Hoteli ya Sugu iwafumbue macho vijana kuhusu nguvu ya uwekezaji

Msigwa yuko vyema kwenye kilimo cha nyanya tu mkuu.

Kwani kuna shida gani?
Maana ni kama umeandika kimasimango fulani hivi!
Kwa taarifa yako mimi binafsi nimewahi kufanya kilimo cha nyanya na mboga mboga, kipato nilichokuwa napata kwa msimu mmoja wa mavuno ni sawa na kununua coaster kama mbili hivi mpya na chenji ya bajaji kama tatu inabaki!
Ni vile tu kwa sasa, plan imebadilika ila nitarudi huko kwenye kilimo!
Refer hata Sumry huko analima maharage na mahindi!
 
Na vijana mnaotumiwa tu kama sanitary pads huku wenzenu wanapiga mavumba mna la kujifunza!

BTW:Kama bado CRDB wanamdai chao,ajipange!
 
Nchi hii kuna watu wamekwapua mihela ila waziweka tu badala ya kufanya miradi watoe ajira
Big up sugu
Big up pinda
Big up mb wa kibaha mjini
Hawa wote ni mfano wa kuigwa

Ova
 
Mkuu hueleweki,

Mwanzoni umesema wewe ni mzee,( sisi tulio uzeeni), baadae umesema unawaomba vijana wenzako mjitahidi!!!!!!!!!. Ila hoja yako iko vizuri.
Nilitaka kuulizia hivyo hivyo! Beatrice unatakiwa uwe tu muwazi kama jua liko machweo liko machweo tu! Hakuna namna utajirudisha ujana!
 
Mbona hawakuwekeza kabla hawajakuwa wabunge, uwekezaji unahitaji pesa,mikopo,sasa mwenzangu kajamba nani utapata mkopo wa dhamana gani na kwa kipato kipi.Tusilaumu tu vijana ambao hata corridor za benki hawazijui.
 
Ni vigumu sana kujua the story behind any successful person,kwa kuwa mambo mengi maovu yanafanywa kwa siri kubwa.Hata hivyo nikuhakikishie kwamba there is a story behind Sugus' success,only that people do not know it.Nimefanyia utafiti most of the success stories of the richest families on the Planet including the Rothschild family, the Bruce family, the Kennedys, the Medici family, the House of Hanover, the House of Hapsburg, the Krupp family, the House of Plantagenet, the Rockefeller family, the House of Romanov, the Sinclair family, the Warburg family and the House of Windsor,
they are dirty stories behind their success.Kwa hiyo usijifariji kwamba all is well with Sugu.There is "most likely" a dirty side to his success,you just do not know it.
 
Back
Top Bottom