Hotel ya bei ndogo Arusha

Hotel ya bei ndogo Arusha

Mkuu hakuna wakati mzuri kama wa kujaza fomu za Imprest na hakuna wakati mgumu duniani kwa mtumishi wa umma kama wakati wa Imprest Retirement..

Sasa tabu pale mhasibu akiwa mnoko atataka apige simu kwameneja kuuliza kama kweli ulilala hapo na hiyo bei kwenye risiti ni halali,ah mambo ya kuajiriwa wakati mwingine shida hela kiduchu lakini longolongo zinajaa pipa
 
Sawa sawa ni Golden Rose,miaka mingi sijatinga A town na pande ya Mrina lol,Ah Preta upo Rift Valley lol nilipita long hapo wakati wa akina Tom wakitamba na hela za wanawake wazee wazungu

Ha ha ha.......m'baya wewe...........wazee wazungu.........ha ha........karibu tena uje unitembelee bana......naishi mita chache sana kutoka Rift Valley na Mashele..........nitakutembeza kitaa.......viota vipya vingi sana..........
 
Arusha Backpackers hostel. Domitory $7 double $20 single 12 bed & breakfast na Wi-Fi free. Bar na restaurant ni top floor. Ni karibu na Babylone,Empire sport club na maeneo ya stand.
 
Ha ha ha.......m'baya wewe...........wazee wazungu.........ha ha........karibu tena uje unitembelee bana......naishi mita chache sana kutoka Rift Valley na Mashele..........nitakutembeza kitaa.......viota vipya vingi sana..........
Ah Mashele zamani ilikuwa guest kubwa ya wale wazungu wa budget ndogo na hapo utaona raha ukiwaona''mbu'' wakiwagombania watalii,baada ya kufa mzee Mashele imekuwa kijiwe cha wala mirungi na dada poa.Namkumbuka pia yule mhaya(alifariki) wa Arusha Pizza opp na Mashele alikuwa akisema mwafrika akishika glass zinapasuka kwa hiyo marufuku mswahili kuingia pale kwenye mgahawa wake hata kama umemleta mtalii ,unaambiwa msubiri nje,msalimie mama pepe kale najirani mfuga kenge !
 
Aisee........kweli mtaani kwangu unapafahamu vizuri sana..........
basi karibu tukumbushane mawili matatu hapa Delight.........tukipata moja moto moja baridaaaaa.............
 
basi karibu tukumbushane mawili matamu hapa Delight.........tukipata moja moto moja baridaaaaa.............

"tukumbushane mawili matamu"

Haya....
 
Aisee........kweli mtaani kwangu unapafahamu vizuri sana..........
basi karibu tukumbushane mawili matatu hapa Delight.........tukipata moja moto moja baridaaaaa.............

Kesho nipo Arusha kwa siku moja itabidi nipite hapo aisee....
 
Wakuuu habari leo naelekea Arusha ipi hotel ya bei ndogo wakuuu hapo Arusha ijsyozidi alfu hamsini kwa siku au chini ya hapo??naomba msaada na ukilala unapewa rist ya malipo yako??

Mimi nmekaa Arusha kwa wiki sasa. Nipo hotel ya Premier Palace ukitoka ofisi za dar express mbele ya Masjid Quba bei inaanzia 40,000 to 60,000. mimi nimekaa room ya 40 ni pazuri na breakfast ya nguvu
 
!
!
anauezijua za kati ya 5000 hadi 15000 anishtue tafadhali. Sina haja na risiti wala nini, pawe kimya choo kisafi basi. Vingine home ninavyo so, sio inshu.

Nenda hanang au mbulu guest bro...ulizia galax kwa nyuma bei ni kama 8000 ivi. .but hotel ya kias ulichoweka sdhani kama utapata kwa urahis(5000).
 
Pita bana.......njoo mpaka hapa Rafiki Lodge.......ukifika niPM nitakuja kukuchukua..........

Asante sana....bahati ya mtende hii....ngoja nitafute ugali wa familia kwanza.....
 
Aisee........kweli mtaani kwangu unapafahamu vizuri sana..........
basi karibu tukumbushane mawili matatu hapa Delight.........tukipata moja moto moja baridaaaaa.............

Poa nikija Arusha nitakutafuta
 
Mimi nmekaa Arusha kwa wiki sasa. Nipo hotel ya Premier Palace ukitoka ofisi za dar express mbele ya Masjid Quba bei inaanzia 40,000 to 60,000. mimi nimekaa room ya 40 ni pazuri na breakfast ya nguvu

Haa!!.......kumbe upo hapo.......mi nipo hapa Kutetere......jirani tu.......badae nitakupitia twende hapo Serengeti View tukapate moja mbili.........kama unatumia lakini...........
 
Ooh sory Preta nimerudi leo dar...next time basi au siyo?
 
Back
Top Bottom