Hotel ya bei ndogo Arusha

Hotel ya bei ndogo Arusha

!
!
anauezijua za kati ya 5000 hadi 15000 anishtue tafadhali. Sina haja na risiti wala nini, pawe kimya choo kisafi basi. Vingine home ninavyo so, sio inshu.

Hahahahaha mkuu mimi rist muhimu kaka zinahitajika ofsini kaka sunajua tena ofsi za watu huwez toa maelezo bila kithibitisho mkuu
 
Nenda Meru Inn 35000 iko karibu na Summit center au NHC barabara ya Sokoine pazuri sana.
 
Unga limited kwa kina Joh Makini, pazuri sana kule!
 
Nenda Pinpoint juuu kabisa, Bei 20000/= Chini kuna starehe zote, kuanzia miraa, vimanzi, mivinyo fegi na kitu cha Arusha.
 
Humtakii mema huyu jamaa - Hapo Monjes ni karibu na ile sehemu wanaokaa wale wajasiriamali kina dada poa!

Hapo ndio safi maana utaenjoy jinsi kinadada wanavyojirahisisha wakati mitaani wanasingizia kudhalilishwa na wanaume....
 
Kwa kuanzia...kaangalie Mick Rest House. Ipo karibu stendi ya Dar Express na pia karibu na msikiti Masjid Kuba. Bei 25000 na 30000.

Mkuu hapo karibu palikuwa na kamgahawa matata sana sijui kama bado kapo.Pia kuna Hotel nzuri sana inaitwa Blue Rose kama sijakosea ,ni ya heshima sana yale mambo ya hovyo hayapo ni kama ya kilokole vile inapakana na ofisi za Kilimanjaro Express Bus
 
Njoo huku ungalimited kuna hotel nzuri ya bei rahisi 5000/= tu
 
Hahahahaha mkuu mimi rist muhimu kaka zinahitajika ofsini kaka sunajua tena ofsi za watu huwez toa maelezo bila kithibitisho mkuu

!
!
mambo ya ritayamenti sio......unakuwa na vitabu vyako vya risiti ka vitatu hivi au vinne vya rangi tofauti na shughuli tofauti. Cha hoteli, cha usafiri, cha stationery na kingine hakieleweki multi papasi, maisha saafi.
 
Wakuuu habari leo naelekea Arusha ipi hotel ya bei ndogo wakuuu hapo Arusha ijsyozidi alfu hamsini kwa siku au chini ya hapo??naomba msaada na ukilala unapewa rist ya malipo yako??

Inaitwa M.a.v.u.z.i Inn Ipo Hapo Pembeni Mwa Uwanja Wa Sheikh Amri Abeid Mtaa Wa MKANYAGENI Ila Uwe Tayari Tu Kucheza Na Panya Na Mende Huku Kunguni Wakiuchangamsha Mwili Wako ILI Ukitoka Hapo Ukawahadithie Na Wengine. Nakutakia Kila La Kheri Ukifika Hapo Na Utanijuza Mkuu!
 
Hapo AM pako poa. Ni karibu na stendi ya mabasi na huduma nyingine. Na inamilikiwa na AM mwenyewe.

Mbona zamani kidogo AM ilikuwa inasemekana haina usalama na kwamba mmiliki wake haaminiki? Au imebadilika?
 
Kama sio Mujahidin simshauri alale karibu na hapo maana jamaa saa9 alfajiri wanaanza kutoa vitisho km huendi kusali....chumba ulicholala ndio kaburi lako...shuka ulilojifunika ndio sanda yako...!

Hahaha,kweli nililala mitaa hiyo kero acha tu!
 
Back
Top Bottom