Hotuba ya Rais Kikwete, Bungeni Dodoma - Novemba 07, 2013

mie mwenyewe kwahili nampa big up jk hajataka kuwasikiliza mawaziri wake vilaza wanao mpotosha kila mara kiasi kwamba hadi raia wamekosa iman naye na laiti kama maamuzi yote angekuwa na busara kuamua bila kupelekeshwa na chama cha kijani naamini angekuwa rais bora sana lakini sasa majambazi ya ccm yanatumia upole wake kumpanda kichwan sasa imekuwa balaa tupu.aaaagh!!
 
Ikiwa hivyo kulikuwa na ugumu gani yeye au waziri wake kutumia diplomasia ya kukutana na kuwasikiliza na kujua misimamo yao kabla hata kwa maandishi?
Ndugu yangu usianzishe ligi na kukaidi kila kitu, kwa mujibu wa huyo waziri, Tanzania iliiandikia Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kupata ufafanuzi wa kinachoendelea kwasababu ndivyo Mkataba unavyotaka. Katika mkataba hakuelezi mawasilino ya moja kwa moja baina ya nchi isipokuwa nchi na Sekretarieti hivyo kuna kila dalili baada ya kupokea majibu ndipo matamko na hotuba ya Rais ilipotoka. Yuko sahihi Rais kwa hili, hawezi kuelezea process za kinachofuata. Kimsingi nchi zinahusiwa tu kama alivyofanya Rais tena katika domestic level kama alivyofanya pia, lakini kama mkataba umekiukwa, wenye wajibu wa kuulizwa ni Katibu wa Jumuiya kwani ndio custodian wa Jumuiya na anayepaswa kufanya hivyo ni Wizara sio Rais. Nadhani nitakuwa nimeeleweka. In case bado, waweza uliza zaidi. Thanks
 
Back
Top Bottom