Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

Kama kweli serikali imehusika hata kama Rais asingeliongelea bado ukweli unabaki pale pale kuwa serikali haitakaa ikubali kuwa imehusika.

Unajua kwa namna moja au nyingine upo uwezekano kuwa askari wanaotajwa wamefanya hicho kitendo kwa ufisadi wao wa kifikra kwa kuwa walikabidhiwa jukumu la kufuatilia mwenendo wa mgomo, kwa kuwa kazi hiyo ilikuwa inawanyima muda wao wa kufanya kazi nyingine kwa kuitwa kila mara kuelezea kinachoendelea waliona ni jambo la busara sasa kutumia ufinyu wao wa kufikiria (kwa maana hapo ndipo akili yao ilipofikia ukomo) wakaona ni bora kumuua Dr. Ulimboka.

Kwa mazingira hayo upo uwezekano Mkubwa kabisa kuwa viongozi waliowapa kazi ya kufuatilia mwenendo wa mgomo wa Madaktari kushindwa kuamini kama askari hao wangeweza kutenda unyama huo.

Tatizo lingine linalojitokeza hapa ambalo halijatolewa ufafanuzi ni kwamba katika maelezo ya Dkt Ulimboka, anaeleza kuwa walienda leaders na Dkt. Mwezake na hata wakati anatekwa walikuwa na Dkt. Mwenzake ambapo watekaji walisema hawana shinda na mtu mwingine ila yeye tu Dkt. Ulimboka, iweje huyo Dakt. waliyekuwa naye anashindwa kuelezea kilichotokea na wakati walikuwa na Ulimboka muda wote? na kwa nini alichukua muda mwingi bila kumfuatilia mwenzake? katika hali ya kawaida uko na rafiki yako au jamaa unaona amekamatwa ni busara tu kuwa angefuatilia kujua anapelekwa kituo gani cha polisi na hivyo angesaidia kupatikana kwa taarifa mapema kuliko alivyojinyamazia. Upo uwezekano wa kuwa na mashaka na huyo Dakt. katika hili.

...wengi wamehukumu tayari...lkn hili jambo uchunguzi wake utawashangaza wengi...ulimboka yasemekana tayari alikuwa ktk uhasama na baadhi ya madatabibu wenzie, hapana shaka kutokana na mgomo ulimboka kwa nafasi yake tayari alishapata maadau wengine ambao ni jamaa za wagonjwa wanaokosa matibabu kutokana na mgomo, na pia mwanamme ulimboka yawezekana kwenye "pitapita za kujiliwaza kimapendo" amekanyaga miwaya ya wajuba.....ingawa tunaambiwa katambua polisi waliomtesa..bado, baada ya mda ukweli wote utabainika..
 
Katika Hotuba yake JK amekiri kuwa Serikali ni mmoja wa watuhumiwa wa watekaji nyara na watesaji wa Dr. Ulimboka. Nadhani kwa hilo yupo sahihi kabisa. Pia amesema akiwa kama Rais wa Nchi ameagiza vyombo vya usalama kufanya uchunguzi na kutoka na majibu haraka iwezekanavyo ili kuweza kuwapa wananchi ukweli wa nini kilitokea. Hilo nalo nakubaliana naye kuwa ni jambo sahihi.

Baada ya hapo akatumia muda mwingi kujitetea yeye mwenyewe, serikali yake na vyombo vya dola.

Sasa ninapata wasi wasi kama uchunguzi wa vyombo vya dola utakuwa huru na wa haki. Maana tayari katika hotuba ya Rais ya leo, Rais ameshavikataza vyombo vya dola visiichunguze serikali, pia ameshavikataza vyombo hivyo kumchunguza yeye kama anahusika kwa namna moja am nyingine kupitia utetezi alioutoa katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi.

Nadhani kama Rais angekuwa na nia ya dhati na kama angetaka kuwa mkweli asingesema lolote kuhusu kuhusika au kutohusika kwa serikali na vyombo vyake na hata yeye mwenyewe ili vyombo vinavyohusika na uchunguzi vifanye kazi yake vikiwa huru na bila influence ya maneno yake ya ukali kuwa hajahusika na wala serikali yake na vyombo vyake haijahusika.

Mpaka hapo sina imani na vyombo vya uchunguzi vya ndani ya nchi, kwani usalama wa Taifa wanawajibika kwake, polisi wanawajibika kwa Raisi. Na kwa Hotuba ya Leo naona kabisa karibpio, Katazo la Rais kwa vyombo vya uchunguzi na upelelezi kuichunguza serikali na watumishi wake akiwem Rais.

......

Hta mie nilimsikia JK akijikanyaga kwa mambo mengi!!

Mara asememe serikali ilimkubali Ulimboka kuwa mwakilishi wa madakitari kwa sababu iliona madakitari wengi

wanamsikiliza na kumkubali!!

Then, ana sema serikali haikuwa na sababu ya kumdhuru DR Ulimboka!!!!!!

Jamani ni lini huyu mtu atakuwa na akili! yaani keshasema Ulimboka ndiye aliekuwa anasikilizwa sana na

madakitari..................

Tena anasema haoni sababu ya serikali kumchukia!!!

.....
 
Scotland Yard ni mwisho, niliona kule Bolton, UK. Wanachukua hadi sampuli za unyayo wa mtu mchangani...watakupata tu.
 
MADAKTARI hawahitaj kulipwa huo mshahara mkubwa mnaosingizia tu, mbona madai yao mengine hajazungumzia anaishia kung'ang'ania mishahara. wana madai lukuki ya msingi
 
[h=6]"daktari anayeona kuwa hawezi kufanya kazi serikalini bila ya kulipwa mshahara wa laki tisa u nusu awe huru kuacha kazi na kwenda kwa muajiri anayeweza kumlipa kiasi hicho. Nasi tutamtakia kila la heri" - jakaya mrisho kikwete.[/h]

wassira anasinzia bungeni analipwa millioni kumi!
 
Kama kweli serikali imehusika hata kama Rais asingeliongelea bado ukweli unabaki pale pale kuwa serikali haitakaa ikubali kuwa imehusika.

Unajua kwa namna moja au nyingine upo uwezekano kuwa askari wanaotajwa wamefanya hicho kitendo kwa ufisadi wao wa kifikra kwa kuwa walikabidhiwa jukumu la kufuatilia mwenendo wa mgomo, kwa kuwa kazi hiyo ilikuwa inawanyima muda wao wa kufanya kazi nyingine kwa kuitwa kila mara kuelezea kinachoendelea waliona ni jambo la busara sasa kutumia ufinyu wao wa kufikiria (kwa maana hapo ndipo akili yao ilipofikia ukomo) wakaona ni bora kumuua Dr. Ulimboka.

Kwa mazingira hayo upo uwezekano Mkubwa kabisa kuwa viongozi waliowapa kazi ya kufuatilia mwenendo wa mgomo wa Madaktari kushindwa kuamini kama askari hao wangeweza kutenda unyama huo.

Tatizo lingine linalojitokeza hapa ambalo halijatolewa ufafanuzi ni kwamba katika maelezo ya Dkt Ulimboka, anaeleza kuwa walienda leaders na Dkt. Mwezake na hata wakati anatekwa walikuwa na Dkt. Mwenzake ambapo watekaji walisema hawana shinda na mtu mwingine ila yeye tu Dkt. Ulimboka, iweje huyo Dakt. waliyekuwa naye anashindwa kuelezea kilichotokea na wakati walikuwa na Ulimboka muda wote? na kwa nini alichukua muda mwingi bila kumfuatilia mwenzake? katika hali ya kawaida uko na rafiki yako au jamaa unaona amekamatwa ni busara tu kuwa angefuatilia kujua anapelekwa kituo gani cha polisi na hivyo angesaidia kupatikana kwa taarifa mapema kuliko alivyojinyamazia. Upo uwezekano wa kuwa na mashaka na huyo Dakt. katika hili.

Ndugu yangu, naona kuna taarifa muhimu kuhusu alichokifanya yule Dr. Mwenzake na Ulimboka baada ya utekaji ambayo wewe hauna. Kwa taarifa yako alitoa taarifa polisi na kuambiwa kwa kuwa huyo ni mtu mzima inabidi asubiri kwanza, lakini alitoa taarifa kwa madakatari wenzake na polisi pia.

Tiba
 
Awambia madaktari na wananchi kwa ujumla kuwa serikali yao haina hela ya kuwalipa kiwango wanachokidai cha mishahara na maposho.Daktari au muajiriwa wa serikali anaeona mshahara anaopangiwa na serikali ni mdogo basi anayohaki ya kuacha kazi na kutafuta pale anapoona atalipwa mshahara mnono na si vinginevyo kama kudai alipwe zaidi na kuanzisha mgomo.

Alizidi kuweka msimamo kuwa daktari awe huru katika maamuzi ya kuendelea na kazi au kuacha kazi na serikali haitamuekea kizuizi na zaidi aliwaombea dua kwa huko wendako ambako watalipwa mshahara uliosheheni posho.Kwani serikali yake haina uwezo wa kuwalipa na kutekeleza madai yao hayo.

Mwiba kama mwiba napona na hapo Raisi ameweka msimamo uliowazi wa serikali ya CCM na yupo sawa kabisa kwa kuweka wazi msimamo usio na question mark.Nafasi za kazi zitakuwepo wazi na wapo wanaozitafuta.

Hivyo madaktari hawana sababu ya kuwa na migomo kama wameona mshahara na posho ni kidogo waandike barua ya kuwacha kazi migomo haitawasaidia zaidi itawapeleka kwenye matatizo zaidi na bila ya shaka yeyote watafunguliwa mashtaka yatakayowalazimu wao sasa kumlipa muajiri wao.

Na kuhusu daktari Ulimboka na yaliyomfika alifunga kazi kuwa yeye kama yeye hahusiki na pia kusema na serikali yake haihusiki na kama wamo waliohusika hawakumuarifu na kumshauri hivyo anawaarifu vyombo vya sheria vifuatilie na kumkamata yeyote yule anaehusika bila ya kumuonea haya au kumuogopa ,na amesikitishwa sana na yaliyomtokea daktari huyo kuwa si utaratibu wake au wa serikali yake na umemuhuzunisha na kumuumisha kichwa.

Aliwaomba madaktari wafanye uwamuzi wa busara wa kurudi kazini na kuwahudumikia wananchi au waandike barua za kuacha kazi na sio kuendeleza mgomo.
 
Tukio hili halina tofauti na Mkapa alivyomfanyizia Jenerali Ulimwengu..

Kuna limit katika kuchezea mamlaka ya nchi, ulli amuulize yaliyomkuta Ulimwengu kimya hadi alipoondoka madarakani akandika weeeeeeeeee hadi akachoka Mzee anadunda

There you are.....
 
acha ushabiki wa kijinga, kasema pamoja na kwamba ulimboka sio muajiriwa wa serikali walimkubali awe kwenye kamati kwa sababu alichaguliwa na madaktari wenzaki in other words serikali ilikubali demokrasia pamoja na kwamba walikuwa na uwezo wa kumkataa kwa sababu si muajiriwa wa serikali ambayo kamati ilikuwa inawakilisha, what he said is yeye kama raisi na kiongozi wa serikali haoni sababu ya serikali kutaka kumfanyia unyama ulimboka, kajikanyaga wapi hapo? acha kusema maneno ya uzushi stick to the facts!!!! kuna watu ndugu zao wamekufa kwa ajili ya huu mgomo, labda kala demu wa mtu, maadui wengi, in facts mimi ningekuwa na ndugu yangu aliefariki kwa ajili ya wezi wa dawa walwahi ningemnyofoa **** moja ,
so acha kuropoka na kuleta maneno ya kizushi acha sheria ichukue mkondo wake, they might be some rogue elements within our armed force iliyohusika without direct authorization ya serikali na alisema hayo, jst because padri kabaka mtoto doesnt mean katumwa na papa, so tuache uchunguzi uchukue mkondo, tusubiri facts!!!!
 
Rais amekosa washauri makini, hii ni hatari ikiwa serikali na usalama wa taifa hapo ndipo walipoishia kufiki,

Viongozi wetu wamejenga akilini mwao wazo la misaada tu, hawazi kufikiri na kufanya maamuzi sahihi!
 
Kichaa mkubwa wewe.... Alifanya lini majadiliano na wabunge mpaka akaongeza salary toka 6m to 10m?tatizo ****** anatatua matokeo ya tukio na si kiini cha tukio.....hao doctors toka ugaibuni unafikiri watalipwa below 3.5m?mind you itakuwa twice as much.....then wewe kibaraka utasemaje?msijidai kuwa hii nchi ni yenu....tambueni kuwa mtajazana keko,segerea na kwingineko soon kwa upuuzi mhufanyao.....kafikia mwisho ya kufikiri as mkuu wa nchi......shame on u na ****** wako

Watu wapuuzi sana humu ndani,jambazi yupo tayari kuuwa kwa ajili ya pesa,madaktari nao wako tayari kuacha watu wafe kwa ajili ya fedha,wanataka serikali iwaboreshee maslahi wakati wao wenyewe sio waaminifu kwa kazi Yao,bila ya kumhonga daktari mgonjwa wako anakufa,halafu leo wanawaacha walipa kodi wafe eti wanataka maslahi zaidi,bado ww mpuuzi unawaunga mkono.Nashangaa kwanini huyo ulimboka hawakumuua,na kwann walimteka Ty tu
 
Nakubaliana na wewe, ila kuhusu ma-DR waliokuwa na Dr Ulimboka pale wakati nachukuliwa, wanasema walikwenda polisi, na waliambia wasubiri kesho asubuhi watajua kitakachokuwa kimetokea..... kwa statement hiii ....serikari ilijipanga kufanya unyama huuuu

Kama kweli serikali imehusika hata kama Rais asingeliongelea bado ukweli unabaki pale pale kuwa serikali haitakaa ikubali kuwa imehusika.

Unajua kwa namna moja au nyingine upo uwezekano kuwa askari wanaotajwa wamefanya hicho kitendo kwa ufisadi wao wa kifikra kwa kuwa walikabidhiwa jukumu la kufuatilia mwenendo wa mgomo, kwa kuwa kazi hiyo ilikuwa inawanyima muda wao wa kufanya kazi nyingine kwa kuitwa kila mara kuelezea kinachoendelea waliona ni jambo la busara sasa kutumia ufinyu wao wa kufikiria (kwa maana hapo ndipo akili yao ilipofikia ukomo) wakaona ni bora kumuua Dr. Ulimboka.

Kwa mazingira hayo upo uwezekano Mkubwa kabisa kuwa viongozi waliowapa kazi ya kufuatilia mwenendo wa mgomo wa Madaktari kushindwa kuamini kama askari hao wangeweza kutenda unyama huo.

Tatizo lingine linalojitokeza hapa ambalo halijatolewa ufafanuzi ni kwamba katika maelezo ya Dkt Ulimboka, anaeleza kuwa walienda leaders na Dkt. Mwezake na hata wakati anatekwa walikuwa na Dkt. Mwenzake ambapo watekaji walisema hawana shinda na mtu mwingine ila yeye tu Dkt. Ulimboka, iweje huyo Dakt. waliyekuwa naye anashindwa kuelezea kilichotokea na wakati walikuwa na Ulimboka muda wote? na kwa nini alichukua muda mwingi bila kumfuatilia mwenzake? katika hali ya kawaida uko na rafiki yako au jamaa unaona amekamatwa ni busara tu kuwa angefuatilia kujua anapelekwa kituo gani cha polisi na hivyo angesaidia kupatikana kwa taarifa mapema kuliko alivyojinyamazia. Upo uwezekano wa kuwa na mashaka na huyo Dakt. katika hili.
 
[h=6]"Daktari anayeona kuwa hawezi kufanya kazi Serikalini bila ya kulipwa mshahara wa LAKI TISA U NUSU awe huru kuacha kazi na kwenda kwa muajiri anayeweza kumlipa kiasi hicho. Nasi tutamtakia kila la heri" - Jakaya Mrisho Kikwete.[/h]
Sina shaka rais wetu anahitaji apatiwe au afanyiwe maombi huwezi kupoteza human capital kama doctors then then utell them kama hutaki laki tisa go where u can a better salary this wrong angalia hawa mps wanachukua almost 8 million wakati doc anaomba vifaa bora na mazingira ya kazi yaliboreshwa then u say 1000 doctors from will the country how and why??? where is our tz pride?
 
wewe Panadol kama jina lako hilo ni Panadol feki zilizojaa nchini na zinawaua pia, yaani wewe ni hovyo kabisa kukujibu kwa hoja ni kujichosha tu, shame
 
Jamani hivi ni kwanini Serikali haitaki kusema kuwa "MADAKTARI WANADAI MAZINGIRA BORA YA KAZI NA SIO MISHAHARA NA POSHO" NIFEDHEHA KWA MKUU WA NCHI KUONGEA UONGO. Hii ni kupandikisha chuki kwa Wananchi dhidi ya Madaktari kuwa hawawajali wanajijali wenyewe hili jambo ni baya sana ukiliiangalia kwa undani ama kwa kina madhara yake ni makubwa.

JK na Serikali yako "DHAIFU" muache mara moja kupotosha UMMA kuhusu suala la MGOMO WA MADAKTARI
 
Back
Top Bottom