MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,520
- 6,622
Cha ajabu nini hapo sasa? Ni sawa na mwalimu wa hesabu aanze kujisifu mimi najua hesabu.
RIP JPM...
Mara 100 JPM ...tena angefuta kabisa upinzani hauna maana kwenye hii Nchi...
Japo siipendi CCM lakini upinzani ni mazuzu na yapo tayari kuuza Nchi kwa mabeberu...
Upigaji upo kazini sasa...
Upinzani hauna maana kwenye hii nchi
Sasa Hon.JPM alikosea wapiNawapenda Sana especially wakiwa na mpododoooo.
Na tuseme ukweli kuna mwandishi wa habari aliyewah kujichanganya kumkosoa rais wa korea kusini kama kunyoa tu style yake ni marufuku vp kuhusu mambo mengine?Hotuba ilikuwa nzuri, Na pengine nia ilikuwa nzuri. Lakini alipozuia mawazo mbadala kwa kuminya uhuru wa kujieleza . HAPANA. Upinzani una maana yake . Hata pale tunapokuwa na viongozi wanaojiita wazalendo. Hebu ziangalie nchi kama Japan , South Korea, Australia , Sweden nk. Wanao viongozi wazuri na wazalendo lakini hawanyamazishi upinzani.
Akili zako ni finyu sana kama njiti za kiberiti. Huelewi ni maana ya upinzani. Huna aibu, Mungu akusamehe! Upinzani uliopo humo ndani ya ccm ni wa kutisha sana.RIP JPM...
Mara 100 JPM ...tena angefuta kabisa upinzani hauna maana kwenye hii Nchi...
Japo siipendi CCM lakini upinzani ni mazuzu na yapo tayari kuuza Nchi kwa mabeberu...
Upigaji upo kazini sasa...
Upinzani hauna maana kwenye hii nchi
Kalba ya taahira?Itachukua muda mrefu sana Tanzania kupata raisi mwenye kaliba kama JPM
Wewe wazazi wako wana hasira sana.RIP JPM...
Mara 100 JPM ...tena angefuta kabisa upinzani hauna maana kwenye hii Nchi...
Japo siipendi CCM lakini upinzani ni mazuzu na yapo tayari kuuza Nchi kwa mabeberu...
Upigaji upo kazini sasa...
Upinzani hauna maana kwenye hii nchi
Rais dhaifu aliyejificha kwenye ukali !!! Poleni wasukuma upendekeo umekwishaItachukua muda mrefu sana Tanzania kupata raisi mwenye kaliba kama JPM
Kama una elimu kubwa sana ni form two wastan wa 23 au div 4 ya 34?? Bisha!!!RIP JPM...
Mara 100 JPM ...tena angefuta kabisa upinzani hauna maana kwenye hii Nchi...
Japo siipendi CCM lakini upinzani ni mazuzu na yapo tayari kuuza Nchi kwa mabeberu...
Upigaji upo kazini sasa...
Upinzani hauna maana kwenye hii nchi
Hawezi bishaKama una elimu kubwa sana ni form two wastan wa 23 au div 4 ya 34?? Bisha!!!
Nilifurahi acha tu 17/3Anaweza kuwa alikuwa na uzalendo huo lakini mapungufu yalikuwa mengi. Alitaka kila kitu aamue yeye. Kiufupi alikuwa anaelekea kuwa Mobutu,Bokassa,Sani Abacha and the likes. Tumshukuru Mungu kwa yote.
Tumesha stakiwa tutadaiwa ni suala la muda tuu kuna makampuni yamwshinda kesi ndugu!!! Nimesoma mahali kuna kampuni inaitwa Indianpolia na nyingine nyingi zimeshinda kesi!! Tatizo ccm hamjui hata lugha ya kimataifa ila tutapigwa pesa muda si murefu utaona!!! Lisu alikua sahihi sema wapumbavu hamkumuelewa !! Magu alivunja mikataba halali ila wspumbavu mlishangiliaUpinzani ni mzuri kwasababu unaleta fikra mbadala, lakini upinzani wa Tanzania hasa akina Lissu ni wa kipumbavu sana
Mtu anachukua 'bakhshishi' ili ajenge hoja ya kuitisha Serikali isichukue hatua dhidi ya makampuni yanayoiba madini nchini, eti tutashitakiwa MIGA
Sisi kama Taifa tukiongozwa na Magufuli tulishikamana kupigania maslahi ya Taifa ktk sekta ya madini, lakn wenzetu Chadema na Lissu sijui walipewa bakhshishi tamu kiasi gani mpaka kuja kuitisha nchi yetu eti tutashitakiwa MIGA endapo tutawagusa hawa kina Barrick Gold
Hii kitu ilinikera sana, ilinifanya nione tuna upinzani wa hovyo sana nchini
Mungu ni mwema, Kama Taifa tulivuka kizingiti hiki na jamaa wakakubali kunegotiate na Serikali ili nchi inufaike,,,, aibu ikabaki kwa mzee wa MIGA bw Lissu
Nimeandika South Korea wewe unasema Korea kaskazini !!. Hizi elimu zetu za memkwa ni majanga [emoji102][emoji107]Na tuseme ukweli kuna mwandishi wa habari aliyewah kujichanganya kumkosoa rais wa korea kaskazini, kama kunyoa tu style yake ni marufuku vp kuhusu mambo mengine?
Nilifurahi sana nilikunywa na kusaza asante mungu wewe ni fundi !!!He was my beloved president[emoji176] I was loyal to him no matter what others say about him. Now I'm just a Ronin, a knight without lord to serve.
Mungu akurehemu huko ulipo JPM, Nashukuru Mungu kupata bahati ya kuongozwa kwenye awamu yako JPM. Ndio maana kila nilipopata nafasi nilikujumuisha kwenye maombi yangu.
The purpose has been served [emoji257][emoji257][emoji257]
Wasukuma mmeumia sana kufa huyu Mungu wenu!!!RIP champion JPM