Yaahman............nipo hapa 27 pub.........njoo..........
Njoo bas huku matejoo
Hiyo tena! yaani nikula bila kusazaUlifanikiwa kula mbuzi limao.........?....
Njoo bas huku matejoo
Pembeni ya Delight.........
Sawa kabisa, nikija rift valley nitakusoma. Hivi pale pembeni kwenye mdudu panaitwaje tena
Dogo unafanya nini uko?:what:
Ha ha.......kumbe unapajua eeeh.......
Yaahman............nipo hapa 27 pub.........njoo..........
We kila sehemu mtu akipataja unasema upo!! Pub zote upo, hotel zote upo!! We ni hataree.
Ni sheeeder..........na wewe unataka kuja.........?......njoo nikupeleke Masai..........
Ipo wapi hiyo masai?
Ni sapraiz........utakula pizza.......
Aaaaa!! Neema hii, Konda wa bodaboda hata hiyo piza siijui!!. Vp na sapraiz nyingne je?