Hotel ya bei ndogo Arusha

Hotel ya bei ndogo Arusha

Golden Rose bana......au kama anataka hekaheka........aje hapa jirani na kwangu.......Rift Valley.........full self contained........kama anaelewa ninachomaanisha.............

Nipo lift valley hapa kwa nje mbona sikuoni.?
 
Wewe umeenda wapi huko..........?.....mimi nipo Rift Valley..........hebu njoo mpaka hapo Mashele unidip........
Sasa Preta ni dipu # ipi? Nimekuja maeneo ya Philips hapa muda huu kuonana na wenyeji. Ila Ntarudi kulala hapo. Sema kwenye ile kona sijui kama nitapita salama maana niliyokutanayo jana ni zaidi ya kona bar.
 
Last edited by a moderator:
Tumekuboa eeeh......tusamehe bure lakini sisi tumependa uzi huu huu..........na tutaendelea hapa hapa.......mpaka mwenye uzi atakaporudi tena Arusha.........

Hahaaaa...mkuu...nlidhani hamjui mnachokifanya...haya bhana...endeleeni...kula kile roho inapenda
 
Sasa Preta ni dipu # ipi? Nimekuja maeneo ya Philips hapa muda huu kuonana na wenyeji. Ila Ntarudi kulala hapo. Sema kwenye ile kona sijui kama nitapita salama maana niliyokutanayo jana ni zaidi ya kona bar.

kona ipi sasa......?.....ni ile ya Mrina au hii ya kuja huku Bright Guest House......?....
 
Wewe umeenda wapi huko..........?.....mimi nipo Rift Valley..........hebu njoo mpaka hapo Mashele unidip........
Preta kesho nakuja mtaani kwetu tena. nitafikia valley as usual. please be available.
 
Last edited by a moderator:
SILVER PALM HOTEL (opposite na ARUSHA LUTHERAN MEDICAL CENTRE/selian 20,000 per night
 
Kama sio Mujahidin simshauri alale karibu na hapo maana jamaa saa9 alfajiri wanaanza kutoa vitisho km huendi kusali....chumba ulicholala ndio kaburi lako...shuka ulilojifunika ndio sanda yako...!

daah! kuna vya hivyo??? hatareeee
 
Ingia hotel AQ ipo apo apo na club aq ntakupa cmpny leo

Cost 30000/=
 
Back
Top Bottom