BUFALO
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 300
- 273
Ungekua hata salamu ya kisukuma sijuiWasukuma mmeumia sana kufa huyu Mungu wenu!!!
Ungekua hata salamu ya kisukuma sijuiWasukuma mmeumia sana kufa huyu Mungu wenu!!!
Na pia inahitaji akili sana kumuelewa mtoa mada ukiweka ushabiki wa kikabila au kanda huwez elewaWasukuma mmeumia sana kufa huyu Mungu wenu!!!
Maono kama haya mwingine hana yeye maono Yake Ni kwenda na Dunia. Dunia ya kuona sisi hatuna cha kufanya na Rasilimali zetu Bali wazipore wao wakafanye watakavyo.Itachukua muda mrefu sana Tanzania kupata raisi mwenye kaliba kama JPM
Hebu tusaidie mfano wa Raisi Mzuri Duniani na aliyoyafanya ili tumuone JPM Ni MbayaKwamba alikuwa na dhati na nchi hii ila ametunyooshaa iseee hapana kwakweli apumzike tu hukohuko..
Umekariri Hotuba Ni ya kuandika na kisha kusomwa kama anavyofanya mama kusoma neno kwa neno?Hivi yule jamaa alikuaga na hotuba alikua anajiongelea tu yanayotoka kichwani? Hotuba zenyewe Ni zile za dizaini ya Mara napenda wanawake weupe sijui Nini.
Unajichanganya sana mzee, mara wapinzani, mara wapigaji, mara mabeberu!! Hueleweki unataka kueleza nini!! Uzalendo uchwara umekwenda na aliyeenda, huwezi ukajiita mzalendo wakati unatajirisha watu wako wa karibu kwa viwango ambavyo havina mfano, Bashite ndani ya miaka 3 tu alianza kuwavimbia hadi akina GSMRIP JPM...
Mara 100 JPM ...tena angefuta kabisa upinzani hauna maana kwenye hii Nchi...
Japo siipendi CCM lakini upinzani ni mazuzu na yapo tayari kuuza Nchi kwa mabeberu...
Upigaji upo kazini sasa...
Upinzani hauna maana kwenye hii nchi
JPM alikuwa ni janga la Taifa, hamna Rais wa kumfananisha naye kwa walio hai kwa sasa! Jamaa zake ni akina Amin, Mussolin, Pinochet and the likes! Kwa ujinga wake ndiye Rais pekee aliye madarakani dunia nzima aliyesombwa na COVID...K
Hebu tusaidie mfano wa Raisi Mzuri Duniani na aliyoyafanya ili tumuone JPM Ni Mbaya
Nimekuomba midano ya Viongozi Bora na sio mapungufu ya JPM.JPM alikuwa ni janga la Taifa, hamna Rais wa kumfananisha naye kwa walio hai kwa sasa! Jamaa zake ni akina Amin, Mussolin, Pinochet and the likes! Kwa ujinga wake ndiye Rais pekee aliye madarakani dunia nzima aliyesombwa na COVID...
tunataka upinzani ulio safi. upinzani gani unanchua lowaza kutoka ccm anbao mnasema ni wezi alafu mnamsimikaKwa mawazo kama yako haya. Nchi hii haiwezi kupiga hatua hata siku moja. Upinzani upo kikatiba na ndiyo nature ya mwanadamu. Huwezi kuunyamazisha ukafanikiwa . Walishindwa majabali sembuse na sisi !!
Upigaji unaousema leo kuendelea , unawalaumuJe wapinzani ?! WanahusikaJe ? Hii ni serikali iliyokuwa marehemu ni ya wapinzani ?! .
Huyu alikuwa jambazi kama wengine wa ccm,laiiti angelitekeleza aliyokuwa anayazungumza,tungekuwa mbali,ila baada ya kuonja asari ya Ikulu,akaanza upendeleo na ujambazi tuliozoea Afrika,Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Nisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui.
Ni kuguswa tu na Roho mtakatifu nashindwa kuwataja.Tumechezewa mno ndiyo maana nayasema haya hadharani ndugu zangu kwamba tumechezewa mno. Ila nataka niwahakikishie ktk awamu hii ya 5 chini ya Uongozi wangu HAKUNA KUCHEZEWA. Waje wanalia, Waje wanazunguka, Watajitahidi kutuchonganisha Lakini tuseme hakuna kuchezewa. NI AIBU,!! Tanzanite zilikuwa zinasombwa tu !!? Na ndiomaana Nchi inayoongoza kuuza Tanzanite Duniani sio Tanzania ,!! [emoji1241] Nchi ya pili inayoongoza kuuza Tanzanite sio Tanzania,!! [emoji1241] Wakati Madini ya Tanzanite yako Tanzania tu[emoji21] [emoji1241]. Na ndiomaana yaliandikwa Tanzanite kutokana na neno Tanzania [emoji1241]. Fedha zote zilizokusanywa za Tanzanite Duniani Tz imepata asilimia tano ( 5.% ) Asilimia tisini na tano ( 95.% ) zimeliwa na wengine wa nje.
Mnataka ndugu zangu niache kulizungumza hili,!? Sasa nilichaguliwa kuwa Rais wa nini,!? Kama sitazungumza huu uozo hadharani,? Nikakae kimya tu kwa kumuogopa nani,? sababu ya Maisha yangu,!? Si nafuu nizikwe Kaburini lakini niuseme ukweli watz waujue. ..???
Kwa hiyo ninataka kuwaambia ndugu zangu Vita ya Uchumi ni ngumu zaidi kiliko Vita ya kawaida. Kumnyang'anya Mtu alichozowea kukipata bure,,!! Na kuwadharau watanzania ni Mambumbumbu, Wapumbavu Wajinga,, si jambo rahisi. Na ndiomaana nawaomba sana wote tusimame kwa pamoja tuwe wa moja Tupiganie haki zetu.
Siku zote nawaambia ndugu zangu sio kwamba sina Damu, Au sio kwamba mimi sipendi hela,.
NAJUA MKIAMUA TUTAFIKA.
R.I.P. JPM[emoji120][emoji120][emoji120] [emoji24][emoji24][emoji24]
Hapana hotuba Ni Kama za Magu zile za Barakoa inafanana na titi 1 la mwanamke lililokatwa,Mimi Ni jiwe tena jiwe kwelikweli,Spika wewe wabane wapinzani huko ndani huku nje niachie Mimi nitabanana nao,Haya nendeni mkakae na mavi yenu huko nyumbani n.kU
Umekariri Hotuba Ni ya kuandika na kisha kusomwa kama anavyofanya mama kusoma neno kwa neno?
Achana na Mwehu.Wapinzani wameongoza hii nchi lini mkuu?.
Pamoja na udikteta wake lakini atakumbukwa na vizazi vijavyo, Mungu awajalie viongozi wetu kuona mapungufu ya nchi hii na kuyafanyia kazi bila kungoja kuambiwa kwa taarifa za watendaji tu.Mimi ndio Rais ninajuwa siri zote za Nchi hii. Nisingeweza kuzungumza haya kama haya ninayozungumza siyajui.