Hapana; nina safari ya kwenda Aurusha na familia yangu. Natafuta hotel ya kukaa siku mbili ili tuweze kwenda Ngorongoro. Bei ya hoteli nyingi zinaazia dola 200 lakini hawa wanapia bei chini ya dola 100. Ndiyo maana nikauliza kama kuna anyeijua. Unajua kuwa cheap is expensive