Huna hoja.
Waliyokubaliana kayasema na ambayo serikali imekataa na hayo kayasema waziwazi na ambayo hawajakubaliana kayasema waziwazi na kasema asiyeyataka hayo ambayo serikali imeyakataa aache mwenyewe kazi. Nini zaidi usichokielewa?Kama huna hoja kaa kimya kama wenzako.
Umefanya kosa kuchukulia nchi kama Marekani kuwa kielelezo cha migomo ya madaktari hapa Tanzania. Marekani madaktari hawagomi na kuna sheria kali kwani ikitokea mgonjwa anakufa kwa uzembe huo wa daktari ikiwa ni pamoja na migomo anashtakiwa kwa kosa la kusababisha kifo kosa linaloangukia second degree murder. Usicheze na Marekani wewe, vingienevyo kama hukubaliani na mafao kazini acha kazi nenda kafanye kwa unayeona atakupa mafao stahiki lakini si kuwekea rehani maisha ya wagonjwa.
wewe ni nani mpaka utishe watu hata kama wewe uko jikoni hivi mnafikiri mpo hapo kwa kutisha watu p.......mbfu!Kikwete ahsante sana.
Sasa ondokeni mkafanye kazi zenu za private au mrudi kazini, uamuzi ni wenu, na huko mahospitali tutaanza kuwawekea tathmini ya kujuwa ni nani anaefanya kazi na anastahili kulipwa na nani asiyefanya. Mnalo?
Ok lets assume madaktari nao wanakomaa, watawafukuza kazi? watapata wapi wengine, Hakuna daktari aliye idol duniani, wote wana kazi, na kwa taarifa yako daktari anaeweza kufanya kazi kwenye mazingira ya kitanzania ni hawa wa kwetu tu ambao wakuwa trained kujua ugonjwa kutokana na historia ya mgonjwa, maana hawana vifaa kwa ajili ya uchunguzi, unakuta hata xray machine hazifanyi kazi katika hospitali kubwa kama Bombo. kwa hiyo tusijidanganye tutaleta madaktari kutoka nje hawataweza kufanya kazi, na watanzania wataendelea kuteseka. EE JK acha kutisha watu, najua hupendi kushindwa lakini kwa hili ungesurrender kuokoa maisha ya raia wako.Mkuu hakuna anaetishiwa Nyau, kila jambo lazima liwe na Mstari wake, haliwezi kwenda/kuendeshwa bila kuwa na "Limitation" yake.
The so called dhaifu amefikia yake now its up to the Doctors, tha ball is in Doctors court!
Mkuu huyu Juma Mgaza ndiye aliyemuokota Dk Ulimboka kwa mara ya Kwanza mstuni Pande na kumpeleka Polisi.
Mkuu madaktari hawaruhusiwi kugoma kama wanatimiziwa mahitaji yao muhimu ikiwa ni mishahara, marupurupu na mazingira mazuri ya kufanyia kazi, hii ni taaluma nyeti na pia lazima iangaliwe kwe unyeti wake. hakuna haki bila wajibu. serikali ina wajibu wa kuwaangalia vizuri madaktari wake na madaktari wana wajibu wa kuitumia vyema serikali yao. kwa tanzania daktari anafananishwa na sociologist (samahani sociologists) na haivyo hathaminiwi, katika mazingira kama haya anaruhusiwa kugoma. Kaulize marekani madaktari wanalipwa kiasi gani na mazingira yao ya kufanyia kazi yakoje ndio ulinganishe na TanzaniaNdio maana nchi kama Marekani dactari akigoma na kusababisha madhara kwa mgonjwa anafunguliwa mashtaka, na kama mgonjwa akifa anafunguliwa kesi ya mauaji first or second degree murder. Lakin mfanyakazi mwingine wa sekta nyingine atakachofanyiwa ni kufukuzwa tu kazini. Je umeona tofauti ya viapo hivyo vya kazini kwa watumishi.
Kabla ya ajira kuna mkataba ambao unasaini, iwe nchi za Ulaya, Marekani na hapa Tanzania, na kila aina ya kazi ina mikataba yake, huwezi kufananisha mkataba wa daktari wa binadamu na mkulima au mwalimu.
""Kama kuna mtu wa Serikali kafanya, itakuwa kwa sababu zake binafsi na siyo za Serikali au kwa kutumwa na Serikali."""
Aisee..kwa hiyo kama JK/PINDA ameagiza kama JK/PINDA ana sababu zake binafsi?.
Hapa DHAIFU amesound kama anamjua vile aliyefanya hiki kitu.
Ok lets assume madaktari nao wanakomaa, watawafukuza kazi? watapata wapi wengine, Hakuna daktari aliye idol duniani, wote wana kazi, na kwa taarifa yako daktari anaeweza kufanya kazi kwenye mazingira ya kitanzania ni hawa wa kwetu tu ambao wakuwa trained kujua ugonjwa kutokana na historia ya mgonjwa, maana hawana vifaa kwa ajili ya uchunguzi, unakuta hata xray machine hazifanyi kazi katika hospitali kubwa kama Bombo. kwa hiyo tusijidanganye tutaleta madaktari kutoka nje hawataweza kufanya kazi, na watanzania wataendelea kuteseka. EE JK acha kutisha watu, najua hupendi kushindwa lakini kwa hili ungesurrender kuokoa maisha ya raia wako.
kawajibu vuzuri madaktari....kama muajiri wa sasa hawezi kukulipa unachotaka ai unachostaili huitaji kugoma ....ni kuacha kazi ns kumfuata muajiri anayekulipa vizuri.....madaktari acheni kusumbua vichwa vyetu.....labda mtubainishie kuwa pesa hizo zipo mahala mmeziona...after all mlipwe m 3.5 kea lipi?....
Mkuu madaktari hawaruhusiwi kugoma kama wanatimiziwa mahitaji yao muhimu ikiwa ni mishahara, marupurupu na mazingira mazuri ya kufanyia kazi, hii ni taaluma nyeti na pia lazima iangaliwe kwe unyeti wake. hakuna haki bila wajibu. serikali ina wajibu wa kuwaangalia vizuri madaktari wake na madaktari wana wajibu wa kuitumia vyema serikali yao. kwa tanzania daktari anafananishwa na sociologist (samahani sociologists) na haivyo hathaminiwi, katika mazingira kama haya anaruhusiwa kugoma. Kaulize marekani madaktari wanalipwa kiasi gani na mazingira yao ya kufanyia kazi yakoje ndio ulinganishe na Tanzania
wewe ni nani mpaka utishe watu hata kama wewe uko jikoni hivi mnafikiri mpo hapo kwa kutisha watu p.......mbfu!
Mkuu madaktari hawaruhusiwi kugoma kama wanatimiziwa mahitaji yao muhimu ikiwa ni mishahara, marupurupu na mazingira mazuri ya kufanyia kazi, hii ni taaluma nyeti na pia lazima iangaliwe kwe unyeti wake. hakuna haki bila wajibu. serikali ina wajibu wa kuwaangalia vizuri madaktari wake na madaktari wana wajibu wa kuitumia vyema serikali yao. kwa tanzania daktari anafananishwa na sociologist (samahani sociologists) na haivyo hathaminiwi, katika mazingira kama haya anaruhusiwa kugoma. Kaulize marekani madaktari wanalipwa kiasi gani na mazingira yao ya kufanyia kazi yakoje ndio ulinganishe na Tanzania