Mkuu... Hilo ni jina la Mzee mmoja alikuwa anaitwa Chacha Makaranga. Akaauma kuitwa bar / club yake Makaranga..
Basi enzi hizo za primary wakati imefunguliwa tulitunga wimbo wa mchakamchaka... Tuliimba hivi..
"Mwenyekiti wetu Chacha Makaranga, wakong'a wasing'ara ku inkundo ya mande"
Aione Mwita Maranya na platozoom...
Mkuu kama watu hapa hapa mjini wanakula viporo vya wali maharage, iweje washindwe kumemena nguna!!!
Kwa taarifa yako wale wakulima wa Kisukuma au Kikurya, huwa wanakula ugali mkubwa wa dona halafu pembeni kunakuwa na ugali mdogo wa sembe...huo ugali mdogo ndio unafanywa kama mboga...na hayo yote hufanyika sio asubuhi bali ni alfajiri jogoo wa kwanza tu akiwika[/QUOT
wasukuma wa sehemu gani bwana mkubwa wanaokula dona kwa mboga sembe
nimeambulia moja tu iyo inkudo,dah kweli we ni wa tarime,sijui umesoma turwa,nyamisangura,sabasaba au rebu?
Akha akha
Polepole dada yangu. Mgambo wa JF hawachezi mbali.
Halafu nimemkumbuka dada mmoja alikuwa madarasa kadhaa mbele, yeye kila mtihani wa mhula anakuwa wa mwisho darasani.
Lakini alikuwa na bidii ya kuja shule na kutii taratibu zoote. Wakati wanasoma majina ya watu wa mwisho, kabla Mwalimu hajamaliza wanafunzi wanaitikia kwa kumtaja jina "Kinyunyiiiiiiii Chonchoriiiiiiiii".
charminglady unamkumbuka?
Nipe location tafadhali niwe nakamua nikienda kunako harakati, maana nikiwa hom hyo k2 ni kawaida kabisa.
kwa lugha hiyo mgambo wa jf hawezi ambulia kitu
Dah!Huu wimbo wenu wa mchakamchaka nimecheka sana.Kweli Taaarime unaifahamu vizuri.Kuna mtoto wake nilisoma nae sehemu.Hiyo kitu ya Marura karibu na round about acha,nilikuwa nikifika Tarime lazima nipige ripoti.
Ndugu yangu umenikumbusha mbali. Ukifika Butiama, nyumbani kwa Baba wa Taifa, sehemu inaitwa Stendi, hapo saa 12 asubuhi tayari kuna ugali na nyama vinakuwa vimeshaiva. Hicho chakula wenyewe utasikia wanasema, "Lete rungu kwa kichuri". Maana yake ni ugali wa mtama uliochanganywa kwa mhongo kwa nyama ya mbuzi. Pembeni lazima kuwe na pilipili.
Hapo kwenye RED... Aaah umetuzuga mkuu! Mi si mkurya lakini kwa ufahamu niliopata kipindi cha nyuma nilipokuwa mitaa ya hao jamaa... KICHURI ni kinyesi cha mbuzi kilichochanganywa na nyongo... Ngoja na wenyewe waje watuelezee zaidi...Ndugu yangu umenikumbusha mbali. Ukifika Butiama, nyumbani kwa Baba wa Taifa, sehemu inaitwa Stendi, hapo saa 12 asubuhi tayari kuna ugali na nyama vinakuwa vimeshaiva. Hicho chakula wenyewe utasikia wanasema, "Lete rungu kwa kichuri". Maana yake ni ugali wa mtama uliochanganywa kwa mhongo kwa nyama ya mbuzi. Pembeni lazima kuwe na pilipili.
duh ni baraa ,butiama kuna wataalamu wa kuchoma nyama na ugali wa mhogo na ile kitu inaitwa kchuri asubuh na mapema ndio kifungua kinywa,nilikuwa butiama miezi kama 7 iliyopita nilipata iyo kitu mida ya asubuhi kama sa 2,kweli nilifurahia
nita visit butiama next month kukumbushia iyo kitu,kweli maisha ya kijijini yana utamu wake.
Hapo kwenye RED... Aaah umetuzuga mkuu! Mi si mkurya lakini kwa ufahamu niliopata kipindi cha nyuma nilipokuwa mitaa ya hao jamaa... KICHURI ni kinyesi cha mbuzi kilichochanganywa na nyongo... Ngoja na wenyewe waje watuelezee zaidi...
Nakumbuka saaana aise.... Afu kuna jamaa mmoja mwenye hilo jina la mwisho yuko.hapa town ana mawe ya kutosha!!!!!
Miezi hii kichuri huwa kinapumzishwa. Mpango mzima ni kimoro au vitenge, kama wenyewe wanavyopenda kuita. Hii ni nyama pori iliyokaushwa. Kimoro kinapendeza zaidi wakati wa baridi kali. Hasa kilichochomwa ni balaa, maana lazima kuwe na chumvi iliyolowekwa kwenye bakuri ikikolezwa na pilipili kichaa. Hapo ukila lazima kiji-kamasi chembamba kikutoke! Hata kama ni baridi, utatokwa jasho tu!
Mkuu mbona hayo maneno ya kawaida kure kwetu, je nikianza kuibhaka si server zinajam!!!!
Mkuu mbona hayo maneno ya kawaida kure kwetu, je nikianza kuibhaka si server zinajam!!!!