Hotel ya bei ndogo Arusha

Hotel ya bei ndogo Arusha

Mimi nilikuwa ar this xmass nililala city link hotel karibu na philips bei yao ni 40000 tu unapata buffe breakfast nzuri huna haja hata ya kula mchana tena. Jioni niliburudika kwenye baa yao yanye vinywaji bei nafuu huku ukiburudika na live band kweli ni pazuri na nafuu sn sijui kama wanapata faida hawa jamaa
 
Jaribu natoroka. Uje. Hotel karibu namiqnzini usihofu kun. Mawawekezaji. Wale mashuhuri pale dar sinzq afrikasana ilahawana madhqra
q
 
Ukishuka stand usiende mbali.nyanyua macho juu juu utaona majengo ya hoteli kama natron.aquilin.rich na joshmal.zote hizi hazizidi elf 50.000.na hauhitaji tax ya kwenda hapo na full usalama.karibu arusha mkubwa
 
Nenda Paragumu lodge iko hapo hapo karibu na stendi kuu chumba 5000,breakfast na risiti utapata pia!
 
Jaribu natoroka. Uje. Hotel karibu namiqnzini usihofu kun. Mawawekezaji. Wale mashuhuri pale dar sinzq afrikasana ilahawana madhqra
q
pDidY nawe wenimte jawqhao wajasi liamali?
 
Gwangadick. vilesina kaexp NA(T)O ngoja strokeaje
 
Back
Top Bottom