Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,416
- 30,931
Sikatai mazuri anayoyafanya leo ndio maana siachi kusema inapobidi.ila kitendo cha kutaka kumuondoa list duniani kupotea kwa Ben na wengine hilo doa kwangu halifutiki mpaka naingia kaburini.Hakuna blunder kubwa iliyofanyika kwenye utawala wake kama kupotea kwa ben na assassination plot ya lisu na ndio maana wengi hapa na mitandao I na dunia nzima wanamsema Lissu kwa wema na kumuombea heri kwasababu ya kumhurumia jaribio la mauwaji dhidi yake hiyo imewaumiza watu mnoooooo Kama hujui.Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu la utaitwa mbea au mchanga (immature)!!!
Mtazamo: Watanzania wengi wataishi maisha mazuri Sana muongo mmoja ujao kwasababu ya misingi anayoiweka Magufuli