HOTUBA YA JPM ITAKAYOPATA KUISHI MILELE

HOTUBA YA JPM ITAKAYOPATA KUISHI MILELE

Huo upigaji uliopo kazini sasa hivi unafanywa na wapinzani?
RIP JPM...
Mara 100 JPM ...tena angefuta kabisa upinzani hauna maana kwenye hii Nchi...
Japo siipendi CCM lakini upinzani ni mazuzu na yapo tayari kuuza Nchi kwa mabeberu...
Upigaji upo kazini sasa...
Upinzani hauna maana kwenye hii nchi
 
Kwa mawazo kama yako haya. Nchi hii haiwezi kupiga hatua hata siku moja. Upinzani upo kikatiba na ndiyo nature ya mwanadamu. Huwezi kuunyamazisha ukafanikiwa . Walishindwa majabali sembuse na sisi !!

Upigaji unaousema leo kuendelea , unawalaumuJe wapinzani ?! WanahusikaJe ? Hii ni serikali iliyokuwa marehemu ni ya wapinzani ?! .
 
Anaweza kuwa alikuwa na uzalendo huo lakini mapungufu yalikuwa mengi. Alitaka kila kitu aamue yeye. Kiufupi alikuwa anaelekea kuwa Mobutu,Bokassa,Sani Abacha and the likes. Tumshukuru Mungu kwa yote.
 
Jpm ameacha alama kubwa Sana moyoni mwangu ya ujasiri na kusimamia ninachokiamini bila kuogopa. Upumzike kwa amani Baba.
 
Hotuba ilikuwa nzuri, Na pengine nia ilikuwa nzuri. Lakini alipozuia mawazo mbadala kwa kuminya uhuru wa kujieleza . HAPANA .

Upinzani una maana yake . Hata pale tunapokuwa na viongozi wanaojiita wazalendo. Hebu ziangalie nchi kama Japan , South Korea, Australia , Sweden nk. Wanao viongozi wazuri na wazalendo lakini hawanyamazishi upinzani.
Najua mtanikumbuka kwa mazuri yangu.....anajua kuna vitu alikuwa anakosea kama binadamu.
RIP Magu
 
Kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure,,!!

Point moja kubwa sana... yani ukijaribu lazima life jitu...
 
Hotuba ilikuwa nzuri, Na pengine nia ilikuwa nzuri. Lakini alipozuia mawazo mbadala kwa kuminya uhuru wa kujieleza . HAPANA .

Upinzani una maana yake . Hata pale tunapokuwa na viongozi wanaojiita wazalendo. Hebu ziangalie nchi kama Japan , South Korea, Australia , Sweden nk. Wanao viongozi wazuri na wazalendo lakini hawanyamazishi upinzani.
Mkuu korea ipi au ile raisi akifa lazima wote mlie
 
Hotuba ilikuwa nzuri, Na pengine nia ilikuwa nzuri. Lakini alipozuia mawazo mbadala kwa kuminya uhuru wa kujieleza . HAPANA .

Upinzani una maana yake . Hata pale tunapokuwa na viongozi wanaojiita wazalendo. Hebu ziangalie nchi kama Japan , South Korea, Australia , Sweden nk. Wanao viongozi wazuri na wazalendo lakini hawanyamazishi upinzani.

Upinzani ni mzuri kwasababu unaleta fikra mbadala, lakini upinzani wa Tanzania hasa akina Lissu ni wa kipumbavu sana

Mtu anachukua 'bakhshishi' ili ajenge hoja ya kuitisha Serikali isichukue hatua dhidi ya makampuni yanayoiba madini nchini, eti tutashitakiwa MIGA

Sisi kama Taifa tukiongozwa na Magufuli tulishikamana kupigania maslahi ya Taifa ktk sekta ya madini, lakn wenzetu Chadema na Lissu sijui walipewa bakhshishi tamu kiasi gani mpaka kuja kuitisha nchi yetu eti tutashitakiwa MIGA endapo tutawagusa hawa kina Barrick Gold

Hii kitu ilinikera sana, ilinifanya nione tuna upinzani wa hovyo sana nchini

Mungu ni mwema, Kama Taifa tulivuka kizingiti hiki na jamaa wakakubali kunegotiate na Serikali ili nchi inufaike,,,, aibu ikabaki kwa mzee wa MIGA bw Lissu
 
Nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania ,!!
emoji1241.png
Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania,!!
emoji1241.png
Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu
emoji21.png
emoji1241.png
.
🙌 🤔
 
Hakuna lolote.
Kwani Tanzania tunauza madini moja moja kwa kwenye Soko la dunia? Au tunaziuzia kampuni kwenye local market na wao wanawauzia matajiri wakubwa wa middle east na Asia ambao makumpuni ya nchi zao ndizo wanauza kwenye soko la dunia???

Hakuna alichoongea pumba tupu. Kumbuka alipojaribu kutuma maofisa wake kwenda Brazili kudai kuwa sasa serikali itanununua moja kwa moja sukari. Akaambiwa mzee hakuna kitu kama hicho tinadealers.
Kwa ufupi hakuwa na jambo yule mzee
 
Upinzani ni mzuri kwasababu unaleta fikra mbadala, lakini upinzani wa Tanzania hasa akina Lissu ni wa kipumbavu sana

Mtu anachukua 'bakhshishi' ili ajenge hoja ya kuitisha Serikali isichukue hatua dhidi ya makampuni yanayoiba madini nchini, eti tutashitakiwa MIGA

Sisi kama Taifa tukiongozwa na Magufuli tulishikamana kupigania maslahi ya Taifa ktk sekta ya madini, lakn wenzetu Chadema na Lissu sijui walipewa bakhshishi tamu kiasi gani mpaka kuja kuitisha nchi yetu eti tutashitakiwa MIGA endapo tutawagusa hawa kina Barrick Gold

Hii kitu ilinikera sana, ilinifanya nione tuna upinzani wa hovyo sana nchini

Mungu ni mwema, Kama Taifa tulivuka kizingiti hiki na jamaa wakakubali kunegotiate na Serikali ili nchi inufaike,,,, aibu ikabaki kwa mzee wa MIGA bw Lissu
Auto sababu ya kumnyamazisha kwa kummiminia magazine nzima kama chatu.
 
Naomba ukurasa wa katiba unao teua Raisi uchwane na utupwe dustbin haraka sana
 
He was my beloved president💓 I was loyal to him no matter what others say about him. Now I'm just a Ronin, a knight without lord to serve.
Mungu akurehemu huko ulipo JPM, Nashukuru Mungu kupata bahati ya kuongozwa kwenye awamu yako JPM. Ndio maana kila nilipopata nafasi nilikujumuisha kwenye maombi yangu.
The purpose has been served 🌹🌹🌹
 
Back
Top Bottom