Hotuba ya Rais Kikwete, Bungeni Dodoma - Novemba 07, 2013

namuona kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, freeman mbowe, hamad rashid mohamed, pamoja na wabunge kadhaa pale

Musee, naye yuko wapi? Mbona hutuambii alipo Taswira? Au kajificha sehemu na bomu? Maana jamaa linapenda ugaidi!
 
wabunge wanakaa kusubiri ratiba kutoka kwa madam spika

msafara wa rais ndio unaingia bungeni sasa
 
Unaweza kufungua Tv yako ukaweka TBC,hivi sasa Rais ndo anaingia bungeni tayari kuhutubia.
Ngoja tusubiri atasema nn...
 
Hebu tupeni yajirio kwani wengine tupo nje ya makazi yetu.

KakaJambazi hivi kuna haja gani ya paredi hapo bungeni?
 
Last edited by a moderator:
tayari mh.kikwete ameshawasiri viwanja vya bunge anakagua gwaride maalum kabla ya kulihutubia bunge.ntawapa updates.
 
rais bado anakagua gwaride, anamaliza huku wimbo wataifa ukipigwa pale kwa utulivu mkubwa kabisa
 
Back
Top Bottom