Jaribu kutembelea ngurudoto mkuu ukajionee mkuu, fanya utalii was ndani ujionee, ila ni hatar Sana hotel Kama ile kukosa wageni, Kuna tatizo c bureSiyo mwenyeji sana Arusha, ila hotel yenye vyumba 300?
Vingi sana aisee.
Reviews nyingi za trip advisor huwa ni negative, kwa Hotel nyingi sana utapata hivyo.
Isitoshe mpaka Mgeni aingie kule ku comment ni baada ya kuchafuka, ni mara chache Wanaofurahia kuingia huko.
Hali ni mbaya Mkuu,kama Arusha utalii uko hivyo sijui dar
Umeona lkn wanaolalamika walikuja kipindi gani? Embu lete screen shot za kabla ya 2015.
We planting what we sowed"Tunavuna tulichopanda", kwa kikristo wanasemaje?
"Tunavuna tulichopanda", kwa kikristo wanasemaje?
hahaha ndio kipoje icho kichekonimecheka kwa huzuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa siwapeleke wanajeshi walalale
Siyo mwenyeji sana Arusha, ila hotel yenye vyumba 300?
Vingi sana aisee.
Nimemuona na kumsikia Meneja wa moja ya Hoteli kubwa na maarufu ya Kitalii ya Arusha kwenye taarifa ya habari usiku huu anasema/anajitetea kwa Maofisa wa Serikali kuwa Hoteli ile ina vyumba mia tatu (300) na hakuna Mgeni hata mmoja pale ndani.
Sasa nimejiuliza ni kwamba wao ndio hawapo kwenye right track ama?
Hiyo ni moja,kuna Ngorongoro Crater Lodge,kuna Four Season Mountain Lodge nafikiri hii inaweza kuwa kubwa East Africa and Central,kuna Manyara Serena Lodge...,hizi ni baadhi tuu,hiyo Ngorongoro Crater Lodge inaweza kuwa vyumba zaidi ya 300.Hope so, nimeshatajiwa Ngurdoto mkuu.
Ila issue ya kuwa 5-Star hairelate na idadi ya vyumba mkuu.
Acha story za vijiweni....!!!!Hiyo itakuwa Ngurudoto maana nimelala pale siku nne, vyumba vingine vimejaa mijusi tu. Uchumi umebana
hahaha ndio kipoje icho kicheko
halafu kuna vimbwa vya kizungu juu hapo vinadai hapakuwa hata na ac.Sometimes zeruzeru wenye nywele za uzi huwa wanafiq sana.Hata Bush alipokuja ali mbonji pale....Maraisi wa East Africa pia walipokutana mara kwa mara walilala pale.
Nan kakudanganya city link ipo Mianzini?City link hiko maeneo ya mianzini ina vyumba zaid ya 250 ila sina hakika Kama inaanzia namba 1 mpaka 200...?