Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,543
- 113,712
Rais Karume ndio kwanza amemaza kuhutubu sherehe za Mapinduzi Zanzibar kutokea kisiwani Pemba.
Kwa maoni yangu, its the best ever tangu nimekuwa nikimsikiliza Mheshimiwa huyu huko nyuma.
Dondoo Muhimu:
Kwa maoni yangu, its the best ever tangu nimekuwa nikimsikiliza Mheshimiwa huyu huko nyuma.
Dondoo Muhimu:
- Amesema hatogombea tena kwa mujibu wa katiba.
- Ameupongeza muafaka wake na Maalim Seif na kusifu motokea mema yake ya awali.
- Ametumia lugha ya kistaaranu iliyojaa hekima na busara, huko nyuma zilikuwa ni mafumbo na vijembe.
- Amezungumzia issue zote muhimu kwa mustakabali wa Zanzibar
- Amezungumzia Muungano ni Dhima.
- Ametoa hakikisho la Uchaguri huru na wa haki.
- Wenye sifa wote, wataandikishwa. ZEK itapitisha tena uandikishaji upya.
- Wote wenye sifa za kupata ZID, watapatiwa na wote wenye ZID walionywima kwenda kuzichukua, wakazichukue.
- Kwa ujasiri mkubwa na lugha ya kistaarabu sana, ameyaomba gesi na mafuta yao, yawe yao, kama ilivyo bara na dhahabu yetu.
- Amemsifu sana Rais Kikwete, na kumalizia kwa ile ile kauli Adhimu "Mapinduzi Daima".