Nilitamani kusikia upande wa pili wa madktari kuhusu hotuba hii,ambao kimsingi serikali inajitetea.mujibu wa ****** kati ya madai 12 ya madktari wameshughulikia saba..yaani nusu ya madai.ila ukisoma kwa makini ni madai 3 tu.Ndio yameshughuulikiwa kwa hali ya fulani kuridhisha.Mengine bado.Sasa huwezi kukaa na kuhutubia Taifa kwa kusolve mambo machache wakati Mengi ya Msingi bado.
MAADAI MATATU YALIOSHUGHULIKIWA
Dai namba saba
kuhusu Green Card tena ,hili limeanza kufanyiwa kazi.Tuombe likamilike kama walivyoomba,maana kuanza si kukamilisha kwenye
Dai namba nane
Blandina Nyoni katibu wa wizara alianza kuondolewa na pinda then baraza jipya likamuondoa waziri wake
kumi na mbili.
Posho imeongezwa toka elfu kumi mpaka 100000.si kwa kiwango walichotaka madktari walau si mbaya lakini.
MAJIBU YA MADAI MENGINE NI POROJO
1. Posho ya kuitwa kazini (on call allowance) iwe asilimia 10 ya mshahara....kikwete amekataa kwa kwa kusema kuwa daktari anaweza asiende kazini akalipwa kwa sababu ina base kwenye mshahara. kumbuka pinda alisema hiyo 25 wanayolipwa sasa waliongeza kwa dharura wakisubiri bajeti.ahadi hii ndio uliwafanya warudi wakiamini kuwa kwenye bajeti ijayo(hii) wataongezewa kama alivyokubaliana. Hawajaongeza kama pinda alivyoahidi.kimsingi hapa pinda aliwadanganya madktari LAIVU,na amekiuka makubaliano yao. sasa kwa nini wasichukie?.2. Posho ya kufanya kazi katika mazingira hatarishi (Risk allowance) iwe asilimia 30 ya mshahara..ki msingi hp kuna porojo za hali ya juu.serikali inasema inafanya research kugundu hayo mazingira hatarishi na kujua nani anapaswa kulipwa.kwa maana hyo hilo jambo si la mwaka huu .ikumbukwe hii posho ilikuwepo zamani ikaondolewa..kwa hyo si dai jipya bali walikuwa wanaomba warudishiwe na halikuhitaji research ya mwaka mzima..mwezi mmoja ulitosha na ilipaswa kuingizwa kwenye bajeti hiii.serikali hapa imefanya usanii na imeonyesha haina nia ya kulipa. Sasa kwa nn wasigome? 3. Madaktari wapatiwe nyumba grade A au posho ya makazi ambayo iwe asilimia 30 ya mshahara,hii ni sawa.kodi ya nyumba si chumba ni kati ya laki 2.5 mpaka 5 kwa Dar.baada ya serikali kuongeza mshahara hadi kufika 1.2 kwa madr wanaoanza kwa hyo 30% ina range hapo hapo. Kama hili Ngumu wajenge,serikali imesema ina mpango wa kujenga nyumba 90 za tena za chini.lakini madktari bingwa nchini pekee wako zaidi 500.Bado madokta wa kawaida,Madktari wanapaswa kujengewa magorofa tena ya kisasa kama wale vijana wa ofisi ya rais pale makumbusho kuelekea victoria. 4. Posho ya kufanya kazi katika mazingira magumu iwe asilimia 40 ya mshahara.Hapa kuna madai ya msingi kabisa ,mambo ya kusema udaktari ni wito,wamepitwa na wakati.kwa hiyo madktari wa nchi zilizoendelea wao hawana wito?huu ni upuuzi kabisa.Nia ya madktari hapa ni kuwavutia madktari kwenda vijijini kufanya kazi,hata hapaitaji research hata kidogo.kwa kuwa hii posho iliwahusu madaktari waliopo kwenye mazingira magumu na serikali inayajua hayo mazingira yao wapi nchini,serikali ilipaswa kulipa haraka sana 5. Madaktari walipwe posho ya usafiri ya asilimia 10 ya mshahara au wakopeshwe magari...jibu la hapa ni la kienyeji.kwamba wafuate utaratibu mikopo ya wafanyakazi wa serikali,madoctor wanajua kuwa hzo taratibu zipo, hapa madktari waliomba special favour,kama wabunge wanavyofanyiwa si lazima yawe magari ya gharama hata ya milioni kumi.Tena wanaweza kukatwa kwa Muda mfupi kwa kuwa mishahara yao itakuwa mikubwaa.hili limewauma maana wanaona hawathamini,wakati wabunge wengine hata darasa la saba hawakufika mfno Mbunge anayemiliki hoteli ya Lakairo mwanza,jaama hajasoma kabisa.6. Madaktari wanaoanza kazi walipwe mshahara wa shilingi 3,500,00/= kwa mwezi..hilo dau.sio realistic at least milioni mbili kwa wanaonza kazi,warudi mezani wakubaliane kwenye hili,serikali imesema imeongeza kati ya asilimia 15 mpaka 20 ya mshahara wao,hii si nyongeza hii ni "COLA" cost of living allowance kutokana na inflation rate ambayo imefika 20% kwa mujibu wa BOT,huwezi kuiita hyo ni nyongeza,mshahara ni ule ule kwa sababu thamani ya shilingi imeshuka na gharama zingine za maisha zimepanda,so mpaka sasa serikali hajaongeza mshahara kwa madktari. Sasa kwa nn wasigome?7. Madaktari wapatiwe Green Card za Bima ya afya(linafanyiwa kazi) 8. Hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya Watendaji Wakuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii...Hili limefanyiwa kazi 9. Viongozi wa Kisiasa kulazimisha kupewa rufaa nje.jibu la serikali kuwa wakatae wakiambia wafanye hivyo na viongozi wa serikali.hapa hakuna political will ya kusolve.kama wangekuwa wanauwezo wa kukataa.basi wasingeomba serikali.hapa tatizo bado lipi,kwa nn wasigome?kazi yao zinaingiliwa na wana siasa?tena wengi ni mawaziri! 10. Madaktari waliofukuzwa warudishwe kazini....wakati wadai wengine warudishwe wengine wanafukuzwa.So hiii dai liko pale pale 11. Huduma za afya ziboreshwe nchini.hapa hata kipofu anaona kila ukienda muhimbili mashine ya T-scan mbovu.zaidi ya miezi sita sasa. 12. Posho ya uchunguzi wa maiti iongezwe. Ndugu Wananchi(done)
Kusema kwamba Serikali haihusiki, wakati anajua serikali ni mmoja wa Watuhumiwa wakubwa, kama Rais inaonekana kama anataka ku-influence majibu ya Tume iliyoundwa kuchunguza sakata hili. Kama Tume iliyoundwa ikija kugundua kwamba Serikali imehusika, unategemea itasema kweli wakati Mkuu mwenyewe ameshaitoa kwenye uhusika! Kama anaanza kuwatoa watuhumiwa ambao wangepaswa kuchunguzwa, sasa hii Tume itakuwa na maana gani au ni muendelezo tu wa kula hela za "wajinga" kama walivyofanya kwenye Tume zilizopita kama za Richmond, Jairo n.k.
Kweli nimeamini Dhaifu ni dhaifu tu hata akinywa RED BULL