" tuwaondoe wote na kuwapeleka Zenj.
Ungeweza kuelezea tena vizuri tu hoja yako ya kupinga OIC bila ya kuonyesha chuki zako za wazi kwa waislam
Mwache huyo Kijiba cha roho atakufa nacho. yeye hataki hata kuona-Bismi-llahi-rahmani-rahim--- anatucheksha. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haiko hivyo. Hivi miaka 44 ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yetu hafahamu hivyo. Mimi mbona najisikia vyema unapoanza kitu na kusema -KWA JINA LA BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU.......