Duh Tumatu ndo wapi Preta poa karibu Dar ila nitakuwa Mwanza next weekend vipi huko sio mwenyeji?
Mwanza Nilikuja juzi juzi.......nikafika Jembe ni Jembe na Salma Cone.........ila sikukaa sana.........Mwanza nitarudi tena wallah..........
Tumatu ni Yaeda Chini huku........
Nina zaidi ya mwaka sijaenda Mwanza Preta hotel gani nzuri ya kati?
Poa ngoja nimtafute charminglady anielekezeKwa Mwanza mimi ni sifuri........mtafute charminglady........
Ukuje Mwanza bhana....Sisi wenyeji tupo!.Mwanza Nilikuja juzi juzi.......nikafika Jembe ni Jembe na Salma Cone.........ila sikukaa sana.........Mwanza nitarudi tena wallah..........
Tumatu ni Yaeda Chini huku........
Wakuuu habari leo naelekea Arusha ipi hotel ya bei ndogo wakuuu hapo Arusha ijsyozidi alfu hamsini kwa siku au chini ya hapo??naomba msaada na ukilala unapewa rist ya malipo yako??
Kama sio Mujahidin simshauri alale karibu na hapo maana jamaa saa9 alfajiri wanaanza kutoa vitisho km huendi kusali....chumba ulicholala ndio kaburi lako...shuka ulilojifunika ndio sanda yako...!
Ukuje Mwanza bhana....Sisi wenyeji tupo!.
Nadhani MZIBHAZI umeshafanya maamuzi manake ushauri ni mwingi sana na wa kutosha...
kwa nini wadau (mnaoendelea kuchangia hadi leo) msianzishe uzi mwingine wenye KICHWA CHA HABARI kinachoendana na uchangiaji wenu?
Ishu inayoletwa humu kwa uelewa wangu inatakiwa iguse watu zaidi ya wawili na iendane directly/indirect na kichwa cha habari...vinginevyo kama mna maongezi yenu basi mu- inbox huyo swahiba wako ili muendelee kuchat!!!
Meru House Inn 30000 self contained rooms bed and breakfast... Receipt utapata.
Sokoine Road. Near Meru Posta
Hapo AM pako poa. Ni karibu na stendi ya mabasi na huduma nyingine. Na inamilikiwa na AM mwenyewe.
Yaani mimi, piga, ua, garagaza, kunipata Mwanza kwa urahisi ni Mwaloni tu!. Karibu dagaa bana!.Nilikuulizia nikaambiwa upo mwaloni.........nikasema.......basi sawa........
Vipi charminglady upo? msaada pliz hotel gani mwanza nzuri ya bei ya kati? nataka niondoke jtanoKwa Mwanza mimi ni sifuri........mtafute charminglady........
Tumekuboa eeeh......tusamehe bure lakini sisi tumependa uzi huu huu..........na tutaendelea hapa hapa.......mpaka mwenye uzi atakaporudi tena Arusha.........