Hotuba ya Rais Kikwete, Bungeni Dodoma - Novemba 07, 2013

rais ndio anaingia bungeni apa, naona wabunge kibao wakimlaki huku wakisalimiana kwa kupeana mikono, mbowe hakosekani
 
Hebu tupeni yajirio kwani wengine tupo nje ya makazi yetu.

KakaJambazi hivi kuna haja gani ya paredi hapo bungeni?

Mkuu huyo ni amiri jeshi mkuu.
Afu pia unataka perdiem nani ale? Ndo nyinyi mnaorudisha hela hazina ili eti mpate hati safi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kill ka uko ndani ya ukumbi nikuachie uripoti live.
 
Last edited by a moderator:
Jaji mkuu ndo anaingia kwa maandamano akifuatiwa na rais wa zanzibar dr. Shein.
 
Back
Top Bottom